Couple Bora ya Mwaka 2013!!!

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Pwa pwa pwaaa,that's my lovely daddy!!
 
Last edited by a moderator:
sheria nimeziona ba mkwe! ila naona iliyokuu hapo ni upendo.
natakiwa kumpenda 'Valentina'...na nitafanya hivyo!!

Eimeen,ulu,lu,lu,lu,luuuu....mwaka umeanza vzr kwngu huu! Lol
 
Last edited by a moderator:
Hebu na wewe weka mpango mkakati wako kwa mwaka wa Mahusiano 2014/2015

nimechezea vya shingo vingi, wengine hadi wmenifungia kuingia PM zao nisikanyage, usisahau walionianzishia thread za kunikataza
 
Valentina we jirani yangu nn tangibovu ipi unakaa asee matutina road au goba road inaweza ukawa jirani yangu asee tujuzane

Kumbe ulikua ujui mi jirani yako eeh, hua nakuchabo kila siku unavopita apa uchochoroni. Iv yule jamaa anae kusindikizaga ni nani? Shemeji asipaone hapa.
 
Last edited by a moderator:
halafu Mapi haya mambo hayakuhusu!!
Hebu niambie, uko powa wew????? Heri ya mwaka mpya!

hahaha..unalo!
tangu nimepata habari ya mambo yako na huyo kaharibika nimezdi kuwa powa:wink2:

heri ya mwaka
 
we usikae kusuburia mwongozo, hapa ni mwendo wa kujibinafsishia kama mimi ninavyofanya kwa 'Valentina'
kashaniagizia hadi kwao.

We mwache aendelee kushangaa kama ajakuta mwana si wake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…