Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Hicho nin kiburi cha uzima!!Nikiitaja "pembetatu duara" maana yake ipo?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho nin kiburi cha uzima!!Nikiitaja "pembetatu duara" maana yake ipo?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifo pia kinaonesha Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.Hicho nin kiburi cha uzima!!
Iran wame cancel Friday prayers.
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake wanaotaka kusali Ijumaa?
Kweli huyu Mungu yupo au ni hadithi za watu za uongo tu?
![]()
Iran coronavirus death toll reaches 26, many Friday prayers canceled
Iran said on Thursday its death toll from coronavirus had risen to 26, by far the highest number outside China, and the total number of infected people now stood at 245, including several senior officials.www.reuters.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu vingine majibu ni mepesi sisi ni mfano wa wa adam ndio neno mwana adam
Kifo pia kinaonesha Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingeachia viumbe wake wanaopendana watenganishwe na kifo.
Unajuaje hayo maneno ni kweli na si hadithi za uongo za kutungwa na watu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?
Hata wanaokwenda Hijja?
Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
MANENO YA KIKAFIRIIran wame cancel Friday prayers.
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake wanaotaka kusali Ijumaa?
Kweli huyu Mungu yupo au ni hadithi za watu za uongo tu?
![]()
Iran coronavirus death toll reaches 26, many Friday prayers canceled
Iran said on Thursday its death toll from coronavirus had risen to 26, by far the highest number outside China, and the total number of infected people now stood at 245, including several senior officials.www.reuters.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kitabu ya philosophy ni Kitabu chenye msaada wa ibilisi kuwamaliza kundi lake.Kile kitabu kimekusanya mambo mengi sana.
Kina maelezo si tu yanayopinga uwepo wa Mungu, bali pia yanayotetea uwepo wa Mungu.
Tatizo watu wengi kusoma ni shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujathibitisha Mungu yupo.Kwani kipindi wana wa Israel wanateseka kabla ya kuja Nabii musa huyo mungu alikuwa hawaoni hao banii Israel!!!kila kitu kina muda wake tambua hvy, furauni nae alikuwa na mawazo kama yako mwisho wa siku akaangamia kwenye maji na Jeshi lake, karuni nae hvy hvy alikua kibri akaangamia kwenye mgongo wa ardhi yeye na nyumba yake. pumzi isikuahadae mjomba, umauti unatisha ww unasifa tu watu wanavyokupa likes ukaona sifa. Dunia hii walikuwepo welevu zaidi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Logical non sequitur.hujui kuwa Mungu yupo
hivyo unajua aliyepo ni nani?
je ni hiari yako wewe kupumua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Logical non sequitur.uliwahi kutengeneza mtu akafanana na wewe
pia ukampa na pumzi ya ya uhai?
kama hujaweza wewe nani uliwahi kumwona amefanikiwa kufanya hvyo?
huwezi na hayupo kati yetu wa kufanya hivyo je aliyetufanya tuwe tulivyo ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujathibitisha Mungu yupo.MANENO YA KIKAFIRI
Umekisoma?Hiyo kitabu ya philosophy ni Kitabu chenye msaada wa ibilisi kuwamaliza kundi lake.
Adam ni nani na unathibitishaje sisi ni mfano wa Adam?Kuna vitu vingine majibu ni mepesi sisi ni mfano wa wa adam ndio neno mwana adam
Bible na quruan zineandika sana haya mambo upo dunia ipi wewe??Adam ni nani na unathibitishaje sisi ni mfano wa Adam?
Unajuaje kwamba hiyo habari ya kwamba sisi ni mfano wa Adam ni habari ya kweli, na si hadithi za utamaduni wa watu tu walizozitunga?
Hebu twende sawa wewe kirangaUmekisoma?
Thibitisha Mungu yupo.
Halafu thibitisha Ibilisi yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga ana zunguka mbuyu alio upanda hamjuiMkuu nadhani wewe ni mgeni kwa kiranga,
Kutokana na majibu yako hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kaandika Bible na Quran? Na unajuaje kaandika ukweli?Bible na quruan zineandika sana haya mambo upo dunia ipi wewe??
Umejuaje kuna "aliyetengeneza dunia" ?Kiranga ana zunguka mbuyu alio upanda hamjui
Yaani anaishi dunian aliyemtengenezea dunia hamjui
Hoja zake kama yeye hakai dunian
Uthibitisho ninaoutaka ni ule ambao utaondoa shaka yote, una uthabiti wa kimantiki, haupingiki na unaweza kurudiwa na mtu mwingine asiye na dau katika suala hili.Hebu twende sawa wewe kiranga
Uthibitisho unaoutaka wewe ni upi
Wa ki iman?
Wa kinadharia?
Wa kukutumia wewe kama mfano?
Au wakiphilosphoy and theory??
Chagua kati ya hapo juu uthibitisho upi utauelewa uelimishwe kwa uzuri??