Wewe utakuwa mgeni huku Tanzania mkuuWatanzania ni kama mwanamke anayechezea kipigo kwa mwanaume ambaye ni mlevi, fuska,muhuni,mchafu na asiyejali familia ila kila baada ya muda anazaa nae mtoto na kulalamika kutotunzwa,kunyanyaswa,kudhalilishwa, na kusalitiwa wakati anaweza kuondoka na kuanza maisha na mwanaume mwingine na kuishi vema tu.
Sasa jaribu kutafakari. Bank inachofanya ni jinai kwa maana ya fraudulent activities ila bado mnalalamika, Mahakama hamzijui?
Bank gani inaficha taarifa za mteja ambaye ameweka pesa zake humo ndani kwao?
Mteja ana haki ya kuamuru kupewa taarifa au pesa zake ndani ya masaa 24. Hizo shida za system zinamuhusu nini?
Ni vipi kama unauguza mgonjwa,ni vipi kama unadaiwa,ni vipi kama una dharula isiyoweza kusubiri na pesa ndio ipo huko CRDB for 2 weeks?π€
Mnajua sana kucheka na upumbavu. Mimi situmii hiyo benki kitambo sababu ya makato makubwa yasiyoeleweka.
Muda wa kuanza kugawa hawa majambazi / Wazembe katika political ideologies nadhani ni kutoka kwenye Reli; Hawa watoe Pesa za watu no matter wanashirikiana na nani.., Pili sababu kuna wawekezaji for the sake ya watu wenye HISA hii Taasisi ifanyiwe revamping au hata kubadilisha na jina sababu ishachafuka sana na sidhani kama unaweza ukasafishika - Taasisi ya Ki Fedha unapokuwa mgumu kutoa Fedha which is your Core Business; kwakweli ni vigumu kupata utetezi.... There is an out wafanye merging na Kampuni nyingine ili kubadilisha Branding ili kuweza kurudisha Imani kwa UMMA...Tasisi yoyote ambayo inashirikiana na CCM sio salama kujihusisha nayo kifedha.
Zamani CRDB ilikuwa benk iliyojijengea heshima kuliko NBC na NMB ila Sasa imekuwa ovyo mno,Muda wa kuanza kugawa hawa majambazi / Wazembe katika political ideologies nadhani ni kutoka kwenye Reli; Hawa watoe Pesa za watu no matter wanashirikiana na nani.., Pili sababu kuna wawekezaji for the sake ya watu wenye HISA hii Taasisi ifanyiwe revamping au hata kubadilisha na jina sababu ishachafuka sana na sidhani kama unaweza ukasafishika - Taasisi ya Ki Fedha unapokuwa mgumu kutoa Fedha which is your Core Business; kwakweli ni vigumu kupata utetezi.... There is an out wafanye merging na Kampuni nyingine ili kubadilisha Branding ili kuweza kurudisha Imani kwa UMMA...
Nimemtumia email hajanijibu nimemcheck online hayupo.Umejichanganya Bora hata NBC au Equity bank
Mazoea hujenga tabia. AY na MwanaFA walikwenda kuishitaki Tigo na kwa kutumia nyimbo zao katika shughuli zao za kibiashara na walilipwa fidia ya zaidi ys bilioni 2 za kitanzania.Wewe utakuwa mgeni huku Tanzania mkuu
Unasema. Mahakama?
Hujui mahakama za vijijini na kesi za madai wewe, tena mkulima ndo akashitaki taasisi kama benk sio jambo rahisi
Kwenda mahakamani sio shidaMazoea hujenga tabia. AY na MwanaFA walikwenda kuishitaki Tigo na kwa kutumia nyimbo zao katika shughuli zao za kibiashara na walilipwa fidia ya zaidi ys bilioni 2 za kitanzania.
Muda mwingine hofu ni jiwe kubwa umejitwisha kichwani ukienda nalo safari na hauna kazi nalo linakuchelewesha tu.
Sasa uogope kufungua kesi ya jinai kwasababu unaogopa nini? Unaogopa kudai haki yako?
Halafu wewe unasema kesi ni ya madai mimi siongelei madai naongelea kuvunja masharti ya shughuli za kibenki,ikiwamo kutoa taarifa za kifedha( Bank statement) kwa mteja ndani ya wakati bila kumchenga,kutunza pesa zake na zikawepo muda wowote akihitaji.
Hivi wewe ukikopa benki then ukashindwa kurudisha huwa wanakufanyaje,wanakuogopa au kubembeleza kurejesha pesa zao? Si huwa wanakwenda straight mahakamani na ukionekana umevunja masharti ya mkopo unapewa adhabu tena ya kufilisiwa mali bila huruma?
Ninyi benki inawakwamisha vitu vingapi hadi saa hii hapa naona mnakichezea na malalamiko ya kushindwa kulipa madeni,kupata hasara za biashara,watoto kucheleweshwa malipo ya ada,etc hizi tayari ni sababu za kimsingi za kufungua kesi kubwa sana ya fraud dhidi ya raia kwa kutumia pesa zao nje ya utaratibu. Mambo ya system kukwama sijui bahati mbaya hiyo ni wao sasa ninyi haiwahusu. Kwasasa hata ninyi mkiwakopa then ukapata ugonjwa ukashindwa lipa kwa wakati huwa wanaendeleza masharti ya mikataba kwa kuwaambia lazima muuze mali kulipa deni hawawezi kusubiri zaidi.
Wiki 2 watu mnagombana na benki,mimi tayari ningeshakisanya wadau kama 1,000 nawapelekea karatasi la kusaini ili tupate nguvu na chagizo ya raia wateja wote kufungua mashitaka na kuiwajibisha taasisi ya hovyo kwa kushindwa kulinda pesa zetu na kuzichezea na kucheza na mipango ya maisha yetu.
So ukienda mahakamani unakwenda kuweka zuio la kulipwa au unakwenda kushitaki mgogoro wako na benki kuvunja masharti ya mtoa huduma na kuonyesha vitendo vya ubabaifu kwenye taasisi?Kwenda mahakamani sio shida
Tumia hekima mkulima ameuza mazao yake ya milion 3 anataka apate ada ya mtoto kesho
Mchakato wa kimahakama kesi utachukua hata mwaka, kumbuka mtoto atakuwa asharudishwa nyumbani na mwalimu
Mfumo wiki 2 are you serious? Una kampuni unatakiwa walipa posho na mishahara watendaji wako,unaishi nao vipi na pesa zako zimefichwa?Mimi binafsi Salio langu halijakatwa hata shilingi kwaio naomba hio IST. Pili, acheni stor za vijiwe vya kahawa ety ela zimechukuliwa na fcemu n uongo mtupu. Katika kubadilisha mfumo haya mambo hutokea kama mnakumbuka kilichowatokea benk ya Barclays
Hivi hiki ni kigeni kutokea dunian mifumo kusumbua? Kwanza, tuanze hapo kwanza maan naona unajifanya una akili mingi wakat hujui dunia.Mfumo wiki 2 are you serious? Una kampuni unatakiwa walipa posho na mishahara watendaji wako,unaishi nao vipi na pesa zako zimefichwa?
Kwanini wanafinya bank statements zisionyeshe miamala ya awali?
Hivi hata ukitumia tu akili ya form four huoni wazi kuwa kuna uhalifu unaendelea hapa?π€
Nimepitia page yao wazee hawana muda, wanapush bidhaa yao mpya sokoni.Watanzania ni kama mwanamke anayechezea kipigo kwa mwanaume ambaye ni mlevi, fuska,muhuni,mchafu na asiyejali familia ila kila baada ya muda anazaa nae mtoto na kulalamika kutotunzwa,kunyanyaswa,kudhalilishwa, na kusalitiwa wakati anaweza kuondoka na kuanza maisha na mwanaume mwingine na kuishi vema tu.
Sasa jaribu kutafakari. Bank inachofanya ni jinai kwa maana ya fraudulent activities ila bado mnalalamika, Mahakama hamzijui?
Bank gani inaficha taarifa za mteja ambaye ameweka pesa zake humo ndani kwao?
Mteja ana haki ya kuamuru kupewa taarifa au pesa zake ndani ya masaa 24. Hizo shida za system zinamuhusu nini?
Ni vipi kama unauguza mgonjwa,ni vipi kama unadaiwa,ni vipi kama una dharula isiyoweza kusubiri na pesa ndio ipo huko CRDB for 2 weeks?π€
Mnajua sana kucheka na upumbavu. Mimi situmii hiyo benki kitambo sababu ya makato makubwa yasiyoeleweka.
Still haiondoi swala la negligence kwenye usimamizi wa mifumo yao hiyo sio responsibility ya wateja (account holders).Hivi hiki ni kigeni kutokea dunian mifumo kusumbua? Kwanza, tuanze hapo kwanza maan naona unajifanya una akili mingi wakat hujui dunia.
IT outage ni tatzo ambalo hutokea hata kwa manchi yalioendelea nakurudisha nyuma kilichotokea Barclays bank.
Na kama hzo losses zitaendelea kuwepo basi watalipa fidia