Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
This is very serious, wastani wa Wagonjwa Wapya 39 kila siku?? Mungu tusaidieWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
Waziri Mkuu akinukuliwa, amesema...
''Kuanzia Aprili 23 - Aprili 28,2020 tumepata wagonjwa wapya wa Corona 196 ambapo kati ya hawa Bara wapo 174 na Zanzibar 22 ambao Waziri wa Afya Zanzibar ameshawatangaza, hii inafanya jumla ya visa vya Corona Tanzania kufikia 480 kutoka 284 ambavyo vilitangazwa Aprili 22''
Factor mbona ndogo sana mkuu inaweza kuwa more than thatKuna uwezekano hizi data zimechakachuliwa...
Chukua figure yao then zidisha kwa factor ya 1.40 ili kupata data kamili...
480*1.4 = 672.
Kwangu mimi hili ndilo jibu sahihi.
Kenge mpaka atoke damu masikioni ndio anajua kuna hatari!Kuna mpuuzi mmoja anajiita 1954 nadhani hivi sasa ataelewa ni wapi kuna maambukizi mengi kati ya Tanzania na Kenya!!
Na ukweli ni kwamba, hapo wamepunguza sana idadi hadi waliopoona aibu kwamba hawawezi kupunguza zaidi na kuamua kutaja hao 174!!
Na Misukule ya Lumumba na ile Misukule ya Jiwe, endeleeni tu kutetea ujinga cuz it's a matter of time kabla hamjaanza kuzika wazazi, waume na watoto wenu wakati mnayemtetea akiwa kajificha kijijini kwao
Ukiwemo wewe kama huchukui hatua!... kwa kipindi hicho cha Aprili 23 - 28; ni wastani wa maambukizi 40 kila siku kwa waliopimwa; wasiopimwa ni wengi zaidi! Duuh! Siku nyingine 5 zijazo tutafikia 100 kwa siku and so on! Wakuu hii kitu ni hatari kuliko inavyochukuliwa! Tunaelekea uelekeo wa Italy na Spain hivi hivi tukiona!
vipi kuhusu tatizo la kupumua ??... kwa kipindi hicho cha Aprili 23 - 28; ni wastani wa maambukizi 40 kila siku kwa waliopimwa; wasiopimwa ni wengi zaidi! Duuh! Siku nyingine 5 zijazo tutafikia 100 kwa siku and so on! Wakuu hii kitu ni hatari kuliko inavyochukuliwa! Tunaelekea uelekeo wa Italy na Spain hivi hivi tukiona!
Type taarifa zako za ukweli, au tuashumu Visa ni laki tatu na waliokufa hadi sasa ni laki mbili na elfhamsin make ndo habari mnazotaka kuzisikia nyinyihawa waongo, wako zaidi ya hao
kuchakachua kunaanzia kufichwa kwa idadi ya waliopimwaKuna uwezekano hizi data zimechakachuliwa...
Chukua figure yao then zidisha kwa factor ya 1.40 ili kupata data kamili...
480*1.4 = 672.
Kwangu mimi hili ndilo jibu sahihi.
Wewe umeisha poteza ndugu wangapi? Na je! Una ndugu au jamaa yako aliyepata huo ugonjwa? Kama wapo, basi serikali inadanganya lakini kama hawapo, basi hiyo namba ya serikali itakuwa sawa. Yaani ni hivi kama wewe una ndugu zako wengi ni wagonjwa na jirani yako ndugu zake wengi ni wagonjwa na marafiki zako wote ni wagonjwa na wana ndugu zao wagonjwa au wamekufa kwa ugonjwa huo, basi hainashaka serikali watakuwa waongo!Mimi siwamini hawa jamaa kabisa, hata waseme vipi wao wabaki na idadi yao,
We Mbwa wametangaza vifo 6 zaidi japo sina imani na hiyo idadi....Siku wakitangaza vifo niite mbwa!
Ndo huu Ujinga tunaoukemea, wewe unataka uambukize wengine siyo?Wagonjwa tunajua wako wengi sana, maana hata mimi hapa nina dalili zote za corona lkn bado sijaenda kupima ili waniingize kwenye data zao.
Swali la msingi ni kuna vifo vingapi mpaka sasa?
Unforgetable
Chukua tahadhari acha kufurahia.Waziri mkuu amesema kuwa maambukizi ya COVID 19 nchini mpaka sasa yamefikia 480.
Vifo sita wakati kila kona ya nchi kwa kila mkoa watu wanazikwa kila siku!Wewe huna macho wala masikio?Naendelea kusisitiza kuwa siku wakitangaza vifo niite mbwa!Vifo ni 6 ametangaza Waziri mkuu!
Je, wewe ni nani sasa?
Hivi wewe una akili timamu kweli? Jiangalie ulivyojaza ujinga kichwani!Chukua tahadhari acha kufurahia.