CRDB mnapata wapi kiburi hiki? Hebu tupeni pesa zetu wakulima wa Kyerwa tupeleke watoto shule

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote

Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB,

Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao ukikaa sawa watatuita.

Sasa ni zaidi ya wiki 2 kila tukienda ku withdrawal pesa tunaambiwa hakuna mtandao

Sasa shule zinafunguliwa Jumatatu na tunatakiwa kulipia watoto ada ila hakuna kinachooendelea.
Tunatakiwa tuandae mashamba Kwa ajili ya kilimo mvua zimeanza ,pesa zote zipo benk na hawatoi wanasingizia mtandao

Mtandao Gani unakosekana benki wiki 2+ acheni dharau.

Wafanyakazi wa hii benk wana kiburi yaani ukifika na malalamiko wanakujibu kama fala kama hatuwadai mamilion yetu. Wanakwambia kabisa 'nenda popote tushakwambia subiri mtandao"

Wale mabinti na vijana wa CRDB wana matusi aisee na wanajiamini mno kuwa hatuna cha kuwafanya pesa hazipo, tusubiri tu

Kuna tetesi kuwa Kuna wanasiasa na viongozi wa Chama wamekwapua pesa zetu CRDB Kwa ajili ya kusomba watu, ushirikina na kuhonga kipindi hiki cha kampeni za CCM na uchaguzi hewa

Serikali na BOT itazame mwenendo wa hii benk, hapa sijaandika malalamiko ya kukuta account wamekata pesa bila sababu wala maelezo yaani kukuta CRDB wamekomba 20k kwenye account yako ni jambo la kawaida Kwa Sasa.

Ajitokeze mtu ambaye hajawahi kukatwa pesa bila sababu na CRDB mi nitampa ka IST kangu

CRDB ilikuwa ya Kimei huyu homeboy Nsekela hii benk anaiua
 
Crdb leteni maelezo; Shutuma kama hizi ni mbaya na zinatisha sana ni vema tukapata maelezo kutoka upande wa pili na sio maelezo tu kama ni kweli na kuomba msamaha utakaoendana na kitu kidogo financially ili kuonyeshwa mmeguswa na huyu mdau wenu mteja (ambaye ni mfalme)

Ila kwa ushauri tu mmeshalikanyaga sana its about time mji-reivent labda kubadlisha jina (hili limeshachafuka sana)
 
Hivi unawajua hao
Wana viburi na dharau mno
Msimu wa kahawa sitatumia benk Yao tena
 
CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote

Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB,

Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao ukikaa sawa watatuita.

Sasa ni zaidi ya wiki 2 kila tukienda ku withdrawal pesa tunaambiwa hakuna mtandao

Sasa shule zinafunguliwa Jumatatu na tunatakiwa kulipia watoto ada ila hakuna kinachooendelea.
Tunatakiwa tuandae mashamba Kwa ajili ya kilimo mvua zimeanza ,pesa zote zipo benk na hawatoi wanasingizia mtandao

Mtandao Gani unakosekana benki wiki 2+ acheni dharau.

Wafanyakazi wa hii benk wana kiburi yaani ukifika na malalamiko wanakujibu kama fala kama hatuwadai mamilion yetu. Wanakwambia kabisa 'nenda popote tushakwambia subiri mtandao"

Wale mabinti na vijana wa CRDB wana matusi aisee na wanajiamini mno kuwa hatuna cha kuwafanya pesa hazipo, tusubiri tu

Kuna tetesi kuwa Kuna wanasiasa na viongozi wa Chama wamekwapua pesa zetu CRDB Kwa ajili ya kusomba watu, ushirikina na kuhonga kipindi hiki cha kampeni za CCM na uchaguzi hewa

Serikali na BOT itazame mwenendo wa hii benk, hapa sijaandika malalamiko ya kukuta account wamekata pesa bila sababu wala maelezo yaani kukuta CRDB wamekomba 20k kwenye account yako ni jambo la kawaida Kwa Sasa.

Ajitokeze mtu ambaye hajawahi kukatwa pesa bila sababu na CRDB mi nitampa ka IST kangu

CRDB ilikuwa ya Kimei huyu homeboy Nsekela hii benk anaiua
Kitambo sana watu walishaandika humu, wengine tukaikimbia,nyie mkajifanya ving'ang'anizi

Mtalimia meno
 
Crdb

sidhani kama mpo humu kwa kuleta matangazo tu na kujisifia nadhani huu ndio wakati muafaka wa kuelezea the other side of the story at best au hata kujitetea kama huu ni uzushi...
 
Hao hawawezi kukujibu tumesota sana ofsini kwao bila majibu.
Kesho shule zinafunguliwa pesa Iko benk na benk hawataki kutoa wanasema hakuna mtandao
 
Kwamba mtandao ndio unawasha printer ili waweze kuziprint hizo pesa ? Huu ni upuuzi Benki inabidi iwe na Plan B ya kuweza kuona kama wewe mwenye pesa yako unahitaji wakupe hayo ya Mitandao wewe hayakuhusu kabisa
 
Watanzania ni kama mwanamke anayechezea kipigo kwa mwanaume ambaye ni mlevi, fuska,muhuni,mchafu na asiyejali familia ila kila baada ya muda anazaa nae mtoto na kulalamika kutotunzwa,kunyanyaswa,kudhalilishwa, na kusalitiwa wakati anaweza kuondoka na kuanza maisha na mwanaume mwingine na kuishi vema tu.

Sasa jaribu kutafakari. Bank inachofanya ni jinai kwa maana ya fraudulent activities ila bado mnalalamika, Mahakama hamzijui?

Bank gani inaficha taarifa za mteja ambaye ameweka pesa zake humo ndani kwao?

Mteja ana haki ya kuamuru kupewa taarifa au pesa zake ndani ya masaa 24. Hizo shida za system zinamuhusu nini?

Ni vipi kama unauguza mgonjwa,ni vipi kama unadaiwa,ni vipi kama una dharula isiyoweza kusubiri na pesa ndio ipo huko CRDB for 2 weeks?🤔

Mnajua sana kucheka na upumbavu. Mimi situmii hiyo benki kitambo sababu ya makato makubwa yasiyoeleweka.
 
Back
Top Bottom