Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Kenge wewe,nani kasema nasubiri serikali itangaze?Mimi nilimuiga JPM kitambo,familia yangu iko kijijini nimeipeleka huko mapema sana!Nimebaki mjini napambana mwenyewe huku nikuchukua tahadhari!Sasa wewe jidanganye umeambiwa upige kazi na usitishike wakati anayekuambia hivyo kakimbia na familia yake kujificha kijijini!Za kuambiwa changanya na zako!Period!Kwani wewe unasubiri lockdown ya serikali? Yaani utakuwa mbumbumbu wa kufa. Serikali ilishatoa tahadhali siku nyingi sasa wewe ni juu yako kusuka au kunyoa.
Serikari yako ndiyo iliyowazi kuliko huko unakosema mkuu, huu ugonjwa, nchi zote kabisa wakiamua kusema ukweli kabisakabisa, na watu wengi wakapimwa, hakuna penye unafuu mkuuDuuuuh! Tunaongoza EA kwa sasa! Wacha tu nchi majirani watutenge maana tunasambaza hili gonjwa makusudi sasa! Kama hatuchukui hatua proven na WHO na wataalamu wabobezi maana yake tunafanya makusudi mazima kulisambaza!
Hiki kiburi sijui kinatoka wapi! Ewe Mola wetu tuepushe na balaa hili.
Umeshaanza tena kuleta UCHURO!Aisee Kumbe tutafika hata laki kwa chein hii ni hatari imagine walipokuwa waliambukiza wangapi?
Chagua unalotaka ass!Kiburi kinaanzia kwa yule aliyewadanganya eti wafanye maombi na kazi tuuu! Double standard nayo imechangia. Leo lisemwe hili kesho msitishwe, keshokutwa maombi, mtondogoo mask lazima. Lipi tuchukue.
naona unasherehekea badala ya kuchukua tahadhari.Hivi wewe una akili timamu kweli? Jiangalie ulivyojaza ujinga kichwani!
Kichwa chako kina kazi gani?ohooo sawa.
Sababu hao ndo mawaziri wapya wa afya.
Wakiweka picha nyingine za makaburini usisite kutuletea huku.
mlikuwa mnalalamika serikali inaficha idadi ya wagonjwa haya sasa hao hapo 480.
ukitaka lia ukitaka cheka..
Ila habari ndo hyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa afya ni mjanja kaogopa lawama ya kutoa taarifa ya kupunguza idadi ya vifo kaamua kumwachia zigo waziri mkuuWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
Waziri Mkuu akinukuliwa, amesema...
''Kuanzia Aprili 23 - Aprili 28,2020 tumepata wagonjwa wapya wa Corona 196 ambapo kati ya hawa Bara wapo 174 na Zanzibar 22 ambao Waziri wa Afya Zanzibar ameshawatangaza, hii inafanya jumla ya visa vya Corona Tanzania kufikia 480 kutoka 284 ambavyo vilitangazwa Aprili 22''
Mbona hii taarifa mkuu umeileta nusu au kwamba hukusikiliza hadi mwisho ukawahi kuja kuleta uzi.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
Waziri Mkuu akinukuliwa, amesema...
''Kuanzia April 23 hadi Aprili 28,2020 tumepata wagonjwa wapya wa corona 196 ambapo kati ya hawa Bara wapo 174 na Zanzibar 22 ambao Waziri wa Afya Zanzibar ameshawatangaza, hii inafanya jumla ya visa vya corona Tanzania kufikia 480 kutoka 284 ambavyo vilitangazwa Aprili 22''
ukiona maziko ya watu wasiozidi 10 pigia mstariVifo sita wakati kila kona ya nchi kwa kila mkoa na kwa kila siku watu wanazikwa kila siku? Huna macho? Huna masikio? Wewe ni mbumbumbu wa kung'amua mambo?Bosheni/danganya mach unaziita ni vifo?
We mbwa upo?Siku wakitangaza vifo niite mbwa!
Kwa hiyo wewe huna macho na masikio wakati kuna clip imewekwa!Serikali ya waongo. Waliopona ni wangapi? Na waliokufa?
Pumbav,mlikuwa mnashupaza shingo nini tulipowaambia serikali inaficha takwimu?Na hapo bado wanaficha vifo!Shame!
Mimi napiga kazi hata hapa niko na Laptop naendelea na kazi kama kawaida halafu jioni naingia bar napiga bia zangu then narudi home kupiga usingizi. Unalo jingine?Kenge wewe,nani kasema nasubiri serikali itangaze?Mimi nilimuiga JPM kitambo,familia yangu iko kijijini nimeipeleka huko mapema sana!Nimebaki mjini napambana mwenyewe huku nikuchukua tahadhari!Sasa wewe jidanganye umeambiwa upige kazi na usitishike wakati anayekuambia hivyo kakimbia na familia yake kujificha kijijini!Za kuambiwa changanya na zako!Period!