COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

Gallius,
Yaani im worrying for them kuliko hata ninavyojiworia mimi. Yaani acha tu. Hapa kila siku nawapigia simu nawasisitiza wabaki majumbani.

Ila tatizo unaweza ukabaki nyumbani ukaletelewa na hawa wanaokwenda mijini kutafuta mkate wa kila siku. It is complicated 😥.
 
Tatizo nyie watawala mnaona nyie ndiyo wenye akili sana na peke yenu ndiyo mnaweza kufanya good decision. Mpaka mnawaita wakosoaji wenu kua ni COVID-19. Tumeshauri ila ndiyo hivyo..tangu tulipo sikia ugonjwa umeingia Afrika ulikua ni muda sahii wa kufunga mipaka na huduma ya usafiri wa anga wa kimataifa.
Mwisho: Rais Magufuli sasa jifunze kua sio kila anaeshangilia uamuzi wako yupo sahii nasi kila anaepinga au kushauri ata kama yupo upande mwingine sio adui.
Ukitoa total lockdown unashauri nini kifanyike?
 
Wawe wanataja kiwilaya ili.kujua wilaya IPI ina wagonjwa wengi ili hatua za kuchukua ziwe juu kwa wakazi Wa maeneo husika ya wilaya husika
 
Naamini huenda serikali iliamini kwamba kuwa na takwimu ndogo ya maambukizi ndio njia pekee ya kuuambia ulimwengu kwamba tanzania tuko vizuri kupambana na covid19

Kumbe sasa tafsiri imekuwa tofauti na matarajio yetu nadhani sasa tunaweza kuanza kuueleza ulimwengu kwamba tuna kasi ya maambukizi kubwa sana kuliko nchi zingine za afrika ya mashariki

Nadhani kwa rate hii na muendelezo huu na sisi tutaangaliwa kama wenzetu maana sasa tutaueleza ulimwengu kwamba nasisi tupo kwenye shida kuu
 
Hapa mjini dasalama ni shida sasa. Msongamano huu utamaliza wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wa mikoani tujiandae kupokea ugeni muzito toka muji mukuu,hata wale waliowakana wazazi wao zamani sasa watarudi nyumbani kuomba misamaha,corona itawaleta watu karibu hatutasahau,tuchukue tahadhari
 
Back
Top Bottom