Couple ya Tunda na Casto Dickson ndio Couple mbaya zaidi hapa nchini

Couple ya Tunda na Casto Dickson ndio Couple mbaya zaidi hapa nchini

Kumwagana ama kutomwagana kwangu haina athari yoyote wala hayanihusu. Ila tu nakereka na baadhi ya picha za huyo Tunda za 3/4 uchi wakati akijua ana mtu wake. Na sijui huyo Casto anajisikiaje kuziona mtandaoni. Au naye anasapoti maana naona km mapenzi yao ni kama yale ya Ki O-Level vile.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Fast Life. Speeding to Hell !

-Kaveli-
 
Pozi la picha... hivi mmoja anapoegemea sana kuelekea kwa mwenzake wakati huyo mwenzake yeye amenyooka wima kama 1, huwa inaashiria nini hapo?

Wajuvi wa Body Language nipeni tips.

-Kaveli-
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu ,nimevumilia weeeeeee lakini yamenifika hapaaaaaa acha niseme ukweli tu kama mbwai iwe mbwai tu.

Kiukweli hakuna couple isiyovutia hapa bongo kama couple ya Tunda na Casto Dickson, kiufupi hawapendezani wala hawaendani hata kidogo .

Kwa hadhi na uzuri wa Tunda hakupaswa kudate na jamaa hata kidogo ,hawaendani hata kidogo ,ndio maana Tunda humkuti akimpost post jamaa hovyo wala kujinadi kwamba wanadate ila huyo Casto ndio kutwa nzima anampost post hovyo Tunda na kujisifia sifia kwa watu sijui kabila gani huyu jamaa, maana inaonesha hakuwahi kupata demu mkali zaidi ya Tunda.

Ila nina uhakika hilo penzi lao litaisha mwaka huu tu ,sidhani kama mwakani hilo penzi lao litaendelea kuwepo abadani asilani labda jamaa ampige kizizi cha kumfunga Tunda asitamani mwanaume mwengine.


View attachment 847205
Wacha wivu wa kike

Embu mpost na ww uyo demu wako tuone kama mna endana ama ham endani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes tunda ni mzuri ila.malaya, na anamatumizi ambayo castor hayawezi, hivo tunda yupo na castor kama mshkapembe tu. Ila tunda anatoka na wazee wenye mikwanja mirefu kama kina kije na kadhalika, ila hawataki kujionyesha ili kulinda ndoa zao. Ndo maana unakaona kanabadilisha tu hoteli kila siku, mara rwanda, dubai n.k. kuna mazee mafanya biashara huwa yanasafiri nako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes tunda ni mzuri ila.malaya, na anamatumizi ambayo castor hayawezi, hivo tunda yupo na castor kama mshkapembe tu. Ila tunda anatoka na wazee wenye mikwanja mirefu kama kina kije na kadhalika, ila hawataki kujionyesha ili kulinda ndoa zao. Ndo maana unakaona kanabadilisha tu hoteli kila siku, mara rwanda, dubai n.k. kuna mazee mafanya biashara huwa yanasafiri nako

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni holy wa fey?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako Anamaria alikua mzuri kuliko Tunda. Casto anajua kupenda na anampenda sana Tunda. Japo Tunda ana mambo yake mengi na casto anajua sema wala hajali

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba Casto hajali bali uwezo wa kumuacha mtoto mzuri kama Tunda hana labda aachwe yeye, kwanza hainiingii akilini kabisa kama ni wapenzi kweli kweli kuna kitu kimejificha hapa ngoja nipeleleze mpaka nijue.
 
Back
Top Bottom