Cryogenically Frozen: Sehemu zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki

Take it easy bro. Mie nataka twende taratibu tu kwenye mada.
Hata mimi sielewi wala sijasoma kila kitu, lakini nnashukuru kwamba nna akili yenye uwezo wa kuhoji jambo, kulifikiria, na kudadisi bila kujali limesemwa na nani. Haupokei tu kila jambo kama linavyokuja. Kwa muktadha huo, sina tatizo na wewe, ningependa tujadili hizi nadharia mbili clone na mind/ consciousness (Uhai).

1. Mfano wa kwanza, lifecoded amewekewa chip tokea tumboni kabla hata hajazaliwa, The Monk ameishi maisha yake kisha akafa, wanasayansi wakifanya vitu vyao wakauhifadhi mwili wake wa mazingira yao, wanaweza kumpandikizia chip iliyokuwa imewekwa kwa lifecoded kisha The Monk akaendelea na maisha? japo hatakua kama The Monk wa awali?

2. Kwa kuwa lifecoded amewekewa chip tokea ujauzito wake, kwanini anakufa wakati tayari ana uhai (Mind) ambao unaweza kuwekwa kwa mtu mwingine ukaendeleza maisha?

Ahsante

Mkuu unachanganya mafoda

Sio chip iletayo uhai lifecoded hajasema hilo

Ila chip itasaidia kurejesha kumbukumbu kwa clone ili awe kama yule original subject
 
"...Mind apload ndo habari ya muuujiniiii kwa wenye pesa..

Unawekewa kifaa cha kuwa kinahifadhi kumbukumbu zako na pindi unapokufa tunakitoa kisha tunamuwekea clone wako kisha unakuwa wewe...

Hakutakuwa na utofauti na original (ulivyokuwa )kwani uhalisia wa mtu ni ufahamu halisi..."

"...mind ndo uhai wa kiumbe yoyote...hivyo ukiweza kuhamisha mind tayari umehamisha ufahamu ( consciousness ) yake...na ufahamu ndo maisha halisi ya mtu husika..."

Hizo nimemnukuu lifecoded, sijaongeza wala kupunguza neno. Naomba upitie tena kisha uone kama mafolder yamecheza. Shukran
 
thats why wataalamu wa mambo wanasema kuwa The world is the prison where our consciouness are subjected to be tested in order to ascend into higher self.....watu kupata concept ya mind apload ni kwamba wamekuja kugundua kuwa hapa duniani tunapitia magumu mengi bila kujua nia yetu ni nini .Kwa hiyo kama mtu atarudishwa upya duniani yani consciousness itarudishwa basi ataweza kustick na njia ya kuraise consciousness tu na sio kingine.....
mkuu kwenye hiyo bold naona umenena kispiritual Zaidi

Hivi huoni hawa jamaa kwa kugundua hii teknolojia kutazuia kushift kwa human conciounsness kwenye plane nyengine..!? Najiuliza tu kwa sauti....Au itadouble kwa ku_twin kweye plane zote mbili
 
Take it easy bro. Mie nataka twende taratibu tu kwenye mada.
Hata mimi sielewi wala sijasoma kila kitu, lakini nnashukuru kwamba nna akili yenye uwezo wa kuhoji jambo, kulifikiria, na kudadisi bila kujali limesemwa na nani. Haupokei tu kila jambo kama linavyokuja. Kwa muktadha huo, sina tatizo na wewe, ningependa tujadili hizi nadharia mbili clone na mind/ consciousness (Uhai).

1. Mfano wa kwanza, lifecoded amewekewa chip tokea tumboni kabla hata hajazaliwa, The Monk ameishi maisha yake kisha akafa, wanasayansi wakifanya vitu vyao wakauhifadhi mwili wake wa mazingira yao, wanaweza kumpandikizia chip iliyokuwa imewekwa kwa lifecoded kisha The Monk akaendelea na maisha? japo hatakua kama The Monk wa awali?

2. Kwa kuwa lifecoded amewekewa chip tokea ujauzito wake, kwanini anakufa wakati tayari ana uhai (Mind) ambao unaweza kuwekwa kwa mtu mwingine ukaendeleza maisha?

Ahsante
ok.....ni kwamba. mkuu......muna mambo mawili. ya kunote hapo....

(moja).Ili total consciousness back up irudi na iweze kufanya kazi ni lazima huyo clone awe ni exactly replica ya subject husika( donor)

(mbili).tunaweza tukakuwekea chip wewe kwa lengo la kuhavest knowlege na ufahamu ulionao kisha tukawa tunasoma. mawazo. yako uliyokuwa nayo kichwani kisha kuyafanyia kazi.....
au tunazalisha replica wako kisha kumrejeshea ufahamu wako ule......

ila kama tutatengeneza clone leo bila kumrejeshea origijal ufahamu wako basi ili aweze kuwa active ni lazime tumuwekee hiyo universal collective consciousness ambapo atakuwa ni directly mind dependant kwa sababu atakuwa chini ya universal aural frequency.....

ila sasa hilo la kuwawekea chip mapema wakiwa tumboni ni kuhakikishabkuwa kunakuwa na direct mind consciousness storage kwenye chip ili ukifa basi clone wako ambaye. ni copy ya. origina yaKo anapandikizwa....

wanasema kuwa genetics matches with genetics.....arrangement ya genes zako kwenye DNA yak zipo sawa na sequence ya kila cell kwa hiyo hata mpangilio wa ufahamu wako upo katika code zile zile za genes zako...so aploaded consciousness should match with the clone.....unless tukuwekee chip ambayo inaenda kuunganisha ufahamu wako na mashine. kisha tunakuwa tunasoma unachokiwaza.......sijui umepata chochote hapa. mkuu..?
 
"...Mind apload ndo habari ya muuujiniiii kwa wenye pesa..

Unawekewa kifaa cha kuwa kinahifadhi kumbukumbu zako na pindi unapokufa tunakitoa kisha tunamuwekea clone wako kisha unakuwa wewe...

Hakutakuwa na utofauti na original (ulivyokuwa )kwani uhalisia wa mtu ni ufahamu halisi..."

"...mind ndo uhai wa kiumbe yoyote...hivyo ukiweza kuhamisha mind tayari umehamisha ufahamu ( consciousness ) yake...na ufahamu ndo maisha halisi ya mtu husika..."

Hizo nimemnukuu lifecoded, sijaongeza wala kupunguza neno. Naomba upitie tena kisha uone kama mafolder yamecheza. Shukran
Labda mkuu hujalielewa kile kinachomaanisha clone

Clone ni kiumbe pacha kwa subject yeyote ile _ni kwamba kama umekufa wanaweza kuchukua cell yako na kuikuza na kupatikana kiumbe anayefanana na wewe kimuonekano kwa [emoji817]%

Ila tofauti yake ni kwamba hatokuwa na kumbukumbu zako za awali_ sasa katika hilo ndipo likatokezwa wazo la chip implant tech ambayo mkuu coded anatutaarifu inavyohisiwa kufanya kazi kwa kusaidia huyo clone kuwa Kama wewe wa awali

Sawa mkuu
 
mkuu kwenye hiyo bold naona umenena kispiritual Zaidi

Hivi huoni hawa jamaa kwa kugundua hii teknolojia kutazuia kushift kwa human conciounsness kwenye plane nyengine..!? Najiuliza tu kwa sauti....Au itadouble kwa ku_twin kweye plane zote mbili
no....ukiwekewa chip since embryology ukifa consciousness yako inakuwa embeded kwenye chip kwa hiyo tukipandikiza kwa clone unaendeleza ufahamu wako ukiwa umebaki huku huku kwenye 3D world.....hapo inabid wawahi kukuwekea chip since ukiwa tumboni...
consciousness yako ikishashift kwenye another planes of life ndo basi tena......tukicreate clone wako basi ili asavaivu anahitaji collective consciousness .....

huo ndo ufufuo wa mwanadamu kwa code za kibiblia....na ndo mana wenye uelewa mpana juu ya hiyo kitu wapo radhi wawekeze juu ya hiyo kitu....whoever fails to do that ndo atakuwa kashajipeleka kwenye plane ambayo ataendelea kuwa kilaza huko huko na huko kuna aina nyingine ya maisha ambapo hizo consciousness zilizoenda huko zitaendelea kupitia maisha ya kujaribiwa ...anaewini maisha ndo anaongeza ufahamu kisha kuascend into other higher planes of life.....

So viumbe ( binadamu)katika 3D plane life wameshaliona hilo kuwa maisha ni katika planes tofauti,, the more plane ya juu the easier. the life utaishi.......

Mtu anataka aishi miaka mingi katika phase tofauti za miili yake ili aongeze ufahamu zaidi ili atakapofikia level ya juu ya ufahamu basi aweze kuattain higher life form.
 
Labda mkuu hujalielewa kile kinachomaanisha clone

Clone ni kiumbe pacha kwa subject yeyote ile _ni kwamba kama umekufa wanaweza kuchukua cell yako na kuikuza na kupatikana kiumbe anayefanana na wewe kimuonekano kwa [emoji817]%

Ila tofauti yake ni kwamba hatokuwa na kumbukumbu zako za awali_ sasa katika hilo ndipo likatokezwa wazo la chip implant tech ambayo mkuu coded anatutaarifu inavyohisiwa kufanya kazi kwa kusaidia huyo clone kuwa Kama wewe wa awali

Sawa mkuu
exactly...
 
all these codes of reality are within the bible...ndo mana watu hawataki kutafsiri ufunuo vizuri.....everything is contradicting itself into verses...
 
no....ukiwekewa chip since embryology ukifa consciousness yako inakuwa embeded kwenye chip kwa hiyo tukipandikiza kwa clone unaendeleza ufahamu wako ukiwa umebaki huku huku kwenye 3D world.....hapo inabid wawahi kukuwekea chip since ukiwa tumboni...
consciousness yako ikishashift kwenye another planes of life ndo basi tena......tukicreate clone wako basi ili asavaivu anahitaji collective consciousness .....

huo ndo ufufuo wa mwanadamu kwa code za kibiblia....na ndo mana wenye uelewa mpana juu ya hiyo kitu wapo radhi wawekeze juu ya hiyo kitu....whoever fails to do that ndo atakuwa kashajipeleka kwenye plane ambayo ataendelea kuwa kilaza huko huko na huko kuna aina nyingine ya maisha ambapo hizo consciousness zilizoenda huko zitaendelea kupitia maisha ya kujaribiwa ...anaewini maisha ndo anaongeza ufahamu kisha kuascend into other higher planes of life.....

So viumbe ( binadamu)katika 3D plane life wameshaliona hilo kuwa maisha ni katika planes tofauti,, the more plane ya juu the easier. the life utaishi.......

Mtu anataka aishi miaka mingi katika phase tofauti za miili yake ili aongeze ufahamu zaidi ili atakapofikia level ya juu ya ufahamu basi aweze kuattain higher life form.

Nilianza kupata hofu kuwa inaweza kuwa gereza juu ya gereza ila baada ya ufafanuzi wako kuwa itatoa second chance kwa viumbe kuweza kurise their concious nimeona itakuwa ni Bingo unaweza ishi thousand times ili kuachive the goal

Hivi mkuu lile wazo la reincarnation kwenye mafundisho ya mashariki unalikubali..?
 
mkuu nahis Reincarnation ndo hayo maisha ya into other planes depending na consciousness uliyotoka nayo kwenye ulimwengu wa 3D huku.....kwa hiyo huenda ni kweli kabisa kuwa tunaishi katika level tofauti kulingana na aina ya ufahamu tulionao.....

Ndo mana tunasema kuwa Universe ina maisha mengi sana kulingana na level ya consciousness walioipata aina flani ya kundi la. viumbe katika morphology tofauti ila original ya consciouness nni moja ...ndo mana wanasema huenda sisi binadamu ni aina flani ya form ambayo ilitoka sehemu ( plane) ambapo tulikizi aina flani ya consciousness tukajikuta tupo huku......

Inawezekana kabisa tukawa viumbe ambao tumetoka katika plane zingine ambapo tuli upgrade au tumeshushwa kisha other beings wakasonga katika plane zingine za maisha...

There is a great boundary kati ya plane moja na nyingine but only consciousness is able to pass under different measures of awareness.....

This game ni noma.....
 
soma vizuri maelezo yangu...lazima kuwe na human body cloned kwanza...ukifa ukabondeka bondeka tunachukua cell yako moja kisha tunarudisha copy ya mwili wako kama ulivyokuwa halafu tunapandikizia hiyo intelligent microchip ambayo tutaitoa kwenye ubongo wako( kama ulikuwa ushewekewa kifaaa cha kuapload mind kichwani mwako)

Ni process tata sana but itafanikiwa tu...its like joking but its going to happen real...
Unatumia neno "tutaito" tutakutengenezea" inamaana? Na wewe unahusika kwenye hilo
 
Hauwezi ukawa wewe exactly! Kwa sababu kwanza chip kama chip ina limmitations nyingi mno ikiwemo ya limmited storage hii itapelekea uwezekano wa wewe uliyetenge ezwa kushindwa kuingiza vitu vipya ama kuwa na vile ambavyo uliwwahi kujifunza pekee. na kingine genes zako zikishakuwa edited unapoteza ubora wa kuwa wewe.
All in all utabaki kuwa ANDROID tu.
Hhhhhhhh upload system
 
Uko vizuri
mkuu,kumbuka clone anapatikana kwa donor ( original cell from the subject),kwa hiyo access ya cell ipo na tunaweza ipata hata kwakuchukua cell moja tu..mtu ukifa haimanishi umeondoka na ufahamu wote..sisi wote tulio hai tuna ufahamu wa pamoja unaoitwa collective consciousness ampapo kiumbe yoyote ukimtrain hata mbuzi anaelewa ndani ya dk mbili dunia inavyokwenda....kwa hiyo wanachokifanya kwa hawa clone ni kuinduce hiyo collective consciousness kwao na huyo clone atakuwa anajua dunia ilipo hence atarun mambo yote as if alikuwepo tangu mwanzo.....neural scientists wamesha hack eneo maalumu kwenge ubongo ambalo linahusika na collective consciousness( current ongoing processees around the world) then anaendelea na dunia inavyokwenda....

Hatapitwa na chochote kwa sababu anakuwa ashapewa Universal Aura Frequency inayorun universal consciousness....hebu ukipata muda pitia kidogo kuhusu universal consciousness then uje uulize chochote.
 
Hahhhhhhh jpo watanzania maabara ziliboka kwetu tuko updated .. Safi xana hii inaitwa jitihada binafsi
Broo acha kutumia uelewa wa darasa la pili kuwa ili ubongo uuelewe ni lazima upoteze taarifa zingine kukaribisha uelewa mpya point za kitoto sana hizo mkuu....watakucheka sana watu ...

Labda nikueleze tu ukweli ni kwamba ubongo wako huhifadhi kila kitu kuanzia unapozaliwa mpaka unakufa....ukitaka kufahamu hilo tembelea kitengo cha crime intelligence uone jinsi wanavyopakua informations kutoka kwa watu wanao wakamata pindi waambiwapo watoe siri flani na ukikataaa kuna dawa unamezeshwa kisha memory yako inarudi fasta kwenye cerebral cortex kisha memory centre kutema kila kitu huku ukiwa conscous....sema hujui chochote kuhusu jinsi ubongo unavyohifadhi taarifa....hapa nikikuuliza unipe uhusiano jinsi informations zinavyoprocesiwa kwenye braini kisha kuwekwa kwenye long term na short term memory utaanza kumbwele...

Inshort ubongo wako unahifadhi kila ufahamu wako unapotambua kitu....sema rate ya kutemesha back informations toka kwenye memory centre kuja kwenye conscious area unatofautiana kati yamtu na mtu kulingana na neural circuit ya mhusika....ila hiyo point yako ya kudanganywa kuwa ili ubongo uhifadhi kitu ni lazima upoteze informations ni uongo mkubwa ...
 
We jamaa siwaelewi maana hyo sayansi yenu ni deep ila unajenga swali linaonekana

Back
Top Bottom