Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unajuaje hayo maneno ni ya Mungu na si ya watu tu waneandika kwamba kuna Mungu wakati Mungu hayupo?Nimesoma maneno yake na sina shaka yoyote kuwa ni yake. Baada ya kuyasoma maandiko yake ndo utathibitisha kuwa Mungu yupo na hayo maandiko ni yake kweli hakuna binaadamu mwenye uwezo wa kutunga yaliyoelezwa ktk vitabu vyake.
Yeye ndo ameclaim kuwa ni muumbaji wa ulimwengu na vyote vilivyomo, hajatokea mwengine akasema kaumba yeye, Yeye ndo anaclaim kuwaumba binaadam na kuwafisha hajatokea mwengine kudai ni muumbaji wa bnaadamu. Yeye ametangaza kuwa analitoa jua mashariki kwenda magharibi amechallenge ikiwa kuna mwengine mwenye uwezo zaid yake alitoe magharibi alipeleke mashariki! Yeye ametangaza kuwa amezikutanisha bahari za maji ya chumvi na maji matamu wala maji yake hayachanganyiki zamani sana hata hazikujulikana zipo wapi saivi zinajulikana! Yeye analeta usiku na mchana kama yupo zaidi yake abadilishe hayo! Yeye amechallenge ikiwa mnadai maneno yake ni hadithi za kutunga na nyinyi mtunge mfano wake, hakuna binaadamu aliyeweza kutunga mfano wa maneno yake!
Ni mengi ambayo hakuna anayeweza kuyafanya wala aliyedai kuyafanya ila yeye Mungu wa kweli anejigamba wazi wazi kuwa ndo mfanyaji.
Kubwa zaidi halazimishi tumuabudu ametupa freedom ya kimaumbile inayotufanya tuwe na uwezo wa kukubali au kukataa maarisho yake, tukikubali ni kheri kwetu tukikataa ni hasara kwetu!
Vitu vyote tunavyotumia mf simu computet kalamu tunaamini vimetengenezwa havikuja vyenyewe , how come vitu vikibwa kama dunia na vya ajabu kama binaadamu iwe vimekuja wenyewe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app