Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitoa total lockdown unashauri nini kifanyike?Tatizo nyie watawala mnaona nyie ndiyo wenye akili sana na peke yenu ndiyo mnaweza kufanya good decision. Mpaka mnawaita wakosoaji wenu kua ni COVID-19. Tumeshauri ila ndiyo hivyo..tangu tulipo sikia ugonjwa umeingia Afrika ulikua ni muda sahii wa kufunga mipaka na huduma ya usafiri wa anga wa kimataifa.
Mwisho: Rais Magufuli sasa jifunze kua sio kila anaeshangilia uamuzi wako yupo sahii nasi kila anaepinga au kushauri ata kama yupo upande mwingine sio adui.
Nashangaa hawajisifu na yule polex2 wao kuwa hata korona wameleta wao.😄😄😄😄
Kwangu mimi naona ni bora ukajua athari za tatizo ili uchukue tahadhari kuliko kutokujua, ukachukulia poaKama ulichoandika ni kweli basi itakuwa ni vyema maana hakuna umuhimu wa kutangaza vifo maana tutatiana presha bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu rahisi kwenye serious issuesTuchape kazi.
"Not everything is for everybody"
Nilishauri tangu tarehe 17 ndugu. Kwa kuanzia DSM,ARUSHA,ZANZIBAR ila kwakua nipo na mawazo kinzani na wenzangu basi my advise dont count buddyUkitoa total lockdown unashauri nini kifanyike?
Wewe ni GENIUS..Nilisema mimi hali itaanza kuwa x2 ilitypita ilikuwa 14 leo 29 kesho 60+
Muumba atunusuru waja wake.
AmeenNilisema mimi hali itaanza kuwa x2 ilitypita ilikuwa 14 leo 29 kesho 60+
Muumba atunusuru waja wake.
ulishauri nini mkuu?Nilishauri tangu tarehe 17 ndugu. Kwa kuanzia DSM,ARUSHA,ZANZIBAR ila kwakua nipo na mawazo kinzani na wenzangu basi my advise dont count buddy
Tusitishane,corona ni ugonjwa wa shetani.Asee hili gonjwa ni hatari yaani nimetoka online kama lisaa nimekuta ongezeko la watu zaid ya 25 Mungu tusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikoa iliyoathirika ifungwe watu wasitoke nje ya mikoa hiyo wala kuingia, Masks ziwe ni lazima kuvaa kwa kila raiaUkitoa total lockdown unashauri nini kifanyike?
Kwahiyo wafanyeje Sasa?Una mlisha maneno, hakusema hivyo! Alisema "watu wanashindwa kutoka nje WANASUBIRI kolona"
watu wa mikoani tujiandae kupokea ugeni muzito toka muji mukuu,hata wale waliowakana wazazi wao zamani sasa watarudi nyumbani kuomba misamaha,corona itawaleta watu karibu hatutasahau,tuchukue tahadhariHapa mjini dasalama ni shida sasa. Msongamano huu utamaliza wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajificha Chato!Kwani jiwe nnavoandika yuko wapi
Wawe wanataja kiwilaya ili.kujua wilaya IPI ina wagonjwa wengi ili hatua za kuchukua ziwe juu kwa wakazi Wa maeneo husika ya wilaya husika