Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Hapana simuamini lakini anayosema yana mantiki ukiangalia na uhalisia wa mambo yalivyoUna muamini kiranga?? Kwa lipi mtu hamjui mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana simuamini lakini anayosema yana mantiki ukiangalia na uhalisia wa mambo yalivyoUna muamini kiranga?? Kwa lipi mtu hamjui mungu
Hayana Mantiki Kwasababu Hata Mwalimu Anauwezo Wakufanya Wanafunzi Wote Mkafaulu Kwa Kupata 100 Ya 100 Ama 50 Ya 50 Kwakila Mitihani Ama Maswali Atakayowapa Ila Kwa nn Hawapi Mitihani Namajibu Yake Anawapa Mitihani Yenye Maswali Matupu Majibu Anabakia Nayo ?!Hapana simuamini lakini anayosema yana mantiki ukiangalia na uhalisia wa mambo yalivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kutokuweza kuepuka dhambi ndio iwe excuse kwa Mungu kutoiadhibu dunia? Si umepewa akili na utashi wa kuamua? Umechagua upande ulio kinyume naye unaadhibiwa tu, haijalishi wingi wa watenda dhambi. Majanga mengine anayaacha yatokee ili kuwakumbusha kwamba yupo.Kwa jinsi nature ya maisha ilivyo na dhambi zilivyo huwezi kuacha dhambi na kama kweli moto upo basi kila mtu mzima ataenda motoni.
Msome vizuri Kiranga amesema kwa nini Mungu aruhusu majanga, dhambi n.k wakati uwezo wa kuzuia anao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Angejiuliza kwa nn mwalimu anawapa mtihani bila majibu nawakati majibu anayo nahisi angeweza kupata kamwanga walau kwauchacheSasa kutokuweza kuepuka dhambi ndio iwe excuse kwa Mungu kutoiadhibu dunia? Si umepewa akili na utashi wa kuamua? Umechagua upande ulio kinyume naye unaadhibiwa tu, haijalishi wingi wa watenda dhambi. Majanga mengine anayaacha yatokee ili kuwakumbusha kwamba yupo.
Mfano wako wa mama kumchapa mwanae unamatege, mama ni lazima amchape mwanae kwasababu Mama hana ujuzi wote na uweza wote. angelikuwa na ujuzi wote na uweza wa yote mama angemlitengeneza mwanae asitende kinyume, lakini sasa mambo ni tofauti, uwezo wote na ujuzi wote mama hana.Hehee kuna maswali mengine wala hayahitajii kuumiza kichwaKwani mama anapomchapa mwanawe ama anapomkaripia ama anapo muonya pale anapokosea ama anapofanya jambo baya ama ambalo halipendezi katika jamii hua hampendi ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataswali mumo mumoKilwa si kuna magofu tu
Kwakua ushakubali kama yeye Nimuumba ama Muweza Wayote Hata Hayo Uloyataja Ujue Niuweza Wake Nandio Maana AkayaumbaMfano wako wa mama kumchapa mwanae unamatege, mama ni lazima amchape mwanae kwasababu Mama hana ujuzi wote na uweza wote. angelikuwa na ujuzi wote na uweza wa yote mama angemlitengeneza mwanae asitende kinyume, lakini sasa mambo ni tofauti, uwezo wote na ujuzi wote mama hana.
Hapa tunamujadili Mungu mjuzi wa yote na upendo wote, lakini kaumba dunia yenye mapungufu mengi wakati alikuwa na uwezo wa kuumba dunia isiyo na mapangufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu namnukuu Kiranga kwa nini aruhusu majanga na uwezo wa kuzuia anao?Sasa kutokuweza kuepuka dhambi ndio iwe excuse kwa Mungu kutoiadhibu dunia? Si umepewa akili na utashi wa kuamua? Umechagua upande ulio kinyume naye unaadhibiwa tu, haijalishi wingi wa watenda dhambi. Majanga mengine anayaacha yatokee ili kuwakumbusha kwamba yupo.
Nukuu na fikiri kisha songa mbele. Kwani umeambiwa Kiranga ni SI unit?Mkuu namnukuu Kiranga kwa nini aruhusu majanga na uwezo wa kuzuia anao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio SI unit ila ana hoja nzito na za msingiNukuu na fikiri kisha songa mbele. Kwani umeambiwa Kiranga ni SI unit?
Hana hoja bhana. Mungu sio dictator. Kakuumba na kakupa akili na utashi ili umuabudu kwa kipendaroho chako. Kuhusu hayo majanga hashindwi kuzuia. Bali binadamu wamezidi uovu . Nayeye anayaachia ili kuwapa watu muda zaidi wa kujirekebisha. Anadhihirisha ukuu wake. Rejea mapigo ya wamisri katika kitabu cha kutoka kama wewe ni mkristo. Kisha kasome kitabu cha Ayubu ujiongezee ufahamu. Na zaidi malizia na kitabu cha ufunuo. Nimefika mwisho wa hoja hii. Kama wewe na Kiranga wako hamuelewi basi.
Nakwanini asiruhusu wakati kaamua yatokeeMkuu namnukuu Kiranga kwa nini aruhusu majanga na uwezo wa kuzuia anao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni wapi nimetambua uwepo wake?, unaweza kuonyesha ni wapi nimekili uwepo wake?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakua ushakubali kama yeye Nimuumba ama Muweza Wayote Hata Hayo Uloyataja Ujue Niuweza Wake Nandio Maana Akayaumba
Utampangiaje Mtu Anaeweza Kufanya Kila Kitu Afanye Unavyotaka wewe wakati Yupo Katika Uwezo wake Wakufanya Mambo yake
Anaweza Yote Nandio Maana Akaumba Hatahayo Maradhi Ama Majanga Ama Dhiki Kwasababu Yapo Ndani Yauwezo Wake Pia
Ndio Maana Ukasema Mungu Muweza Sababu Anaweza Kuumba Unachokipenda Kwamfano Furaha Nahata Usichokipenda Kwamfano Maradhi Majanga Vifo Ili Kuuonesha Uweza Wake
Kutokufanya Watu Wasipone Pia Nindani Yauwezo Wake....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja zake hazina uzito nawala hazina msingi ukitaka kuamini hilo muulize kwa nn Anaamini Kama Hakuna MUNGU
Sijui nini?Bado hujui kwahio kusema kwako ni 10 haitakua na uhalali kwasababu ndio hujui
Ukishakua hujui utabakia kua hujui tu mpaka utakapo jua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini MUNGU Hayupo Nipe Sababu Zakwanini MUNGU Hayupo Achana Nababa Angu MzaziSijui nini?
Unajua naweza kuwa sijui umri wa baba yako mzazi, lakini nikajua ni mkubwa kuliko wewe?
Kwa sababu baba yako mzazi hawezi kuwa mdogo kuliko wewe?
Unaelewa hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwepo, halafu ulumwengu unaoruhusu mabaya kuwepo, hilo ni contradiction.Kwanini MUNGU Hayupo Nipe Sababu Zakwanini MUNGU Hayupo Achana Nababa Angu Mzazi
Kitu Ili Ujue Kipo Unatakiwa Kuwe Na Kiashiria Gani Nakama Hakipo Unatakiwa Kuwe Nakiashiria Gani Kinachokuonesha Kwamba Hakipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kirusi kidogo kakiketa mataifa yanayojitapa kwa teknolojia ya hali ya juu yanashindwa kukiona, wataalam wa afya wa dunia nzima wanashindwa kutibu! Vikosi vya usalama vya hali ya juu vinashindwa kuona au kufahamu vipi kirusi hichi kinajipenyeza katika mataifa yao! Majeshi yenue uzoefu na silaha za hali ya juu za kivita zinashindwa kupambana na kirusi hiki!Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?
Hata wanaokwenda Hijja?
Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Wewe ktk hicho unachoamini kimeweza lipi?Hujajibu swali nililouliza, na kama kuna swali umejibu, sijauliza.
Mungu kashindwa kuwanusuru waja wake wanaotimiza nguzo ya Hijja?
Who are we to question Him? Ikiwa ni Mungu kweli na ana uwezo wa kila kitu, basi ana haki ya kufanya atakalo bila ya kuulizwa na yeyote. Na ndio maana anafanya kwa sababu hakuna wa kumuuliza kwa nini afanye aliloamua. He is the top off all! Haogopi chochote wala hajali athari ya lolote analofanya, sisi ndio wa kuogopa na kumuomba na kumnyenyekea kwa sbb tunamuhitajia yeye asituletee majanga au atuondoshee majanga!Mkuu namnukuu Kiranga kwa nini aruhusu majanga na uwezo wa kuzuia anao?
Sent using Jamii Forums mobile app