Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

We Mzee unayejufanya mwanamke , Ronaldo ni mkatoliki , na kuabudu kwa wakatoliki ndio hivyo labda hulijui vizuri kanisa Katoliki akili yako Ipo kwa wafanya mazingaumbwe akina mwamposa, jeo devi, ZUMARIDI nk wanaojifanga wakristu.

Muhammad mwenyewe hayo matendo mufanyayo ya dini aliiga kutoka kwenye dini alizozikuta za Kiyahudi na Kikristu wakati anaanzisha dini yake . Hivyo relax dini yenu bado Ipo kwenye promotion na walidhani Christian kwenda huko wangemtumia kwenye ajenda za ku market dini yenu lakini imebuma
 
Duuh aliwaomba msamaha
 
Da
Bibi Faiza mimi mwenyewe pale Beirut nimesujudu sana nikala hela za washia na passport walinitengenezea washikaji wangu kutoka Abuja nilikua naitwa Abdul al Kareem al Majeed...Hakuna watu wepesi kucheza na akili zao kama waarabu kwa kupitia dini.....

.

Ukisilim zawadi anayokupa Allah hakuna ya mwanadam inayoweza kufikia hata chembe chake.
Na ukitoka uislamu ukaenda ukristo mungu hafurahi? Ndo maana rastafarians
Ronaldo Sio mzungu,hakuna mzungu anatokea Latini America.
Mzungu ni mzaliwa wa ulaya
Ronaldo tunamwitaje
Ronaldo Sio mzungu,hakuna mzungu anatokea Latini America.
Mzungu ni mzaliwa wa ulaya
We jamaa Bora ungetulia tu kwa iyo Portugal aka Ureno ipo Latin America? Au ata Ronaldo haumjui😀😀
 
Katika Uislam halazimishwi mtu kuabudu chochote atakacho.

Mimi nafikisha ujumbe tu.

Si unasema mzee wako aliishi Saudi Arabia miaka 15, muulize alilazimishwa na mtu jumuabudu Allah.

Jibu unalo.
 
Huwa siamini kama kuna mwisho wa dunia ila imani hiyo ilikoma pale nilipowaza, hivi ikitokea binadamu wote ulimwengu tukawa wafia uislam ndio mwisho utakuwa maana sio kwa vita zitakazopigwa dunia nzima na kujitoa mhanga kwa kulipuana na mabom kwa sana.
 
Hilo neno la "wafia Uislam" ni chuki za kujazwa ujinga tu.
. Ama unakufa nawe ni Muislam ama unakufa nawe ni kafiri, hakuna zaidi wala pungufu.
 
Eh hii mpya kumbe kuna kusujudu kimoyomoyo
 
Da



Na ukitoka uislamu ukaenda ukristo mungu hafurahi? Ndo maana rastafarians

Ronaldo tunamwitaje

We jamaa Bora ungetulia tu kwa iyo Portugal aka Ureno ipo Latin America? Au ata Ronaldo haumjui😀😀
Na wewe nae ku quote posts kibao tukujibu nini sasa? Jifundishe kuitumia JF kwa manufaa. Kafanye editing um quote mmoja mmoja.
 
Katika Uislam halazimishwi mtu kuabudu chochote atakacho.

Mimi nafikisha ujumbe tu.

Si unasema mzee wako aliishi Saudi Arabia miaka 15, muulize alilazimishwa na mtu jumuabudu Allah.

Jibu unalo.
Sasa mbona unawabishia wakrsto na mapokeo yao ya kumwita Yesu Mungu.....Au unawalazimisha mapokeo yako ya kiislamu kua Yesu sio mungu au unajaribu kufikisha ujumbe kwa kulazimisha mapokeo ya dini yako Bibi Faiza....Afu cha pili wewe sio mujibu maswali unakwepa kwepa maswali yangu ninayokuuliza Bibi Faiza.
 
Sasa mbona unawabishia wakrsto na mapokeo yao ya kumwita Yesu Mungu.....Au unawalazimisha mapokeo yako kua Yesu sio mungu Bibi Faiza....Afu cha pili wewe sio mujibu maswali unakwepa kwepa maswali yangu ninayokuuliza Bibi Faiza.
Simbishii mtu, nataka ushahidi wapi Yesu kasema "mimi Mungu" au "niabuduni".

Kumbuka kuwa Waislaam tunaamini Yesu alayhi salaam ni mtume, siyo Mungu.
 
Ungejua hata wakristu wanasujudu usingepiga kelele hapa
 
Simbishii mtu, nataka ushahidi wapi Yesu kasema "mimi Mungu" au "niabuduni".

Kumbuka kuwa Waislaam tunaamini Yesu alayhi salaam ni mtume, siyo Mungu.
Sasa ushahidi wa nini wakati ni mapokeo yao wakrsto sio lazima wewe kuamini au unataka ushahidi wa video????? Yaani ni sawa na kutaka ushahidi wa muhamadi ni kweli alitokewa na malaika au alitumwa na Mungu anaeitwa Allah utaupata wapi Bibi Faiza????
 
Kacheza na akili zao tu boss wangu ni mlokole na anakanisa lake. Every Sunday tunakwenda kusali kwake😀😀 ni kula na kipofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…