Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Aliyekuambia swala la imani halina ujinga nani?Mimi nilijua katika hili msioamini Mungu mtatusumbua sana na wale wasanii ila wanasema wanadini zao lakini ni wanafiki watatusumbua,dini ya kweli yenye mafundisho sahihi haijawahi kuwa ujinga.Hili ni suala la imani sasa kama huna imani waache wenye imani zao,hata wengine wanalindwa na mizimu na wao ni imani na wanaamini wanalindwa.Linapokuja suala la Mungu huwa ni shida ila ingekuwa mambo ya kishetani mngeunga mkono.Dini ya kweli haijawahi kuwa ujinga isipokuwa ninachojua "mambo ya imani kwa wasioamini ni kama upumbavu".Kwa hiyo kama huna imani ni kweli kwako dini ni ujinga na uko sahihi kwa mtazamo wako.
Tatizo haya mambo ni level ya juu kuliko wengi wanavyotamani, kwa hiyo kwa sababu imani Mungu anaangalia utii na siyo akili za darasani au kiwango cha elimu(sisemi tusisome) wengi baada ya kupata vielimu wanaona sayansi ni kila kitu na dini ni ujinga.
Watu wamekufa kwa kunyweshwa jiki kwa imani kwamba inaponya matatizo yao halafu we unasema swala la imani sio ujinga?
King leopold II kaua waafrica zaidi milion 10 kwa kutumia biblia, halafu mtu anajitokeza anazema swala la imani sio ujinga
Naweza kushawishika ukiniambia imani sio ujinga endapo utasema imani ni upumbavu