Hivi unawajua haoCrdb leteni maelezo; Shutuma kama hizi ni mbaya na zinatisha sana ni vema tukapata maelezo kutoka upande wa pili na sio maelezo tu kama ni kweli na kuomba msamaha utakaoendana na kitu kidogo financially ili kuonyeshwa mmeguswa na huyu mdau wenu mteja (ambaye ni mfalme)
Ila kwa ushauri tu mmeshalikanyaga sana its about time mji-reivent labda kubadlisha jina (hili limeshachafuka sana)
Kitambo sana watu walishaandika humu, wengine tukaikimbia,nyie mkajifanya ving'ang'aniziCRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote
Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB,
Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao ukikaa sawa watatuita.
Sasa ni zaidi ya wiki 2 kila tukienda ku withdrawal pesa tunaambiwa hakuna mtandao
Sasa shule zinafunguliwa Jumatatu na tunatakiwa kulipia watoto ada ila hakuna kinachooendelea.
Tunatakiwa tuandae mashamba Kwa ajili ya kilimo mvua zimeanza ,pesa zote zipo benk na hawatoi wanasingizia mtandao
Mtandao Gani unakosekana benki wiki 2+ acheni dharau.
Wafanyakazi wa hii benk wana kiburi yaani ukifika na malalamiko wanakujibu kama fala kama hatuwadai mamilion yetu. Wanakwambia kabisa 'nenda popote tushakwambia subiri mtandao"
Wale mabinti na vijana wa CRDB wana matusi aisee na wanajiamini mno kuwa hatuna cha kuwafanya pesa hazipo, tusubiri tu
Kuna tetesi kuwa Kuna wanasiasa na viongozi wa Chama wamekwapua pesa zetu CRDB Kwa ajili ya kusomba watu, ushirikina na kuhonga kipindi hiki cha kampeni za CCM na uchaguzi hewa
Serikali na BOT itazame mwenendo wa hii benk, hapa sijaandika malalamiko ya kukuta account wamekata pesa bila sababu wala maelezo yaani kukuta CRDB wamekomba 20k kwenye account yako ni jambo la kawaida Kwa Sasa.
Ajitokeze mtu ambaye hajawahi kukatwa pesa bila sababu na CRDB mi nitampa ka IST kangu
CRDB ilikuwa ya Kimei huyu homeboy Nsekela hii benk anaiua
Hao hawawezi kukujibu tumesota sana ofsini kwao bila majibu.Crdb
sidhani kama mpo humu kwa kuleta matangazo tu na kujisifia nadhani huu ndio wakati muafaka wa kuelezea the other side of the story at best au hata kujitetea kama huu ni uzushi...
Kwamba mtandao ndio unawasha printer ili waweze kuziprint hizo pesa ? Huu ni upuuzi Benki inabidi iwe na Plan B ya kuweza kuona kama wewe mwenye pesa yako unahitaji wakupe hayo ya Mitandao wewe hayakuhusu kabisaHao hawawezi kukujibu tumesota sana ofsini kwao bila majibu.
Kesho shule zinafunguliwa pesa Iko benk na benk hawataki kutoa wanasema hakuna mtandao
10,000 mara wateja milioni 5 ni pesa kubwa sana. Na wengi huwa hamjui kudai.Jana nimekuta wamelamba ka 10k kangu
Tengenezeni petition na wateja mliozinguliwa wote mtie sahihi then muende kufungua kesi mahakamani tafuteni wakili mzuri hii kesi lazima CRDB ifungweHao hawawezi kukujibu tumesota sana ofsini kwao bila majibu.
Kesho shule zinafunguliwa pesa Iko benk na benk hawataki kutoa wanasema hakuna mtandao
Tasisi yoyote ambayo inashirikiana na CCM sio salama kujihusisha nayo kifedha.Crdb
sidhani kama mpo humu kwa kuleta matangazo tu na kujisifia nadhani huu ndio wakati muafaka wa kuelezea the other side of the story at best au hata kujitetea kama huu ni uzushi...
Hahaha,Kuna tetesi kuwa Kuna wanasiasa na viongozi wa Chama wamekwapua pesa zetu CRDB Kwa ajili ya kusomba watu, ushirikina na kuhonga kipindi hiki cha kampeni za CCM na uchaguzi hewa