Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Mmh...couple...
hebu aliye single na sie tuanze Mwaka....ili tuingie kwa book mwakani!?

huu mwaka hakuna mtu anayetaka kuwa single ati.
hebu fanya fanya mipango ubebe na wewe wako humu kuna huyu M.E.M.A

mi nitakomaa sana kwa Chocs! ili tuwe couple bora 2014
 
Last edited by a moderator:
and you were not happy


Lol nimechoka na haya maswali uran

Nampenda Erickb52 only and i'm so happpiest being with him, let's call it a day...usiku mwema kaka yangu wa hiyari!
 
Last edited by a moderator:
Lol nimechoka na haya maswali uran

Nampenda Erickb52 only and i'm so happpiest being with him, let's call it a day...usiku mwema kaka yangu wa hiyari!

siyo kaka wa hiyari mimi, the u love the more u hate!! u love him, u will hate him, and u will love me.
mwaka mpya na mambo mapya!! yameumbwa na mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…