Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wewe unadhani maneno ya Mungu Ni yapi?Naamini common sense. Maneno ya Mungu ni yapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unadhani maneno ya Mungu Ni yapi?Naamini common sense. Maneno ya Mungu ni yapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea point sana ila haya majitu ni majitu yakujisahau tukikaa kimya next time haya mambo yatajirudia, naamini Mungu atatusaidia, tuzidishe maombi, ila hawa mbwa wanatucost sana
Are you stupid or what!!!?
there is a lot of scientific solutions to combat the situation issued by the URT gov.
it won't save any purpose if the president repeat the same story
Asante sana Mkuu. Huwa nafanya sana hiyo ya ndimu au limao kabla hata ya Corona. Hii imenisaidia mno mambo mengi. Huwa nakula sana spices kuchemsha na mbogamboga blending kupata smoothie.Hata dini au malimao yakate yachemshe kunywa ya moto nusu glass kila siku usaidia Corona
aiseee aisee acha tu ebu ona hapa utashika lipi utaacha lipi ? yan na watu walisema toka mwanzo ila sababu sio ccm ndio wakawa hawataki kusikiliza,si waseme tu kunna lockdown ? ivi mkuu upumbavu kama huu we unaona upo sawa👇👇👇👇👇👇[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hasira Ni hasara.
Unanifanya nicheke sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU wangu [emoji134][emoji134][emoji134]Duh! Habari za maneno ya Mungu umeleta wewe. Binafsi siamini kama kweli kuna Mungu ambaye ana uwezo wa kuzuia watu kuteseka, ila kajikausha anasubiri mumbembeleze kwa siku 3 ndio aingilie kati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee aisee acha tu ebu ona hapa utashika lipi utaacha lipi ? yan na watu walisema toka mwanzo ila sababu sio ccm ndio wakawa hawataki kusikiliza,si waseme tu kunna lockdown ? ivi mkuu upumbavu kama huu we unaona upo sawa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
MUNGU wangu [emoji134][emoji134][emoji134]
Mkuu kumbe hadi Wewe Ni atheist!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimekuhukumu?Lol kwa sababu siamini unachoamini, tayari umenivika label. I thought ukristo unapinga kuhukumu wengine..?
Shikilia hapo hapo mkuu, Mungu anakusikia anaheshimu na kuthamini maombi yako, na kwa uhakika, atajibu!Mie taendelea na maombi ya kuwaombea viongozi wetu wawe na hekima tu, Mungu akinisikia basi naamini watatuongoza vema katika kutokomeza gonjwa hili!
Kuomba kwa siku tatu kama alivyo agiza mheshimiwa Rais Magufuli Siyo: kuacha kuzingatia maelekezo yote ya kitaalamu, siyo kukubali kwamba serikali ipo sahihi kwa kila kitu! Siyo kuunga mkono juhudi, siyo kufumbia tatizo macho!
Kukubali kuomba ni kukubali kwamba janga hili ni kubwa, ni kuona jinsi ambavyo, hata nchi zenye maendeleo makubwa ya kitabibu na utaalamu, wamekwama! Ni kuamini kwamba mwenyenzi Mungu anaweza kutusaidia, kutokomeza ugonjwa, kutupa hekima ya kukabiliana na ugonjwa na kutulinda! It is a high time that we work together in unity, because we have a common enemy!
Tunatofautiana itikadi, imani na mambo mengi kimtazamo, lakini tuna adui mmoja anaye tushambulia kwa sasa, tuungane kumkabili! Kila Mtu kwa imani yake, Mh. Godbless Lema ametuwekea mfano.
Imani bila matendo !!!!!!Mungu hachagui maombi, sisi tunachagua.Kama hakuna unafiki basi waliokuwa wanamwombea Tundu Lissu wafutiwe mashtaka
Maombi yana Tija pale tu Huduma za Afya za nchi husika zikiwa ni nzuri ila yanakuwa ya Kipumbavu kama Huduma ni Mbovu.
[/QUOTE
Tumwombe Mungu atusaidie kuzipa kipaumbele huduma za afya na kuziboresha.
Bahati mzuri kwamba watu hawaleti maombi kwako, itakuwaje upumbavu!Maombi yana Tija pale tu Huduma za Afya za nchi husika zikiwa ni nzuri ila yanakuwa ya Kipumbavu kama Huduma ni Mbovu.
Siyo maombi Yao tu! Kama wao hawana imani na matendo, Sisi na tuombe kwa imani yenye matendo! Tendo la kwanza; TUWASAMEHE!
Kwenye hii mudi ya maombi, tuwasamehe hata wanao kosoa kimakosa, ndugu yangu Paul!Bahati mzuri kwamba watu hawaleti maombi kwako, itakuwaje upumbavu!
Itakuwa upumbuvu ikiwa maombi yatakuwa wewe ndo unayeombwa!
Watu wengine bhana, Kwani ni Lazima uwakele wengine ndiyo uonekane wewe ni mjuzi kuliko Wao?
Bahati mzuri kwamba watu hawaleti maombi kwako, itakuwaje upumbavu!