KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Sijamsikia na inawezekana akawa sahihi, ila huyu baba alisoma wapi vaccinology? Yeye yuko kwenye samaki na mambo ya bahari muda wote, authority anaitoa wapi ya kuongelea vaccinology? Tuwekee papers zake kwenye hii field.
Huyu ali advocate malimao na NIMRCAF enzi wa Mwendazake, leo analeta talalila za vaccine.
CV yake ni hiyo! Taaluma yake ni ufugaji samaki. ajabu hajawahi hata kutafuta tiba ya magonjwa ya samaki.Sijamsikia na inawezekana akawa sahihi, ila huyu baba alisoma wapi vaccinology? Yeye yuko kwenye samaki na mambo ya bahari muda wote, authority anaitoa wapi ya kuongelea vaccinology? Tuwekee papers zake kwenye hii field.
Huyu ali advocate malimao na NIMRCAF enzi wa Mwendazake, leo analeta talalila za vaccine.
ACHA KUMFANANISHA PROF. I.H. LIPUMBA NA VITU VYA KIJINGA WEWE.Hili la Mug* aya na chanjo za corona limenikumbusha mapropesa Lypumber na sakata la kutengua barua, propesa Muongo na sakata la pesa la escrow!! Wote hao waliweka elimu mfukoni kwa maslahi ya aibu ya tumbo!..
Huyu professor ndumilakuwili hata sikushangaa alipokuwa akiongea utopolo kwenye kipindi cha 360. Ni aibu na fedheha kuwa na mandumilakuwili kama hawa.Hili la Mug* aya na chanjo za corona limenikumbusha mapropesa Lypumber na sakata la kutengua barua, propesa Muongo na sakata la pesa la escrow!! Wote hao waliweka elimu mfukoni kwa maslahi ya aibu ya tumbo!...
Nawewe Uliyefeli shule kule kolomije ukamkunja bila aibu mzee wa watu Jaji Warioba pale Plaza ubungo, vipi maisha yanaendaje baada ya kupigwa chini ukuu wa mkoa hapa Dsm?Hili la Mug* aya na chanjo za corona limenikumbusha mapropesa Lypumber na sakata la kutengua barua, propesa Muongo na sakata la pesa la escrow!! Wote hao waliweka elimu mfukoni kwa maslahi ya aibu ya tumbo!! Kwa uchungu tukubali ukweli kuwa tutasubiri sana kupata maprofesa hasa wanaozingatia taaluma na kuachana na kitu kidogo!! Sina muda wa kutosha kuleta habari ya propesa Kapuyer na helkopta ya jeshi kuitumia kutembelea washkaji wake kwa gharama ya mlipa kodi wa Tanzania!, propesa Kawermbwer na mdororo wa elimu!! Hebu tuongezee orodha ya mapropesa wetu! Mug*ya huyu huyu wakati wa awamu ya 5 alisema kwenye mhadhara na wasomi wenzake kuwa chanjo huandaliwa na kuhakikiwa usalama wake kwa miaka 10 hadi 15!! Alikuwa anaziponda chanjo hizi hizi anazipigia debe leo!! Ni aibu yake itakayomfuata kwenye historia!
Siamini macho yangu! Huyu Mgaya leo anatumia elimu yake kupigia debe chanjo za corona ambazo mwaka huu huu alitumia elimu yake kutuambia chanjo za corona hazina ubora! Ukimwamini propesa kama huyu itabidi ukapimwe kwanza akili! Hebu fungua link hii hapa chini halafu ulinganishe alichokisema miezi michache iliyopita na anachokisema leo!! Mgaya tafadhali ujiuzulu! Si kwa fedheha hiyo!
Mkuu inawezekana vaccinenology kaisomea kwenye mitandao tu, kwavile enzizake za usomi, hakikuwa na habari ya chanjo ya vaccine.Sijamsikia na inawezekana akawa sahihi, ila huyu baba alisoma wapi vaccinology? Yeye yuko kwenye samaki na mambo ya bahari muda wote, authority anaitoa wapi ya kuongelea vaccinology? Tuwekee papers zake kwenye hii field.
Huyu ali advocate malimao na NIMRCAF enzi wa Mwendazake, leo analeta talalila za vaccine.
Ametumia takwimu za utafiti upi!?