Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

A good dancer must know when to leave the stage. Hongera Messi, pole kwa Yoweri Mseveni hadi raia wanakukataa.
 
Jamaa astaafu tu hata uarabuni hana maajabu limebaki jina
 
Kinachoniudhi hawa timu Messi hawataki takwimu,tangu huyo mtu wao abebe kombe la Dunia hawazumgumzi tena mpira, mara hoo astaafu,sijui Mzee,hana kipaji ilimradi kujipooza.
Ila ki ukweli mioyoni mwao mziki wa Ronaldo wanaujua na ndio maana asipofunga wanashangilia,akipigwa sub wanaongea.
Inaniuma sana
 
MPIRA WA MTU MMOJA MMOJA UMEISHAAAA MESSI OVA RONALDO OVA WAPUMZIKE TUNAWAYAKIA KILA LA HERI ... I I MISS RIVALDO THOSE DAYS
 
Ww jamaa Nina mashaka na uelewa wako, nishakuambia ikitokea mtu mmoja akawa weak link timu nzima inayumba alafu Bado unaniuliza hili swali?
Logic ya swali langu hujaielewa.

Nimesema huyo unayemsema kama weak link na kwamba kaigharimu timu.

Kwanini siku ambayo timu inapata matokeo mazuri usim recognize kama best link aliyeisaidia timu na badala yake unataja kiujumla kuwa ni timu nzima kufifisha jitihada zake?
 
Kombe la dunia lenyewe alibeba kwa mambo mengi yaliyofanyika nje ya uwanja.

FIFA imekuwa ikimlinda sana Messi na kumtengenezea njia nyepesi wakati mwenzake ana struggle kufikia mafanikio.
 
"WE LOVE YOU JESUS" 🇵🇹❤️

The message from Portuguese supporters in the stands tonight.
 
Wakati Ronaldo anafurushwa timu ya taifa kwa aibu the only and real GOAT anapewa degree ya heshima.


Scars anaweza kudhani hii taarifa ni AI.

#Ronaldo hachekeshi kama ni shabiki yake tu.
 
Wakati Ronaldo anafurushwa timu ya taifa kwa aibu the only and real GOAT anapewa degree ya heshima.
View attachment 3682253

Scars anaweza kudhani hii taarifa ni AI.

#Ronaldo hachekeshi kama ni shabiki yake tu.
Tuzo zingine hizi muwe basi na aibu mazee, mbona hata kina Msukuma kama hizo wanazo?
 
Usiongee kwa mihemko hiyo portugal ronaldo kaibeba mabegani since siyo timu tishio mpaka hapo ilipofika Anastahili Heshima yake tena kuba tu na sio huo upuuzi unaoendelea
Haiondoi ukweli kwamba Ana Ego kubwa sana huyu jamaa na ndio stambling block ya timu. Astaafu tu kwa sasa inatosha!
 
Haiondoi ukweli kwamba Ana Ego kubwa sana huyu jamaa na ndio stambling block ya timu. Astaafu tu kwa sasa inatosha!
Kipindi ameiweka portugal kwenye mabega yake ilikuwa Ego ile😂 kuna vikombe naweza sema bila Ronaldo portugal asingebeba labda kama mpira umeanza kushabikia juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…