Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Unajuaje hayo maneno ni ya Mungu na si ya watu tu waneandika kwamba kuna Mungu wakati Mungu hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje hayo maneno ni ya Mungu na si ya watu tu waneandika kwamba kuna Mungu wakati Mungu hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe umejuaje kuna janga la Corona virus kwani umewahi kumuona huyo virus kwa macho yako? Kwani umewahi kumuona mgonjwa wa Corona? Umejuaje hawajatunga na kufotoshop etc etc...
Umekaa umekomaa toka saa hizo kwanini Mungu analeta majanga hawapendi watu wake kwa simulizi tu..
 
Hiri razima ripo kwenye irani ya chama badara ya zire Noah wamehamua kuturetea Corona VVTI

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Kwani ninesema uthibitishe Mungu yupo kwa kuonesha picha yake?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He has been questioned sababu ya attributes zake na hali halisi ilivyo.

Yeye ndo muweza wa yote, mwenye upendo wote n.k kwa nini kuwe na majanga(aruhusu majanga) anagali anatupenda wanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje hayo maneno ni ya Mungu na si ya watu tu waneandika kwamba kuna Mungu wakati Mungu hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuthibitisha kama hayo ni maneno ya Mungu mpaka uyasome kwa undani na uyafahamu ndio either utaconfirm kama hayawezi kuwa maneno ya binaadamu au utaconfirm kama ni maneno ya binaadamu.

Muhimu ni kujiridhisha kupitia hayo maneno yanayodaiwa ni ya Mungu! Kama umeshasoma na kujiridhisha shikilia msimamo wako kama ambavyo sisi wengine tunashikilia misimamo yetu😀

Hata mimi nilikuwa siamini kama kuna watu hawaamini uwepo wa Mungu, lakini baada ya kuwasoma kupitia maneno na maandiko yao wenyewe nikathibitisha kuwa hawa watu wapo na nikaelewa hoja zao😀
 
He has been questioned sababu ya attributes zake na hali halisi ilivyo.

Yeye ndo muweza wa yote, mwenye upendo wote n.k kwa nini kuwe na majanga(aruhusu majanga) anagali anatupenda wanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimsoma utaelewa, majibu ya swali lako ni rahisi na ameshayajibu kwa undani. Wewe si wa kwanza kuuliza, wengi wa kabla yetu waliuliza hayo na wamejibiwa na Mungu mwenyewe, muhimu ni kumsoma ikiwa una nia ya kuelewa🙏
 
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?

Hata wanaokwenda Hijja?

Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Mkuu ujue hata swala porini hua wanalalamika kwa nn simba wapo, hao virus Wa corona tunaamini wameletwa na mungu pia na wenyewe wana haki ya kuishi Kama ww, kwa hiyo usijione ni mbora Sana kuliko viumbe wengine , hapa kilichopo ni savival for the fightest mkuu.
Kila mtu apambane na hali yake ili aweze kuishi .
Mungu humsaidia Mwenye kujisaidia , haya yote yanayofanayika ni njia ya kujisaidia pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unaamini tu, huwezi kithibitisha kwamba Mungu yupo na hayo ni maneno yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huyo Mungu wako akishindwa kuwapa wote haki ya kuishi bila ya mmoja kumdhuru mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?

Hata wanaokwenda Hijja?

Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
mungu wa hija hujui ndio mungu wa coronavirus!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…