didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
Kwan we huelewi wap? Kwan mifumo inatengenezwa na Mungu? Na wapi nimetetea, na ndo maan nmekwambia watatakiwa kulipa fidia kama ilivyokua kwa benk ya Barclays. Sasa nakuelezea uhalisia wa mambo unakuja na unnecessary paragraphs with no help or evidence of your understanding of the problem.Still haiondoi swala la negligence kwenye usimamizi wa mifumo yao hiyo sio responsibility ya wateja (account holders).
Sasa nikuulize mfano wewe umekopa million 100 CRDB ukapata matatizo ambayo yatakusababisha kushindwa kupeleka marejesho,watakuacha kwa visingizio vya ubinadamu na uungwana?🤔
Mambo mengine msiwe mnatetea uzembe na ukosefu wa weledi (unprofessionalism).
Sasa hapa unachotetea ni kuwa ni halali kwa benki kufeli mifumo na kuwapotezea wateja pesa zao na kuwaharibia mipango yao?
Mfano ungekuwa una uhitaji wa kulipia matibabu ya mgonjwa hospital kwa uharaka sana (mke,mzazi,mtoto) ambaye hawezi subiri na hakuna pa kupata haraka ungeongea haya maneno? 🤔
Au ungekuwa umepatiwa pesa na mteja na unatakiwa kudeliver haraka sana kazi imesimama pesa zipo CRDB ungekuwa muungwana?🤔
Ndio maana inchu zetu kitaasisi tunafeli sana,kuanzia familia,uongozi na taasisi zote kama hizi za kifedhi.
Shida kubwa ni kuendekeza utamaduni wa kuchekea uzembe unapotokea na kutowajibisha wazembe kwa kisingizio cha 'kila mtu hukosea hivyo tuvumiliane'.
Dah poleni sana waungwana. Nilijua wameshamaliza hili tatizo.
Kama hivyo ni vizuriJana mkurugenzi wa CRDB alisema mambo yamekaa vizuri au nilikuwa naota
Mahakama zipi? Si utawekewa mapingamizi mpka kesi ya msingi ianze sikilizwa ni 2030!!Mahakama hamzijui?
😂 Kazi kweli kweli.Kwan we huelewi wap? Kwan mifumo inatengenezwa na Mungu? Na wapi nimetetea, na ndo maan nmekwambia watatakiwa kulipa fidia kama ilivyokua kwa benk ya Barclays. Sasa nakuelezea uhalisia wa mambo unakuja na unnecessary paragraphs with no help or evidence of your understanding of the problem.
Umeshajipa majibu hata kabla haujaenda popote na ndipo hapa mnakuja kulalamika kuwa mifumo haina haki ila ukiulizwa ulinyimwa lini haki hauna maelezo unatumia story za watu wengine kuhalalisha ukweli wako.Mahakama zipi? Si utawekewa mapingamizi mpka kesi ya msingi ianze sikilizwa ni 2030!!
Usijizime data,kaka. Ulinganifu wa hoja zetu ni kweny responsibility by CRDB though we unashauri watu waende mahakamani mapema wakati mim nasimamia kua CRDB watawalipa fidia bila hata ya wao kwenda kushtak mapema ( nmetoa case study ya Barclays as literature review).😂 Kazi kweli kweli.
So hapa tunachobishania ni kitu gani? Maana mimi nipo very clear na hoja yangu kuwa nailaumu CRDB kwa uzembe na ninawashauri wateja wanaosumbuliwa wafanye kuzungumza na kutengeneza petition ya kuishitaki CRDB kwa kuzembea makusudi na kucheza na pesa zao.
Wewe unanipinga meaning kuwa una hoja kinzani na upo upande wa CRDB kuzembea na kuleta shida kwa wateja kwako sio tatizo.
Jifunze kujenga hoja na kusimamia hoja yako sio kuongea na haueleweki upo upande upi.
Ni kweli kabisa, kuna madudu mengi sana CRDB ya sasaCrdb leteni maelezo; Shutuma kama hizi ni mbaya na zinatisha sana ni vema tukapata maelezo kutoka upande wa pili na sio maelezo tu kama ni kweli na kuomba msamaha utakaoendana na kitu kidogo financially ili kuonyeshwa mmeguswa na huyu mdau wenu mteja (ambaye ni mfalme)
Ila kwa ushauri tu mmeshalikanyaga sana its about time mji-reivent labda kubadlisha jina (hili limeshachafuka sana)
Sio kwa CRDB ya sasa aiseeKwamba mtandao ndio unawasha printer ili waweze kuziprint hizo pesa ? Huu ni upuuzi Benki inabidi iwe na Plan B ya kuweza kuona kama wewe mwenye pesa yako unahitaji wakupe hayo ya Mitandao wewe hayakuhusu kabisa
Yeah hili ndio jambo la msingi wala hakuna haja ya kwenda kuwabembeleza kwa maneno kila siku watavimba kichwa na kujiona wao ni wa muhimu sana.Tengenezeni petition na wateja mliozinguliwa wote mtie sahihi then muende kufungua kesi mahakamani tafuteni wakili mzuri hii kesi lazima CRDB ifungwe
Opening a Can of Worms..., mara nyingi judge anaogopa kufanya maamuzi yatakayoumiza Taasisi kama hii au kuacha upenyo wa watu wengi zaidi nao kuweza kufungua Kesi hivyo nao kulipwa sababu inaweza kufanya benki ikafirisika mara nyingi wakiona hivi Benki wanaweza kuamua kumalizana na wadau kimya kimya na kuwaandikisha non disclosure agreement;Tengenezeni petition na wateja mliozinguliwa wote mtie sahihi then muende kufungua kesi mahakamani tafuteni wakili mzuri hii kesi lazima CRDB ifungwe