Cryogenically Frozen: Sehemu zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki


Mkuu unachanganya mafoda

Sio chip iletayo uhai lifecoded hajasema hilo

Ila chip itasaidia kurejesha kumbukumbu kwa clone ili awe kama yule original subject
 
Mkuu unachanganya mafoda

Sio chip iletayo uhai lifecoded hajasema hilo

Ila chip itasaidia kurejesha kumbukumbu kwa clone ili awe kama yule original subject



"...Mind apload ndo habari ya muuujiniiii kwa wenye pesa..

Unawekewa kifaa cha kuwa kinahifadhi kumbukumbu zako na pindi unapokufa tunakitoa kisha tunamuwekea clone wako kisha unakuwa wewe...

Hakutakuwa na utofauti na original (ulivyokuwa )kwani uhalisia wa mtu ni ufahamu halisi..."

"...mind ndo uhai wa kiumbe yoyote...hivyo ukiweza kuhamisha mind tayari umehamisha ufahamu ( consciousness ) yake...na ufahamu ndo maisha halisi ya mtu husika..."


Hizo nimemnukuu lifecoded, sijaongeza wala kupunguza neno. Naomba upitie tena kisha uone kama mafolder yamecheza. Shukran
 
mkuu kwenye hiyo bold naona umenena kispiritual Zaidi

Hivi huoni hawa jamaa kwa kugundua hii teknolojia kutazuia kushift kwa human conciounsness kwenye plane nyengine..!? Najiuliza tu kwa sauti....Au itadouble kwa ku_twin kweye plane zote mbili
 
ok.....ni kwamba. mkuu......muna mambo mawili. ya kunote hapo....



(moja).Ili total consciousness back up irudi na iweze kufanya kazi ni lazima huyo clone awe ni exactly replica ya subject husika( donor)

(mbili).tunaweza tukakuwekea chip wewe kwa lengo la kuhavest knowlege na ufahamu ulionao kisha tukawa tunasoma. mawazo. yako uliyokuwa nayo kichwani kisha kuyafanyia kazi.....
au tunazalisha replica wako kisha kumrejeshea ufahamu wako ule......

ila kama tutatengeneza clone leo bila kumrejeshea origijal ufahamu wako basi ili aweze kuwa active ni lazime tumuwekee hiyo universal collective consciousness ambapo atakuwa ni directly mind dependant kwa sababu atakuwa chini ya universal aural frequency.....

ila sasa hilo la kuwawekea chip mapema wakiwa tumboni ni kuhakikishabkuwa kunakuwa na direct mind consciousness storage kwenye chip ili ukifa basi clone wako ambaye. ni copy ya. origina yaKo anapandikizwa....

wanasema kuwa genetics matches with genetics.....arrangement ya genes zako kwenye DNA yak zipo sawa na sequence ya kila cell kwa hiyo hata mpangilio wa ufahamu wako upo katika code zile zile za genes zako...so aploaded consciousness should match with the clone.....unless tukuwekee chip ambayo inaenda kuunganisha ufahamu wako na mashine. kisha tunakuwa tunasoma unachokiwaza.......sijui umepata chochote hapa. mkuu..?
 
Labda mkuu hujalielewa kile kinachomaanisha clone

Clone ni kiumbe pacha kwa subject yeyote ile _ni kwamba kama umekufa wanaweza kuchukua cell yako na kuikuza na kupatikana kiumbe anayefanana na wewe kimuonekano kwa [emoji817]%

Ila tofauti yake ni kwamba hatokuwa na kumbukumbu zako za awali_ sasa katika hilo ndipo likatokezwa wazo la chip implant tech ambayo mkuu coded anatutaarifu inavyohisiwa kufanya kazi kwa kusaidia huyo clone kuwa Kama wewe wa awali

Sawa mkuu
 
mkuu kwenye hiyo bold naona umenena kispiritual Zaidi

Hivi huoni hawa jamaa kwa kugundua hii teknolojia kutazuia kushift kwa human conciounsness kwenye plane nyengine..!? Najiuliza tu kwa sauti....Au itadouble kwa ku_twin kweye plane zote mbili
no....ukiwekewa chip since embryology ukifa consciousness yako inakuwa embeded kwenye chip kwa hiyo tukipandikiza kwa clone unaendeleza ufahamu wako ukiwa umebaki huku huku kwenye 3D world.....hapo inabid wawahi kukuwekea chip since ukiwa tumboni...
consciousness yako ikishashift kwenye another planes of life ndo basi tena......tukicreate clone wako basi ili asavaivu anahitaji collective consciousness .....

huo ndo ufufuo wa mwanadamu kwa code za kibiblia....na ndo mana wenye uelewa mpana juu ya hiyo kitu wapo radhi wawekeze juu ya hiyo kitu....whoever fails to do that ndo atakuwa kashajipeleka kwenye plane ambayo ataendelea kuwa kilaza huko huko na huko kuna aina nyingine ya maisha ambapo hizo consciousness zilizoenda huko zitaendelea kupitia maisha ya kujaribiwa ...anaewini maisha ndo anaongeza ufahamu kisha kuascend into other higher planes of life.....

So viumbe ( binadamu)katika 3D plane life wameshaliona hilo kuwa maisha ni katika planes tofauti,, the more plane ya juu the easier. the life utaishi.......

Mtu anataka aishi miaka mingi katika phase tofauti za miili yake ili aongeze ufahamu zaidi ili atakapofikia level ya juu ya ufahamu basi aweze kuattain higher life form.
 
exactly...
 
all these codes of reality are within the bible...ndo mana watu hawataki kutafsiri ufunuo vizuri.....everything is contradicting itself into verses...
 

Nilianza kupata hofu kuwa inaweza kuwa gereza juu ya gereza ila baada ya ufafanuzi wako kuwa itatoa second chance kwa viumbe kuweza kurise their concious nimeona itakuwa ni Bingo unaweza ishi thousand times ili kuachive the goal


Hivi mkuu lile wazo la reincarnation kwenye mafundisho ya mashariki unalikubali..?
 
mkuu nahis Reincarnation ndo hayo maisha ya into other planes depending na consciousness uliyotoka nayo kwenye ulimwengu wa 3D huku.....kwa hiyo huenda ni kweli kabisa kuwa tunaishi katika level tofauti kulingana na aina ya ufahamu tulionao.....

Ndo mana tunasema kuwa Universe ina maisha mengi sana kulingana na level ya consciousness walioipata aina flani ya kundi la. viumbe katika morphology tofauti ila original ya consciouness nni moja ...ndo mana wanasema huenda sisi binadamu ni aina flani ya form ambayo ilitoka sehemu ( plane) ambapo tulikizi aina flani ya consciousness tukajikuta tupo huku......

Inawezekana kabisa tukawa viumbe ambao tumetoka katika plane zingine ambapo tuli upgrade au tumeshushwa kisha other beings wakasonga katika plane zingine za maisha...

There is a great boundary kati ya plane moja na nyingine but only consciousness is able to pass under different measures of awareness.....

This game ni noma.....
 
Unatumia neno "tutaito" tutakutengenezea" inamaana? Na wewe unahusika kwenye hilo
 
Hhhhhhhh upload system
 
Uko vizuri
 
Hahhhhhhh jpo watanzania maabara ziliboka kwetu tuko updated .. Safi xana hii inaitwa jitihada binafsi
 
We jamaa siwaelewi maana hyo sayansi yenu ni deep ila unajenga swali linaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…