stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Tunahitaji ukombozi wa kiuchumi na wa kirohoVery true Kaka watu wengine hawaelewi maandiko ndio Mana wanakufa kwa kukanyaga mafuta eti ili wawe matajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongoza maiti ndio maana hana pressureAtoke huko mafichoni aje tupambane huku wote, ni kosa kubwa Mkuu wa majeshi kwenda kukaaa Kijijini kipindi cha Vita, ingekuwa ni ulaya wananchi wangekuwa wameandamana vibaya mno ingekuwa ni big story
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tuombee nyumbani na kwenye lockdown, Mungu atasikia pia!Ndio Mana Kuna andiko watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, ugonjwa unajulikana unaenezwa kwa hewa bado watu wanahudhuria mikusanyiko ka nyumbu then wanasali eti corona iwaepuka ka si kukosa akili Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandamana kwa wakati huu ingekua ngumu Kwa sababu ya hili gonjwa!Atoke huko mafichoni aje tupambane huku wote, ni kosa kubwa Mkuu wa majeshi kwenda kukaaa Kijijini kipindi cha Vita, ingekuwa ni ulaya wananchi wangekuwa wameandamana vibaya mno ingekuwa ni big story
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wote tuseme Ameeen!!!Sifa hizi mpe Mungu na sio mwanadamu. Mungu wetu ana wivu na ndio maana alituambia tusiabudu miungu wengine
Sisi tuombee nyumbani na kwenye lockdown, Mungu atasikia pia!
Mkuu sidhani kama unaweza pata jibu la moja kwa moja kwani majibu ya sala yapo nje ya uwezo wa kibinadamu. Mvua kunyesha mkuu ndiyo msimu wake hivyo kuwa na subiraHabari za wakati huu wapendwa.
Wakati tukiwa katika vita kubwa dhidi ya adui wetu corona hali imekua mbaya kama tunavyoona idadi imekua ikipanda na vifo kutamalaki.
Naipongeza pia serikali kwa kutoa elimu ya kuweza kukabiliana na janga hili pia sekta ya afya nayo wako mstari wa mbele.
Bila kupoteza muda ningependa kuelezea jambo moja bado sielewi mpka wakat juzi kati serikali imetangaza watanzania kwa pamoja tufanye maombi kwa ajiri ya taifa naam mimi binafsi niliguswa na habari hii.
Lakini sasa chakushangaza ninacho kiona hadi wakati huu ni mvua tu kikithiri sa sijui ndio mungu ametu jibu maombi kwa namna hii au kuna jambo jema tunarajie hapo badaye?
Nakaribisha mchango wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tu mkuu.Mkuu sidhani kama unaweza pata jibu la moja kwa moja kwani majibu ya sala yapo nje ya uwezo wa kibinadamu. Mvua kunyesha mkuu ndiyo msimu wake hivyo kuwa na subira