COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

Mtafiti Zaosong Zheng (kulia) na mkewe Wenjie ZhuView attachment 1487734
Kiongozi,haitapendeza tukakujua zaidi kwa mahojiano maalumu hapahapa jukwani? Maana isije baada ya,na sisi tunaanza kuhadithiwa historia ya mwandishi nguli wa makala Kama hizi wakati tunashinda wote hapahapa kilingeni.

NB: Taarifa zako binafsi ambazo Ni nyeti waweza zificha endapo TU zikifahamika kwa watu itakuathiri.
 
Ila mkubwa mazungu yako mbali sana kiteknolojia nahisi hata waliompiga risasi Lissu yanawajua kwa majina yao matatu
Tena kwa hawa wetu huwa wanafanya mambo kizamani!! Sana USA, wana wa check tu, ndio. Maana huwa wakisema kitu wanamanisha, ndipo unakuta jinga moja linakuja kuleta ligi na CIA, FBI,
 
Ile device ilikuwa inafanya nini kenya nina hamu kutaka kujua
 
Mkuu mi naomba utuwekee hicho kitabu operation paper clip
 
Dah mkuu utamu wote hui na maarifa yote hayo tena unayatoa ndugu yangu Mimi nadhani ungeendelea na Uzi wako kama ilivyokuwa awali alafu hawa ambao hawaelewi waulize tuzidi kwaelewesha
 
My favorite person on JF, live long Brother.
 
Hapo juu ni Ripoti ya CIA ambayo ilitolewa miaka 20 iliyopita wakibashiri namna ambavyo kutatoka milipuko ya maambukizi na kihatarisha hali ya Usalama wa Marekani na Ulimwengu kwa Ujumla
Niliangalia hii video ya Bill Gates, akiongea kwenye jukwaa la Ted Talks, kuhusu virus 2015. He knew something was coming.

 
Founder wa blackwater worldwide ambayo sasa hivi inaitwa Academi Erik Prince ambaye alikuwa Navy Seal Officer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…