ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
- Thread starter
- #21
Wewe utakuwa mgeni huku Tanzania mkuuWatanzania ni kama mwanamke anayechezea kipigo kwa mwanaume ambaye ni mlevi, fuska,muhuni,mchafu na asiyejali familia ila kila baada ya muda anazaa nae mtoto na kulalamika kutotunzwa,kunyanyaswa,kudhalilishwa, na kusalitiwa wakati anaweza kuondoka na kuanza maisha na mwanaume mwingine na kuishi vema tu.
Sasa jaribu kutafakari. Bank inachofanya ni jinai kwa maana ya fraudulent activities ila bado mnalalamika, Mahakama hamzijui?
Bank gani inaficha taarifa za mteja ambaye ameweka pesa zake humo ndani kwao?
Mteja ana haki ya kuamuru kupewa taarifa au pesa zake ndani ya masaa 24. Hizo shida za system zinamuhusu nini?
Ni vipi kama unauguza mgonjwa,ni vipi kama unadaiwa,ni vipi kama una dharula isiyoweza kusubiri na pesa ndio ipo huko CRDB for 2 weeks?🤔
Mnajua sana kucheka na upumbavu. Mimi situmii hiyo benki kitambo sababu ya makato makubwa yasiyoeleweka.
Unasema. Mahakama?
Hujui mahakama za vijijini na kesi za madai wewe, tena mkulima ndo akashitaki taasisi kama benk sio jambo rahisi