Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Bibi Faiza kwahiyo Christ kakupigia simu kakuambia siku hizi anafuata dini ya kiarabu???? Pia unasrma kunatrend wazungu wanasilim vipi kuhusu waarabu wanaohamia dini nyingine hawatrend Bibi Faiza??????Kama usemayo ni kweli huoni kuwa kajirekebisha kwa vitendo? Hongera kwake.
Safi sana, tena tukishuhudia anasilim atazawadiwa binti wa kifalme.
Raha iliyoje.
Mkuu na wewe mbantu una dini iliyoletwa na waarabu??????? Au ndio wale mpaka majina yenu ni ya kiarabu????Hatutaki mashoga kwenye dini yetu,huyo mwamba analiwa mattercle
Ni kweli, nimesikia pia habari hii ikitangazwa na misikiti ya huku kwetu, nikawa sielewi elewi, baada ya kukuta uzi humu ndiyo sasa nimeelewa.View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Bibi Faiza mimi mwenyewe pale Beirut nimesujudu sana nikala hela za washia na passport walinitengenezea washikaji wangu kutoka Abuja nilikua naitwa Abdul al Kareem al Majeed...Hakuna watu wepesi kucheza na akili zao kama waarabu kwa kupitia dini.....View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar A
Sio kweli mkuu,,,mzee wangu kakaa miaka 17 na hakua na dini yoyote......ukikaa saudia una 99%ya kuwa muislam kama sio muislam.
Allah ndio nani??????? Mungu wa kiarabu????
Bibi Faiza kwahiyo nyie waarabu na dini ya kiislamu wanawake ni zawadi mnamzawadia mtu yoyote????? Kwahiyo gangster MBS (Crown prince of Saud royal family) atamzawadia Christ mdogo wake alale nae?????Safi sana, tena tukishuhudia anasilim atazawadiwa binti wa kifalme.
Raha iliyoje.
uyo atakuwa kwenye 1% iliyobaki.mpe pole sana.Sio kweli mkuu,,,mzee wangu kakaa miaka 17 na hakua na dini yoyote......
Mfano dunia nzima tukiwa Imani unayopenda labda utaongezeka nini.Kweli mzubgu si nwenzagu, iiipokuwa hivi sasa tunaona kumekuwa "trend" ya wazungu wengi kusilim duniani. Tunaomba In shaa Allah soon tushuhudie Ronaldo akisilim.
Wewe umekaa Saudia sehemu gani???? I mean province ipi na mji upi?????? Afu sijakuelewa nimpe mshua pole ya nini kwani anaumwa au??????uyo atakuwa kwenye 1% iliyobaki.mpe pole sana.
Swali zuri hili ila majibu ni kwamba utamaduni wa kiarabu utatawala dunia.Mfano dunia nzima tukiwa Imani unayopenda labda utaongezeka nini.
Religion creates disunity among societies
Hajachukua tu jina la kiarabu???View attachment 2634072
MIKE TYSON akiwa HIJA
Sentensi yako ya Kingereza imejibu swali lako la Kiswshili.Mfano dunia nzima tukiwa Imani unayopenda labda utaongezeka nini.
Religion creates disunity among societies
Hatutaki mashoga kwenye dini yetu,huyo mwamba analiwa mattercle
Ukishatawala what thenSwali zuri hili ila majibu ni kwamba utamaduni wa kiarabu utatawala dunia.