Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Uthibitisho ninaoutaka ni ule ambao utaondoa shaka yote, una uthabiti wa kimantiki, haupingiki na unaweza kurudiwa na mtu mwingine asiye na dau katika suala hili.
Nimekujibu ki sayansi na ki imani AMINI SASA
Kwa miaka 50 mwanafalsafa muingereza, Anthony Flew, aliheshimiwa sana na Wanasayansi wenzake kuwa mtetezi mkuu wa fundisho kwamba hakuna Mungu. Kichapo chake "Theology and Falsification" yaani Theolojia na uwongo ambacho aliandika mwaka 1950, kilikuwa ndicho kichapo kilichochapishwa mara nyingi sana katika karne yote ya 20. Mnamo mwaka 1986, Flew aliitwa "Mchambuzi mkuu wa fundisho kwamba hakuna Mungu" Kwa hiyo watu wengi walishtuka sana Flew alipotangaza katika mwaka wa 2004 kwamba amebadili maoni yake.
Kwa nini Flew alibadili maoni yake? Ni kwa sababu ya Sayansi. Alikuja kuamini kwamba, Ulimwengu, Sheria zinazoongoza vitu vya Asili, na Uhai havingeweza kujitokeza vyenyewe. Je wewe unaonaje?
Je Sheria za Asili zilitokea namna gani?
Mwanafizikia na Mwandishi Paul Davies anasema kwamba "Sayansi inaeleza vizuri sana matukio ya asili kama mvua. Lakini maswali yanapozuka kama vile, Kwa nini kuna Sheria za Asili? Sayansi haitoi jibu la wazi. Mambo ambayo Wanasayansi wamevumbua hayajajibu maswali kama hayo. Maswali mengi muhimu hayajajibiwa tangu zamani na bado yanatutatanisha leo "
Flew mwenyewe aliandika hivi Mnamo mwaka 2007 " Jambo muhimu si tu kwamba kuna Sheria za Asili, bali pia ni sahihi kabisa Kihisabati , ni za Kweli na zina Uwiano uliokamilika"
Mwanasayansi wa Fizikia, wa karne ya 20, Albert Einstein alisema kwamba" Zinathibitisha kwamba kuna mtu mwenye akili aliyezibuni "
Swali tunalopaswa kujiuliza ni, Sheria hizi za Asili zilitokea jinsi gani? Bila shaka swali hilo liliulizwa pia na Wanasayansi mashuhuri kama Isack Newton, Albert Einstein, na Heisenberg, na jibu lao lilikuwa zilitokezwa na Akili ya Mungu.
Kwa kweli, wanasayansi wengi wenye kuheshimiwa sana hawaoni kwamba inapingana na sayansi kuamini kwamba kuna Muanzilishi mwenye Akili. Kwa upande mwingine, haipatani na Akili kusema kwamba, Ulimwengu, Sheria zinazouongoza, Uhai pamoja na Ubongo kwamba vilijitokeza tu ghafla vyenyewe. Sisi sote tunajua kwamba, vyombo vyote tunavyoviona, vitu kama, nyumba, magari, Meli au merikebu, ndege au helkopita, hata vifaa kama Komputa, TV au redio kwamba zimetengenezwa na mtu fulani tena mtaalamu zaidi na kwamba ni mtu mjinga tu angeokota Simu Porini, kisha aseme haijaangushwa hapo na mtu. Kwa kweli mtu mwenye utambuzi timamu atazungumza kama Mwandishi wa kitabu cha Waebrania kwamba "Maana kila nyumba imetengenezwa na mtu, lakini aliyevitengeneza vitu vyote ni Mungu" - Waebrania 3:4
 
Sasa kama Mungu anaopnda viumbe wote, alishindwa kuumba hao virusi halafu akafanya wasilete magonjwa kwa viumbe wake wengine watu?

Huoni kwamba Mungu anayeoenda viumbe wake wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na virusi vinavyoweza kuletea watu magonjwa ni contradiction?

Huoni kwamba kuamini contradiction hiyo ndiyo wendawazimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maradhi haya chanzo ni sisi wenyewe.Watu wameziasi Sheria ya MUNGU,wameibadili amri, basi MUNGU anaruhusu haya maradhi ili tunifunze.Dawa ni kutii sheria na kuirudia amri iliyobadilishwa(Isaya 24:3-6).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekujibu ki sayansi na ki imani AMINI SASA
Kwa miaka 50 mwanafalsafa muingereza, Anthony Flew, aliheshimiwa sana na Wanasayansi wenzake kuwa mtetezi mkuu wa fundisho kwamba hakuna Mungu. Kichapo chake "Theology and Falsification" yaani Theolojia na uwongo ambacho aliandika mwaka 1950, kilikuwa ndicho kichapo kilichochapishwa mara nyingi sana katika karne yote ya 20. Mnamo mwaka 1986, Flew aliitwa "Mchambuzi mkuu wa fundisho kwamba hakuna Mungu" Kwa hiyo watu wengi walishtuka sana Flew alipotangaza katika mwaka wa 2004 kwamba amebadili maoni yake.
Kwa nini Flew alibadili maoni yake? Ni kwa sababu ya Sayansi. Alikuja kuamini kwamba, Ulimwengu, Sheria zinazoongoza vitu vya Asili, na Uhai havingeweza kujitokeza vyenyewe. Je wewe unaonaje?
Je Sheria za Asili zilitokea namna gani?
Mwanafizikia na Mwandishi Paul Davies anasema kwamba "Sayansi inaeleza vizuri sana matukio ya asili kama mvua. Lakini maswali yanapozuka kama vile, Kwa nini kuna Sheria za Asili? Sayansi haitoi jibu la wazi. Mambo ambayo Wanasayansi wamevumbua hayajajibu maswali kama hayo. Maswali mengi muhimu hayajajibiwa tangu zamani na bado yanatutatanisha leo "
Flew mwenyewe aliandika hivi Mnamo mwaka 2007 " Jambo muhimu si tu kwamba kuna Sheria za Asili, bali pia ni sahihi kabisa Kihisabati , ni za Kweli na zina Uwiano uliokamilika"
Mwanasayansi wa Fizikia, wa karne ya 20, Albert Einstein alisema kwamba" Zinathibitisha kwamba kuna mtu mwenye akili aliyezibuni "
Swali tunalopaswa kujiuliza ni, Sheria hizi za Asili zilitokea jinsi gani? Bila shaka swali hilo liliulizwa pia na Wanasayansi mashuhuri kama Isack Newton, Albert Einstein, na Heisenberg, na jibu lao lilikuwa zilitokezwa na Akili ya Mungu.
Kwa kweli, wanasayansi wengi wenye kuheshimiwa sana hawaoni kwamba inapingana na sayansi kuamini kwamba kuna Muanzilishi mwenye Akili. Kwa upande mwingine, haipatani na Akili kusema kwamba, Ulimwengu, Sheria zinazouongoza, Uhai pamoja na Ubongo kwamba vilijitokeza tu ghafla vyenyewe. Sisi sote tunajua kwamba, vyombo vyote tunavyoviona, vitu kama, nyumba, magari, Meli au merikebu, ndege au helkopita, hata vifaa kama Komputa, TV au redio kwamba zimetengenezwa na mtu fulani tena mtaalamu zaidi na kwamba ni mtu mjinga tu angeokota Simu Porini, kisha aseme haijaangushwa hapo na mtu. Kwa kweli mtu mwenye utambuzi timamu atazungumza kama Mwandishi wa kitabu cha Waebrania kwamba "Maana kila nyumba imetengenezwa na mtu, lakini aliyevitengeneza vitu vyote ni Mungu" - Waebrania 3:4
Kwani mimi wapi nilisema ulimwengu ulitokea wenyewe?

Na kama ulimwengu haukutokea wenyewe, ni lazima uwe umetokea kwa Mungu?

Na kama vyanzo ni muhimu sana kuvijua, na Mungu naye katokeaje? Katokea wapi?

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Maradhi haya chanzo ni sisi wenyewe.Watu wameziasi Sheria ya MUNGU,wameibadili amri, basi MUNGU anaruhusu haya maradhi ili tunifunze.Dawa ni kutii sheria na kuirudia amri iliyobadilishwa(Isaya 24:3-6).

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.

Unajuaje Mungu yupo kweli, na kwamba habari za kuwapo kwa Mungu si hadithi za uongo za kujitungia watu tu?
 
Kwani mimi wapi nilisema ulimwengu ulitokea wenyewe?

Na kama ulimwengu haukutokea wenyewe, ni lazima uwe umetokea kwa Mungu?

Na kama vyanzo ni muhimu sana kuvijua, na Mungu naye katokeaje? Katokea wapi?

Hujathibitisha Mungu yupo.
Kwani uweke kama ulimwengu haukutokea wenyewe ??
Wewe kwa mawazo yako ulimwengu ulitokeaje??
Nb. Theory ya big bang inajulikana nijibu kwa nadharia ambayo hata mtu asiye jua aweze kuelewa
ULIMWENGU ULITOKEAJE NDUGU KIRANGA??
 
Naweza kukwambia sijui, lakini haujatoka kwa Mungu wenu.

Kama ninavyoweza kukwambia sijui square root ya mbili ni nini (in precise decimal), lakini najua si 10.

Unajua square root ya 2 ni nini in precise decimal notation?

Unajua hata square root ni nini?
 
MUNGU WETU YUPI ?? CHANZO CHAULIMWENGU HUJUI JE HUYO ALIEYEUMBA SISIMIZI NA MCHWA UTAMJUA??
UNFORSENSq root ya 2 ni 1.1414

Pitia hapa"God is spirit." He is a universal spiritual presence. The Universal Father is an infinite spiritual reality; he is "the sovereign, eternal, immortal, invisible, and only true God." Even though you are "the offspring of God," you ought not to think that the Father is like yourselves in form and physique because you are said to be created "in his image" -- indwelt by Mystery Monitors dispatched from the central abode of his eternal presence. Spirit beings are real, notwithstanding they are invisible to human eyes; even though they have not flesh and blood.
We observe the works of God, we may be highly conscious of the material evidences of his majestic conduct, but rarely may we gaze upon the visible manifestation of his divinity, not even to behold the presence of his delegated spirit of human indwelling
 
1.1414 squared ni 1.30279396‬.

Wewe umeshindwa kujua square root ni nini tu.

Haya mengine hatuwezi kueleweana.

You are innumerate and illiterate.
 
Usiende mbali square root ya mbili kama ulivyouliza ni ngap??
Umekosea sana na hapo ndipo unapofeli
Naweza nikawa Iliterate katika masuala ya hesabu Lakini ya mungu ni kayajua mengi
 
Mimi nimekuuliza wewe square root ya mbili ni ngapi, na wewe unaniuliza mimi square root ya mbili ni ngapi?

Unaelewa hata mjadala unavyoenda hapa?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Haya square root ya mbili ina husiana vp na uunbaji kama sio unataka kunitoa katika mjadala
Square root ya mbili ndio mungu wako? au unataka uijue kwenye mijadala ya dini??
We kiranga elewa kwamba:
Whatever begins to exist has a cause. Things do not suddenly pop into existence for no reason. I don’t need to defend that; it is obvious. Whatever begins to exist has a cause.
 
Nilikwambia sikujibu kwa sababu hata nikikujibu huwezi kuliona jibu.

Naweza kujua square root ya 2 si 10hata kama sijui square root ya 2 ni nini.

Kama vike ninavyoweza kujua ulimwengu haujaumbwa na Mungu hata kama sijui ulimwengu umeanzaje.

Unaelewa analogy hiyo?

Unaelewa contradictiin ni nini?

Unaelewa mantiki ni nini?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Umesema whatever begin to exist has a cause.

Mimi sijabishia hilo.

Lakini kwa nini ni lazima hiyo cause iwe Mungu tu na si kingine?

Hujajibu swali hili.

Mifano dhaifu ya contradiction against god kwako wewe kiranga utaiona ina mantiki

1. could an all-good God know what it is like to sin? Yes, for God knows all truths; but he doesn’t know all truths directly from personal experience. God knows what it is like to sin by knowing what it is like for us to sin.

2.God is all-knowing—if he knows everything every person will ever do—what does that mean for our free will? Is such causal liberty an illusion? Not at all. I can know my influenza-stricken, gagging child is about to vomit without causing her to vomit. Foreknowledge does not equal causality.

Elewa kwamba wanaona kwa wazi” Mungu na kazi Yake ni wasioweza kufanikisha chochote, wao wote ni wenye kiburi na wapumbavu. Mwanadamu hafai kufafanua kazi ya Mungu; zaidi ya hayo, mwanadamu hawezi kufafanua kazi ya Mungu. Katika macho ya Mungu, mwanadamu ni mdogo kushinda mchwa, kwa hivyo mwanadamu atawezaje kuelewa kazi ya Mungu? Wale wasemao daima, “Mungu hafanyi kazi kwa njia hii ama ile” au “Mungu yuko hivi ama vile”—je hawa wote si wenye kiburi?
 
Kuna theory za bing bang lakini hazina nguvu kwa bible na quruan
 
Kabla ya kusema Mungu hivi au vile, kwanza thibitisha yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kusema Mungu hivi au vile, kwanza thibitisha yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hii mistari ya moto

Kumbukumbu la Torati 4:35: “Wewe ulionyeshwa mambo haya ili upate kujua ya kuwa Bwana ni Mungu; badala yake hakuna mwingine.” Kumbukumbu 6:4 “Sikieni, enyi Israeli, Bwana Mungu wetu Bwana ni mmoja.” Malaki 2:10a, “Je, sisi zote hatuna Baba mmoja? Je, si Mungu moja alituumba? 1 Wakorintho 8:6 “Hata hivyo kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vinatoka na kwa ajili yake sisi tunaishi; na kuna Bwana mmoja, Yesu Kristo, ambaye kupita kwake vitu vyote vinatoka na ambaye kwa njia yake sisi tunaishi. Waefeso 4:6: “Mungu Mmoja na Baba wa vyote, ambaye ni juu ya yote na katika yote na ndani ya wote.” 1 Timotheo 2:5: “Maana yuko Mungu mmoja na mpatanishi mmoja kati ya Mungu na wanadamu, amabaye ni Kristo Yesu.” Yakobo 2:19: “Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja. Ni vyema, hata mapepo wanaamini kwamba kuna Mungu mmoja na hutetemeka kwa hofu.”
Kama kulikuwa na Mungu zaidi ya mmoja, ulimwengu ungekuwa katika machafuko kwa sababu ya wabunifu wengi na mamlaka, lakini siyo katika machafuko, kwa hiyo, kuna Mungu mmoja tu.

Tangu Mungu ni kiumbe kamili, kamwe hakuwezi kuwa na Mungu wa pili, kwa sababu wangekuwa tofauti katika baadhi ya njia, na kuwa tofauti kwa ukamilifu hiyo ni kuwa chini ya kamilifu na kukosa kuwa Mungu.
 
Back
Top Bottom