Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Nimesoma maneno yake na sina shaka yoyote kuwa ni yake. Baada ya kuyasoma maandiko yake ndo utathibitisha kuwa Mungu yupo na hayo maandiko ni yake kweli hakuna binaadamu mwenye uwezo wa kutunga yaliyoelezwa ktk vitabu vyake.

Yeye ndo ameclaim kuwa ni muumbaji wa ulimwengu na vyote vilivyomo, hajatokea mwengine akasema kaumba yeye, Yeye ndo anaclaim kuwaumba binaadam na kuwafisha hajatokea mwengine kudai ni muumbaji wa bnaadamu. Yeye ametangaza kuwa analitoa jua mashariki kwenda magharibi amechallenge ikiwa kuna mwengine mwenye uwezo zaid yake alitoe magharibi alipeleke mashariki! Yeye ametangaza kuwa amezikutanisha bahari za maji ya chumvi na maji matamu wala maji yake hayachanganyiki zamani sana hata hazikujulikana zipo wapi saivi zinajulikana! Yeye analeta usiku na mchana kama yupo zaidi yake abadilishe hayo! Yeye amechallenge ikiwa mnadai maneno yake ni hadithi za kutunga na nyinyi mtunge mfano wake, hakuna binaadamu aliyeweza kutunga mfano wa maneno yake!
Ni mengi ambayo hakuna anayeweza kuyafanya wala aliyedai kuyafanya ila yeye Mungu wa kweli anejigamba wazi wazi kuwa ndo mfanyaji.
Kubwa zaidi halazimishi tumuabudu ametupa freedom ya kimaumbile inayotufanya tuwe na uwezo wa kukubali au kukataa maarisho yake, tukikubali ni kheri kwetu tukikataa ni hasara kwetu!

Vitu vyote tunavyotumia mf simu computet kalamu tunaamini vimetengenezwa havikuja vyenyewe , how come vitu vikibwa kama dunia na vya ajabu kama binaadamu iwe vimekuja wenyewe!!!!
Unajuaje hayo maneno ni ya Mungu na si ya watu tu waneandika kwamba kuna Mungu wakati Mungu hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje hayo maneno ni ya Mungu na si ya watu tu waneandika kwamba kuna Mungu wakati Mungu hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe umejuaje kuna janga la Corona virus kwani umewahi kumuona huyo virus kwa macho yako? Kwani umewahi kumuona mgonjwa wa Corona? Umejuaje hawajatunga na kufotoshop etc etc...
Umekaa umekomaa toka saa hizo kwanini Mungu analeta majanga hawapendi watu wake kwa simulizi tu..
 
Hiri razima ripo kwenye irani ya chama badara ya zire Noah wamehamua kuturetea Corona VVTI

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Kwani wewe umejuaje kuna janga la Corona virus kwani umewahi kumuona huyo virus kwa macho yako? Kwani umewahi kumuona mgonjwa wa Corona? Umejuaje hawajatunga na kufotoshop etc etc...
Umekaa umekomaa toka saa hizo kwanini Mungu analeta majanga hawapendi watu wake kwa simulizi tu..
Kwani ninesema uthibitishe Mungu yupo kwa kuonesha picha yake?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who are we to question Him? Ikiwa ni Mungu kweli na ana uwezo wa kila kitu, basi ana haki ya kufanya atakalo bila ya kuulizwa na yeyote. Na ndio maana anafanya kwa sababu hakuna wa kumuuliza kwa nini afanye aliloamua. He is the top off all! Haogopi chochote wala hajali athari ya lolote analofanya, sisi ndio wa kuogopa na kumuomba na kumnyenyekea kwa sbb tunamuhitajia yeye asituletee majanga au atuondoshee majanga!
Yeye hapati faida wala hasara kwa kuleta maradhi, au kuleta afya, kwa uhai wetu au vifo vyetu, kwa huzuni zetu au furaha zetu, kwa wema wetu au ubaya wetu, kwa lolote yeye anabaki kuwa na Nguvu za kipekee.
He has been questioned sababu ya attributes zake na hali halisi ilivyo.

Yeye ndo muweza wa yote, mwenye upendo wote n.k kwa nini kuwe na majanga(aruhusu majanga) anagali anatupenda wanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje hayo maneno ni ya Mungu na si ya watu tu waneandika kwamba kuna Mungu wakati Mungu hayupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuthibitisha kama hayo ni maneno ya Mungu mpaka uyasome kwa undani na uyafahamu ndio either utaconfirm kama hayawezi kuwa maneno ya binaadamu au utaconfirm kama ni maneno ya binaadamu.

Muhimu ni kujiridhisha kupitia hayo maneno yanayodaiwa ni ya Mungu! Kama umeshasoma na kujiridhisha shikilia msimamo wako kama ambavyo sisi wengine tunashikilia misimamo yetu😀

Hata mimi nilikuwa siamini kama kuna watu hawaamini uwepo wa Mungu, lakini baada ya kuwasoma kupitia maneno na maandiko yao wenyewe nikathibitisha kuwa hawa watu wapo na nikaelewa hoja zao😀
 
He has been questioned sababu ya attributes zake na hali halisi ilivyo.

Yeye ndo muweza wa yote, mwenye upendo wote n.k kwa nini kuwe na majanga(aruhusu majanga) anagali anatupenda wanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimsoma utaelewa, majibu ya swali lako ni rahisi na ameshayajibu kwa undani. Wewe si wa kwanza kuuliza, wengi wa kabla yetu waliuliza hayo na wamejibiwa na Mungu mwenyewe, muhimu ni kumsoma ikiwa una nia ya kuelewa🙏
 
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?

Hata wanaokwenda Hijja?

Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Mkuu ujue hata swala porini hua wanalalamika kwa nn simba wapo, hao virus Wa corona tunaamini wameletwa na mungu pia na wenyewe wana haki ya kuishi Kama ww, kwa hiyo usijione ni mbora Sana kuliko viumbe wengine , hapa kilichopo ni savival for the fightest mkuu.
Kila mtu apambane na hali yake ili aweze kuishi .
Mungu humsaidia Mwenye kujisaidia , haya yote yanayofanayika ni njia ya kujisaidia pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuthibitisha kama hayo ni maneno ya Mungu mpaka uyasome kwa undani na uyafahamu ndio either utaconfirm kama hayawezi kuwa maneno ya binaadamu au utaconfirm kama ni maneno ya binaadamu.

Muhimu ni kujiridhisha kupitia hayo maneno yanayodaiwa ni ya Mungu! Kama umeshasoma na kujiridhisha shikilia msimamo wako kama ambavyo sisi wengine tunashikilia misimamo yetu[emoji3]

Hata mimi nilikuwa siamini kama kuna watu hawaamini uwepo wa Mungu, lakini baada ya kuwasoma kupitia maneno na maandiko yao wenyewe nikathibitisha kuwa hawa watu wapo na nikaelewa hoja zao[emoji3]
Kwa hiyo unaamini tu, huwezi kithibitisha kwamba Mungu yupo na hayo ni maneno yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ujue hata swala porini hua wanalalamika kwa nn simba wapo, hao virus Wa corona tunaamini wameletwa na mungu pia na wenyewe wana haki ya kuishi Kama ww, kwa hiyo usijione ni mbora Sana kuliko viumbe wengine , hapa kilichopo ni savival for the fightest mkuu.
Kila mtu apambane na hali yake ili aweze kuishi .
Mungu humsaidia Mwenye kujisaidia , haya yote yanayofanayika ni njia ya kujisaidia pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo Mungu wako akishindwa kuwapa wote haki ya kuishi bila ya mmoja kumdhuru mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom