Tetesi: CRDB wameibiwa zaidi ya bilion 3 za wateja kwenye hacking ndio maana wakaweka siku za kujihakiki kubadili mfumo


Ni hela ndogo kwa CRDB.
Ila je hela za wateja ziko salama kwa kias gan?.
What if wakapigwa tena tukio lingine?.

Wametingishika kwa kias kikubwa interms ya Security na sio kimtaji.

Njia ya kwenda kutoa hela ni Dirishani.

Maana hizi njia za kutoa kwa sim wamezifungia kwa muda had kujua nn kilitokea.
 
Hivi "financial regulator" wa mabenki ni nani ukiacha BOT?

Nchi yapaswa kuwa na "financial regulator" ili kuziwajbisha banki zinokiuka taratibu ambazo husababisha kuwepo na fraud za makusudi..

Fraud ni wizi wa kiuchumi au economical crime.
Sasa itakuaje na mamlaka 2.? BOT wanatisha sema nao ndo wakuda tu.
 
Maana yake zilikua zinavuja?
 
Bilioni 3 za madafu? Ni fedha kidogo kwa benki kama CRDB. Labda tatizo sasa liko kwenye kutojua ziliibiwaje na wako salama kiasi gani. Ila kwa Bongo wala hili siyo jambo la kushangaza. Tuna culture ya ku-relax na kutokuwa makini kwa kila jambo.
Upo sahihi mkuu 3.2 b pesa ya mboga hiyo labda wawe wanaficha kuzuia taharuki kwa wateja.
 
Walikua wapi siku zote kubadili software mpya mimi sikubaliane na wewe kwamba 3bn ni hera ndogo ni karibia robo ya faida yao ya quarterly hiyo pesa ni nyingi kwa uchumi wetu Tanzania kuiondoa kwenye.circulation.
3bn ndogo sana hiyo. Annyal profit inaenda 700bn.
 
Tunateseka kwa legacy yake, mpaka leo wewe anglia aina ya uchanguI nchini unafikiri nanai kaweka katiba ya mwaka 1977 ambao inatutesa.
Hii katiba tuliyo nayo ni chakavu na mbovu sana. Hata hiyo hatuwezi kumlaumu kwa uzembe na ufisadi unaoendelea nchini. Tumeweka mafisadi madarakani halafu tumlaumu Nyerere?
Hapana. Nchi yetu inahitaji mabadiliko ya mfumo na mifumo ya utekelezaji wa katiba na sheria; naniki hili kufanikiwa katiba mpya inatakiwa.
Tumuache baba wa Taifa apumzike kwa amani.
 
Bilioni 3 za madafu? Ni fedha kidogo kwa benki kama CRDB. Labda tatizo sasa liko kwenye kutojua ziliibiwaje na wako salama kiasi gani. Ila kwa Bongo wala hili siyo jambo la kushangaza. Tuna culture ya ku-relax na kutokuwa makini kwa kila jambo.
Mimi nawasiwasi sana na hawa wanageria waliojazana kwenye apartments za masaki na osterbay bila ya kuwa na kazi zisizoeleweka wale jamaa ni washenzi over kwenye hacking.
 
Kwanza unaanzaje yule mzee alikuwa hana soni kwenye mali za umma anakusema hadharani yaani km polepole vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…