Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hujathibitisha Mungu yupo.tatizo lako umestick katika mawazo hasi wakati kuwa flexible kimawazo kutakufanya ujue vitu vingi sana
Je wajua ni dunia pekeee kwa wanasayansi wamegundua ndio kuna maji pekee
Lakini siri ya mungu huenda kuna madunia mengine makubwa yapo mbali na sisi ila kwa upeo wetu hatuwezi kuwaza....
Kama kiranga unatumia internt iliyotengenezwa na watu
Simu zilizotengenezwa na watu
Magari yaliyotengenezwa na watu
Itashindikana vp wewe kukaa katika ulimwengu ulioyetengenezwa na kitu chenye uwezo mkubwa zaidi..na kibina damu tunakiita mungu.
Sasa binaadamu ndio wamekuja na tafsri zao kama hizi
Mungu ni allah
Mungu ni yesu kristo
Mungu ni masanamu 360
Mungu ni jua
Mungu ni ng'ombe
Mumgu ni mizimu
Hizo zote ni tafsri za kibina adamu ila haijalishi LAZIMA KUTAKUWEPO NA MMILIKI WA ULIMWENGU
Halafu si kweli kwamba dunia oekee ndiyo ina maji.
Thibitisha Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app