Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

Watu wanaongea mambo ya msingi , mnaleta ujinga , jiheshimuni basi , Yani watu wanajadili Messi na Ronaldo unaingiza takataka Ronaldinho, kuweni serious
Hujui lolote kuhusu football na hutakuja kujua. Kwa taarifa yako ukimtoa Messi wachezaji wengine wooote wa sasa ni takataka mbele ya Ronaldinho, labda kama hukuwahi kumuona.
 
Ata Thomas muller ana kombe la Dunia Mario gotze, ngolo Kante, Cecs Fabregas, David Villa, usipagawe na kombe la Dunia
Unataka nipagawe na nini!!!??? Kwani hiyo Euro Ronaldo alichukua peke yake!!!???
Mafanikio ya juu kabisa kwa mchezaji ni kuchukua World Cup na ndo sababu kiumbe wenu (cr7) alilia kama kuku siku ya kipigo cha Morocco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…