ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,750
- 1,864
Take it easy bro. Mie nataka twende taratibu tu kwenye mada.
Hata mimi sielewi wala sijasoma kila kitu, lakini nnashukuru kwamba nna akili yenye uwezo wa kuhoji jambo, kulifikiria, na kudadisi bila kujali limesemwa na nani. Haupokei tu kila jambo kama linavyokuja. Kwa muktadha huo, sina tatizo na wewe, ningependa tujadili hizi nadharia mbili clone na mind/ consciousness (Uhai).
1. Mfano wa kwanza, lifecoded amewekewa chip tokea tumboni kabla hata hajazaliwa, The Monk ameishi maisha yake kisha akafa, wanasayansi wakifanya vitu vyao wakauhifadhi mwili wake wa mazingira yao, wanaweza kumpandikizia chip iliyokuwa imewekwa kwa lifecoded kisha The Monk akaendelea na maisha? japo hatakua kama The Monk wa awali?
2. Kwa kuwa lifecoded amewekewa chip tokea ujauzito wake, kwanini anakufa wakati tayari ana uhai (Mind) ambao unaweza kuwekwa kwa mtu mwingine ukaendeleza maisha?
Ahsante
Mkuu unachanganya mafoda
Sio chip iletayo uhai lifecoded hajasema hilo
Ila chip itasaidia kurejesha kumbukumbu kwa clone ili awe kama yule original subject