Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Mkuu lengo la timu ni kushinda mechi au kuuza tiketi na kufuata natakwa ya mashabiki?
 
Scars Ishowspeed wa JF. Humuambii kitu juu Ronaldo afu mtu mwenyewe flop. Timu ya congo tu ilimshinda akaja kujifamba kwa Uzebakstan
 
Upo sahihi mkuu Hata wewe fikiria portugal ya kipindi kile ilikuwa upuuzi mtupu. Huyu jamaa apewe heshima yake
Dada ake kasema Wareno hawastahili kuwa na vitu vya heshima inaonekana yupo sahihi sana Cr ndie aliefanikisha makombe mengi pale tuone watakavyoenda bila yeye maana hata Luis Figo na Rui Costa hawakufanya maajabu timu ya Taifa.
 
Mkuu lengo la timu ni kushinda mechi au kuuza tiketi na kufuata natakwa ya mashabiki?
Vyote ni malengo ndio maana wanasema shabiki ni mchezaji wa 12.

Wachezaji wakiwa wanazomewa inaweza kuathiri matokeo uwanjani.

Utulivu wa mchezaji unaanzia kichwani kabla ya mguuni.

Kama ulimuona Alvarez alichokuwa anapitia recently basi huwezi kupuuza nguvu ya mashabiki.
 
Mnakasirika Nini sasa mnataka acheze Hadi na miaka 50? Sasahivi ni umri wa kutuliza mwili sio kukimbizana uwanjani na watoto..
Wewe kwanini ukasirike kumuona Ronaldo akicheza katika miaka hiyo?

Ronaldinho ana miaka mingapi saizi?

Lini hapa mliwahi kuja kusema jamaa astaafu?
 
Usiongee kwa mihemko hiyo portugal ronaldo kaibeba mabegani since siyo timu tishio mpaka hapo ilipofika Anastahili Heshima yake tena kuba tu na sio huo upuuzi unaoendelea
Alikuwa anacheza peke yake uwanjani, Kuna mastaa wengi walikuwepo hapo kabla yake, Eusabio, Deco,Figo,lui Costa nk.

Jamaa apumzike anatia aibu uwanjani hata Kmc hapati namba kwasasa.
 
Leave football before football leaves you.

A good dancer knows a right time to walk out of stage
 
Alikuwa anacheza peke yake uwanjani, Kuna mastaa wengi walikuwepo hapo kabla yake, Eusabio, Deco,Figo,lui Costa nk.

Jamaa apumzike anatia aibu uwanjani hata Kmc hapati namba kwasasa.
Kwenye mafanikio unasema hakucheza peke yake.

Penye kushindwa na kufungwa unamtaja Ronaldo kuwa mdio chanzo cha kushindwa kufanikiwa.

Hii ni aina gani ya unafki?

So Messi mnavyosema amechukua kombe la Dunia na kwamba yeye ni mnomo kuliko Ronaldo kumbe pale tulitakiwa kuwataja kina Di Maria na Otamendi?
 
Football is a team work link Moja inapogoma timu nzima inapoteana, Ronaldo ni weak link kwasasa anaishi kwa kivuli chake .
 
Football is a team work link Moja inapogoma timu nzima inapoteana, Ronaldo ni weak link kwasasa anaishi kwa kivuli chake .
Sasa kama ni team work kwanini lawama ziende kwa mtu mmoja pale timu inapofanya vibaya?

Na pale timu inapofanya vizuri hakuna recognition inayoenda kwa mtu mmoja badala yake inatajwa timu nzima?

Sasa nashindwa kuelewa ni wakati gani matokeo ya mwisho yanakuwa influenced na single player na ni wakati gani matokeo ya mwisho yanakuwa influenced na team work.

Na hii ni kwa Ronaldo tu, mbona Messi kashinda mechi 1 katika mechi 10 na hatuoni mkimtaja Messi kama anaigharimu team?
 
Sasa kama ni team work kwanini lawama ziende kwa mtu mmoja pale timu inapofanya vibaya?
Ww jamaa Nina mashaka na uelewa wako, nishakuambia ikitokea mtu mmoja akawa weak link timu nzima inayumba alafu Bado unaniuliza hili swali?
 
Upo sahihi mkuu Hata wewe fikiria portugal ya kipindi kile ilikuwa upuuzi mtupu. Huyu jamaa apewe heshima yake
Wewe mpe hiyo heshima yake.

Sisi wareno wa bonyokwa hatumtaki kwenye timu yetu.
 
Hbr yenyewe mbona kipisi!.
 
Wewe kwanini ukasirike kumuona Ronaldo akicheza katika miaka hiyo?

Ronaldinho ana miaka mingapi saizi?

Lini hapa mliwahi kuja kusema jamaa astaafu?
Wewe kwanini ukasirike ukimuona Messi anabeba world cup na kufika fainal vs Spain?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…