Cosmic Singularity: Je, hii ni hoja inayojitosheleza kueleza ulimwengu ulivyoumbwa?

Primordial singularity inasema ni point moja ambapo all matter,space , energy and time was compressed in a tiny point. Lakini haisemi hizo components zilitokea vipi.
Tatizo linalowakumba wengi ni kufikiria ''time'' wakati wanapo-discuss singularity. Ukishaweka au kuwaza ''time'' ni lazima ukwame. ''Time'' haikuwepo hivyo huwezi kuhoji zilikotoka components..
 
Kama kila kitu lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu hivyo lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.

Hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu, Haiwezekani iwepo tu, from nowhere. Na yenyewe lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.

Kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kimetokea sehemu fulani, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things HAVIJATOKEA sehemu yoyote.

Ulimwengu ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo BILA kutokea sehemu yoyote.
 
Mimi naheshimu mawazo ya kila mchangiaji. Nitayapitia na hayo maandiko uliyoyaleta. Shukrani sana kwa mchango wako.
Soma kitabu Cha Quran mkuu,kule Kuna majibu yote yanayowasumbua watu kuyajua....kasome kwa NIA ya kuelewa.
 
Mkuu,

Umewahi kusoma quantum physics? Kama umeisoma, umeelewa nini?

Unatumia logic ya classical physics ya baba kumzaa mtoto katika quantum physics? Kweli kabisa? Unaelewa quantum pgysics ni nini?

Unaelewa kuwa ukitaka kushikilia causality kimantiki utaishia kuona ulimwengu hauna mwanzo kwa sababu chochote utakachosema ndiyo mwanzo nacho kitahitaji kingine kiwe kimekianzisha, na hapo ndipo qiantum causality loop inapokuja ku make sense kwamba hakuna cha mwanzo ila vitu vipo katika loop ya kisababishana?

Unaelewa kuwa inawezekana unatembea kutafuta mwanzo wa uso wa dunia wakati dunia ni sphere?

Nikikwambia hapa una uelewa finyu, kama kweli una uelewa finyu, sijakushambulia. Nimekwambia uelewa wako ni finyu inabidi uupanue. Ni ukweli tu.Acheni kuwa overly sensitive mnapoambiwa ukweli.

Sasa wewe hujui quantum physics hata ya msingi tu. Unatumia classical physics examples kwenye quantum physics.

Nikisema una uelewa finyu nakoseaje hapo?
 
Hii ni infinity regress

(i). Je sayansi inaelezeaje sifa za "entities" zilizoasisiwa?

(ii) Je ulimwengu umezihadaa na kujinasua na sifa hizo?

(iii) Je material entities inaweza kujiumba/kujitokeza/kuibuka pasina kichocheo?
Nakwambia hivi, ukisisitiza kuwa causality ni muhimu, kimsingi unasema ulimwengu hauna chanzo.

Kwa sababu chochote utakachosema ni chanzo, nacho kitahitaji kingine kikianzishe.

Huelewi wapi?
 
Nakwambia hivi, ukisisitiza kuwa causality ni muhimu, kimsingi unasema ulimwengu hauna chanzo.

Kwa sababu chochote utakachosema ni chanzo, nacho kitahitaji kingine kikianzishe.

Huelewi wapi?
Aiiiiiiiiiiiight, majadiliano mema, i'm out
 
The big question is, je kuna other intelligent being in the universe? If the universe is infinite why only human are intilligent and only on earth what about other planets and stars?? Are there super intelligent being that sees human the way we see chicken??
 

Hili sasa ni swali la nyongeza.
 
Umeelewa au unakimbia tu?
1. I could present a counterargument but i have decided not to

2. I am not here to win a contest or prove i am more knowledgeable than anyone

3. We have different perspectives, so we can agree to disagree and moves on
 
I could present a counterargument but i won't, i am not here to win a contest or prove i am more knowledgeable than anyone, we have different perspectives, so we can agree to disagree and moves on
Present your counteragument so people could see it and learn.

This is not a pissing contest.
 
Present your counteragument so people could see it and learn.

This is not a pissing contest.
Well, thanks MR. KIRANGA, unfortunately now days i am not drawn to this kind of contest, the way things were going - won't end well, so let's call it a day

🤞
 
Hakuna ajuaye chanzo cha ulimwengu.

Wote wanaojaribu kuelezea, wanafanya hivyo kwa kukisia tu.

Na ndo maana maswali kuhusu chanzo cha ulimwengu hayaishi.

Kuna mambo mengi mno hapa ulimwenguni ambayo hatuyajui.

Majuzi hapa James Webb Space Telescope imegundua galaxies ambazo zinafikirisha kuhusu dhana/ nadharia ya Big Bang.
 
Zaidi,

Inawezekana dhana nzima ya chanzo katika muktadha huu ni potofu, inabidi tuitazame upya, tunaisema kwa anthropic bias. Ni kama tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunafikiri ukitembea saaana utafika mwanzo wa dunia na ukiendelea utaanguka nje ya dunia.

Tunautafuta huo mwanzo.

Wakati dunia ipo kitufe zaidi na unaweza kutembea sana ukarudi ulipoanzia.

Ukisoma sana quantum physics utagundua kuwa kuna mambo mengi sana hatujayajua vizuri, dhana kama ya causal quantum loop, inayosema kwamba unaweza kuwa na A ambayo inaisababisha B wakati huo huo B nayo ikawa inaisababisha A kwa namna ambayo kati ya A na B huwezi kusema nini kinasababisha nini, inakuwa very counterintuitive tukiifikiria kwa scale yetu na models zetu za classical physics ambazo tumezoea kuona kuna mama anazaa mtoto, na mama ndiye anasababisha mtoto awepo.

Sasa hapo ukiambiwa kwenye quantum physics kuna kitu kama mama anazaa mtoto na mtoto naye vile vile ndiye aliyemzaa huyo mama, inachanganya.

Sasa kama quantum physics tu hatujaieleea vizuri (watu wote wa dunia bado hatujaielewa vizuri) hatuwezi kisema tunaeleza chanzo cha ulimwengu ni nini.

Yani hata dhana nzima ya chanzo , dhana yenyewe, hatujaielewa bado.

Tunaielewa katika classical physics tu. Tukienda katika quantum physics hatuelewi chanzo ni nini.

Zile virtual partickes zinazotokea out of the vacuum of spacetime hatujui chanzo chake ni nini, hatujui kama zinahitaji chanzo au zinaweza kuibuka tu randomly.

Hatujui chanzo cha quantum entaglement ni nini, inakuwaje particles zilizo million of light years away ziwe zinageuka pamoja kama mapacha alnost instanltly defying the soeed of light limit. How does this work?

Huo muda wenyewe hatujaweza kuu define vizuri.

Suala la chanzo ni suala la muda. Lakini muda ni nini?

Ukiondoa vyote katika ulimwengu, muda utakuwepo bado? Utakuwapo vipi?Muda ni relation ya vitu, unapimwa kwa movement ya vitu. Ukiwa huna kitu katika ulimwengu huna muda, au hata uki freeze kila kitu huna muda. Au kwa kitu kinachokwenda at the speed of light muda unasimama.

Sasa kama hatujaweza kueleea hayo mambo mengi vizuri, tutasemaje tunaelewa hata dhana ya chanzo maana yake ni nini na ni ya msingi kwa kiasi gani?

Kwa nini ulimwengu katika upana wake wote usiweze kuwa ulikuwepo tu daima na sisi tunaposema hapa ukimwengu ukianza, kwa mfano kwa Big Bang Theory, pasiwe ni cycle moja ya sehemu moja tu ya ulimwengu? Kuna sheria gani ya kisayansi inayozuia hilo?
 
Hapo umezungumzia dunia. Just a tiny speck in the observable universe!

The sun is approximately 1,300 times the size of earth.

There are stars that are much bigger than the sun.

So if we don’t know much about the observable universe, imagine what’s out there beyond the observable universe!

In the grand scheme of things, we know very little.
 
Nimeshafanya majaribio ya kupandikiza humu namna ya 'Kuona Mifumo' kwa hata 'Non Local Physics' humu JF...

Ninawinda nani ata-echo back ili yazungumzwe ambayo ni 'Completely Unusual' katika these 'Community Talks'...

Siyo kwamba ninategemea 'Expert Reviews / Corroboration / extrapolation' or something rather it is one way of individuals with kind of disposition for novel ideas , to track the 'evolution of sociological and scientific imagination' within my immediate society...

Ninatambua kila post niliyo-seed 'Strange Physics' humu JF...

Kuna yanayosubiri ambayo hayatatengeneza hesabu ikiwa 'Mtu anafosi Kingi' eti yaeleweke humu -- yote kheri though, im not complaining...

There is always a way about them things....

'Usingurali' na the whole 'Bing Bang' thing ni half baked concepts za the present Scientific Community -- kuna namna yake ya kejeli im not quite sure ikiwa humu kuna ambao wata-dig its humor...

Mambo kama vile corelation ya tuseme 'Ejaculation' na 'Big bang' kuhusiana na notion ya 'Banging'... NI scientific terms zinazochomozea kwenye mambo kama vile 'Kundalini / Volcano' ...
​


Well, our terrestrial scientific enterprise haiko huru na tena 'iko censored'; Kuna ambao hapa hapa Duniani wanajua mambo hata zaidi ya narratives zinazo-spring from 'Mainstream Scientific Community' lakini 'mazingira ya kazi' yanawabana wasifungue midomo na 'Kuwasanua' wadau...
​


Usingulari ni dhana inayotokea kwenye jamii ya kisayansi inayojibana kwa makusudi kwenye notions za matter, gravity na inertia na kumbe ukiweza kuotea kwamba tungamo (mass) ya chochote ni densiti ya mifumo ya utendaji yenye kuhusisha uelekeo-inesha-mwenendo basi unakuwa upo karibu na kutambua: ala ! basi kumbe kila kitu kinafungamana na kingine possibly kupitia 'inesha'--kwenye rotary systems sehemu ambayo ni kama vile huwahaijongei ni kitovu cha mizunguruko--Je, unaweza kukadirisha sehemu isiyozunguka katika mzunguruko?

Wakati mmoja humu tutaelekezana kuwa kila kitu humu Duniani, iwe jana, leo, kesho kinaweza 'kufikiwa' kwa fizikia na metafizikia za uelekeo-inesha-mwenendo: mambo ya 'Time Travelling'... Na namna ya kuelezea, labda si ngumu kivile tatizo ni 'Ugeni' wa 'Dhana'...

Leo watu wanatumia akili bandia lakini wanaweza wakawa wazito kutambua hata kusafiri kiwakati kunaingiliana na 'Fizikia ya Kikwantumu' ili kumudu yale yote yanayoweza kusemekana kama 'quantum probabilities'; kwamba labda intaneti tunayotumia ina-interface na 'Quantum Computer' somewhere[Siri ya Kambi]...

Kusafiri kiwakati, na hata kusafiri kwenye nyota za mbali instantenously ni uwezekano lakini hili haliwezekani pasipo matumizi ya 'Quantum Computation'; sehemu yeyote ina anuani, quantum computer inaweza kutunza na kuchakata data za uelekeo-inesha-mwenendo ili kuwezesha 'Teleportation'....

In Shaa Allah, tuombe kheri wakati mmoja haya humu humu JF tutaelekezana kwa lugha hii hii ya Kiswahili...​


View: https://youtu.be/G1-Tjlz3wV8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…