Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Are you stupid or what!!!?
there is a lot of scientific solutions to combat the situation issued by the URT gov.
it won't save any purpose if the president repeat the same story

Is it scientific to rally your people to pray for three days as a means of averting COVID-19! Surely it is you and your gang who are stupid!!! In terms of impact there is a huge difference when the head of state speaks as compared to Makonda!! Don't you agree you.cun......!!
 
Hata dini au malimao yakate yachemshe kunywa ya moto nusu glass kila siku usaidia Corona
Asante sana Mkuu. Huwa nafanya sana hiyo ya ndimu au limao kabla hata ya Corona. Hii imenisaidia mno mambo mengi. Huwa nakula sana spices kuchemsha na mbogamboga blending kupata smoothie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hasira Ni hasara.
Unanifanya nicheke sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
aiseee aisee acha tu ebu ona hapa utashika lipi utaacha lipi ? yan na watu walisema toka mwanzo ila sababu sio ccm ndio wakawa hawataki kusikiliza,si waseme tu kunna lockdown ? ivi mkuu upumbavu kama huu we unaona upo sawa👇👇👇👇👇👇
 

Attachments

  • 83CA955F-34D2-4029-BD76-7C9BC572D933.jpeg
    234 KB · Views: 1
  • 9C50835F-EC25-4652-8162-6B62B1904510.jpeg
    378.3 KB · Views: 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha basi kunichekesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie taendelea na maombi ya kuwaombea viongozi wetu wawe na hekima tu, Mungu akinisikia basi naamini watatuongoza vema katika kutokomeza gonjwa hili!
Shikilia hapo hapo mkuu, Mungu anakusikia anaheshimu na kuthamini maombi yako, na kwa uhakika, atajibu!
 

Maombi yana Tija pale tu Huduma za Afya za nchi husika zikiwa ni nzuri ila yanakuwa ya Kipumbavu kama Huduma ni Mbovu.
 
Maombi yana Tija pale tu Huduma za Afya za nchi husika zikiwa ni nzuri ila yanakuwa ya Kipumbavu kama Huduma ni Mbovu.
Bahati mzuri kwamba watu hawaleti maombi kwako, itakuwaje upumbavu!

Itakuwa upumbuvu ikiwa maombi yatakuwa wewe ndo unayeombwa!

Watu wengine bhana, Kwani ni Lazima utukane wengine ndiyo uonekane wewe ni mjuzi kuliko Wao?

Vilaza wengi, ndio wanaoongoza matusi, hawanaga hoja zaidi ya matusi, matusi ni ulemavu, ni kushindwa kuishighurisha akiri ili kutoa solutions, matokeo yake unahitimisha Kwa kukebehi watu na kutoa mitusi utadhani wewe ndio binadamu kuliko wengine, mkuu Sio vema, mambo mengine kama hayakuhusu nyamaza
 
Bahati mzuri kwamba watu hawaleti maombi kwako, itakuwaje upumbavu!

Itakuwa upumbuvu ikiwa maombi yatakuwa wewe ndo unayeombwa!

Watu wengine bhana, Kwani ni Lazima uwakele wengine ndiyo uonekane wewe ni mjuzi kuliko Wao?
Kwenye hii mudi ya maombi, tuwasamehe hata wanao kosoa kimakosa, ndugu yangu Paul!
 
Bahati mzuri kwamba watu hawaleti maombi kwako, itakuwaje upumbavu!

Itakuwa upumbuvu ikiwa maombi yatakuwa wewe ndo unayeombwa!

Watu wengine bhana, Kwani ni Lazima uwakele wengine ndiyo uonekane wewe ni mjuzi kuliko Wao?

Halafu katika Lugha adhimu ya Kiswahili hatuna neno lako hili la ' Uwakele ' bali tuna neno sahihi kabisa la ' Uwakere ' sawa?
 
Mmetenda wema gani kwa Mungu hata asikie maombi yenu! mnadanganya..mnapoteza watu...mnachukia wenzenu Mungu yupi atasikia labda mungu baali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…