comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Bora NBC au Equity, NMB kuna kipindi nayo ilipata shida MTU unapokea message kua umetoa laki moja na haujatoa, ilitokea Kwa watu weng sanaHii si mara ya kwanza kwa CRDB ila round hii ndio imepigwa pesa nyingi zaidi. Binafsi nafikiria kuhamia NMB
Odemba alishatoa hela zake wewe unasubiri nini?Aiseeeeeeeeeee
Hata mimi nashangaa sana, labda kama billion 300 ila b 3 ni pesa ndogo sana.Bilion 3 ni pesa ndogo kwa crdb, haiwezi kutingishwa kwa hiyo pesa. Labda useme Kuna mengine au zaidi ya hiyo
Tatizo siyo kiasi, wadau wanaozungumzia system kuwa compromised na kuruhusu mafedhuli kuibia benki. Leo wameanza na kidogo 3 Billion, kesho huwezi jua?! Inaweza isiwe CRDB, labda benki nyingine au pengine hata BOT yenyewe.B3 kwa benki kubwa kama crdb n pesa ndogo sana
Alafu sijui kwanini wasiweke wazi
Mi yangu siwezi kulog in, na kuna hela mle.Pole Sana mi niliwatelekezea account!
Mabenk yanaibiwa sana ni vile kibiashara haiwezi kuwekwa hadharaniTatizo siyo kiasi, wadau wanaozungumzia system kuwa compromised na kuruhusu mafedhuli kuibia benki. Leo wameanza na kidogo 3 Billion, kesho huwezi jua?! Inaweza isiwe CRDB, labda benki nyingine au pengine hata BOT yenyewe.
Wewe hujaona humu watu wanalalamika pesa zao zinapungua wewe u afikiri waliiba kwenye central benki tatizo ya watanzania nikujifanya wajuaji sasa wewe mwenyewe hujui hiyo fraud ya mtandaoni I afanyainyika je je?
Kwa kuunganisha dot na maelezo ya Jasusi TV picha fulani...Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo.
View attachment 3471585
Britanicca
KWa hiyo na mimi nikitengeneza ki convo kama hicho cha kwako basi naweze kukianzishia uzi na kukitumia kama ushahidi, kweli FBI wa bongo mna funza kichwani. Hapo utakuta majitu yasiyo reason nayo yanashabikia kitu yasichokuwa na uhakika nao.Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo.
View attachment 3471585
Britanicca
Acha kubishana na matahahira.Mim sijui na wew unajua si ndio??
Hivo mim niliekoment hapa sina account crdb? Mim sikukutana na changoto ya mtandao si ndio?
Punguza ujuaji aisee, kama upo ushahid wa kweli kuwa pesa zimepungua, nioneshe muamala uliojaribu kutoa pesa na ukaambiwa hauna pesa yakutosha wakat unajua kiwango cha pesa yako.
Story za mtaani zisifanye uwe mbele na kutetea kitu hukijui, changamoto namim ilinikuta na ili kujiridhisha nilifanya practical ndogo ya kutoa pesa nilizokuwa nazo na zikatoka, nipp nazitumia.
Haya wewe ulitoapesa na zikagoma??
Mkuu, Shukrani kwa kutujulisha,Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo.
View attachment 3471585
Britanicca
Bilion zaidi ya 3 that was one branch what about others ! Means can be up to 100 bilionMkuu, Shukrani kwa kutujulisha,
But kwa kwa upeo wangu mdogo tu wa kuchanganua mambo.... Bilioni 3 ni pesa ndogo sana kwa benki kama CRDB...
NI PESA UNAIPATA KWENYE TAWI 1 TU...tena anakopeshwa mteja mmoja tu!...
Kusema kwamba hii changamoto ya upotevu wa Bil 3 ndio imepelekea haya......ni BIG NO!!!
Kuna zaidi ya hapo!.... nahisi MAPAPA wamehamisha pesa zao nyingi sana kutoka CRDB....
Hii ni baada ya taarifa za account zao kuvuja mitandaoni...MAANA UKWELI USIOSEMWA NI WAZI HIZI BENKI ZETU ZINAENDESHWA KIBIASHARA NA PESA ZA HAWA MAPAPA!