niko single kabisa!
a u available?
nawaonea wivu eti...
ahaa sasa tunatakiwa kufuata taratibu zipi?
niambie kwanza unapatikana wapi..
kaka njoo huku jiachie sana na uwe na uhuru wa kuchagua.
give me one, to marry
we na urembo wako bado upo single?
hebu achana na haya mambo ya utawa, utaulizwa na mungu eti
huo uzuri wako umeutimiaje?
niko single kabisa!
a u available?
Ebu ngoja nitamuliza my dady baba V akueleze utaratibu kwa mila za kwetu. Napatikana tangibovu
That's my daughter.. And you better know your father in law in advance.
These are my rules
1. You hurt her I hit you on the nose.
2. I don't mind going back to jail for killing a third person who messes up with my daughter's feelings.
3. If you think of a cheap relationship with her read number 1&2
Otherwise HAPPY NEW YEAR
C.C valentine
Kwanza kabisa nimemwandikia sheria zangu hapo juu azijue kabisa... asije lalamika baadae. Watoto wenyewe tumesomesha Inteneshno nyie..
sheria nimeziona ba mkwe! ila naona iliyokuu hapo ni upendo.
natakiwa kumpenda 'Valentina'...na nitafanya hivyo!!
'Valentina' mwenyewe anampenda 'baba yake' kama niniNgoja nikae pembeni kwa sasa... mengine haya..