Cryogenically Frozen: Sehemu zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki

Tangu nione movie ya the 6th days ya Arnold Schwarzenegger mwaka 2001 na kugusa gusa hizi habari za clone kiasi nika-conclude huko kwa wenzetu inawezekana kabisa watu wengi maarufu walishakufa kisiri siri tunazoziona/kuishi nazo ni clone zao
tazama THE ISLAND ,mengi utayaelewa....they portray codes of reality in the future.
 
Thanks ngoja niitafute
clone wanatengenezwa underground kisha wanakuwa humo humo wamepewa mazingira yote ila none of them knows alikujaje na wamejikuta wapo humo na wakihoji their origin wanaishia kuahidiwa kuwa watapelekwa kwenye Island kutalii but walikua wananyofolewa viungo kwa ajili ya kufanya organ transplant kwa wengine.....ni balaa
 
Niwie Radhi Mkuu
Nina mtoto wangu aling'oka meno akiwa na miaka sita ..na mengine yakaoza ..as now tunatumia meno bandia...na jana tumeenda kufanya kipimo cha meno ya magego coz hayo bado hayakung'oka ila yako taabani na binti yangu analia sana

:tunaweza kupata plantation ya Meno/Kinywa?
 
duuh....mmenda dental clinic wakawaambiaje..?
Ana umri gan mpaka sasa....?
 

Nmewaza tu akil za wabongo wengi zinazowqza ngono 24/7 utoe chip yake ueke kwenye computaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Unaeza ivunja kwa hasira
 
Kumbe wewe ni mgumu kuelewa eeh?

lifecoded anasema ufahamu wako ndio uhalisia wako, ndio wewe na ndio uhai wako (yaani unavyojihisi hai hiyo ni kutokana na ufahamu wako)

Hiyo chip itakayowekwa itakuwa inakopi taarifa mbalimbali kama zilivyo kutoka kwenye ufahamu wako wa Sasa na kuzihifadhi. Happy kazi ya chip itakuwa ni kuhifadhi hizo taarifa tu.

Siku ukifa utatengenezwa mwili mwingine ambazo unafanana na wako kwa kila kitu kisha ile chip itawekwa pale na ikiunganishwa fresh basi ufahamu wako kutoka kwenye mwili wako wa awali utahamia kwenye huu mwili mpya. Kwa kuwa uhalisia wako wote na huo uwewe unatokana na ufahamu wako Basi hapo utajiona ni wewe tu yule yule na wala hutojua kuwa upo kwenye mwili maingine maana utajihisi tu kuwa umeamka kutoka usingizini.

Hapo nimejaribu kufafanua maelezo ya lifecoded na Kama nimekosea atanikosoa. Ila kutokana na maelezo haya mimi ninamkanganyiko kidogo,

Huu mwili mpya na ufahamu wake vyote ni copy. Mtu halisi anakuwa amekufa na ufahamu wake ule halisi, kwa hiyo atakuwa huko kwa wafu (Kama kweli kupo)

Ikitokea labda kafufuka, au labda hakuwa amekufa sawa sawa so karejea kuwa hai atakuwa na ufahamu ule wa zamani kabla hajafa ila muendelezo wa ufahamu wake utakuwa tofauti na muendelezo wa ufahamu wa yule ambaye ni copy, Sasa hapa ndo feki atakapofeli maana huyu real atakuwa real so muendelezo wake utakuwa real halafu yule copy muendelezo wake utakuwa feki feki tu.

Nipo sahihi lifecoded?
 

Umesoma vizuri hizo nukuu nilimnukuu nani na tulikua tunaongelea kitu gani kwenye hii mada? Kulikua na haja ya kuelezea uelewa wangu kitu ambacho najua haukielewi hata kidogo? Jitahidi kujikita kwenye hoja na kufuatilia mtiririko wa mjadala...
 
Umesoma vizuri hizo nukuu nilimnukuu nani na tulikua tunaongelea kitu gani kwenye hii mada? Kulikua na haja ya kuelezea uelewa wangu kitu ambacho najua haukielewi hata kidogo? Jitahidi kujikita kwenye hoja na kufuatilia mtiririko wa mjadala...
Kiukweli haya mambo siyajui ndio Kwanza nayasoma hapa na naelewa japo si kazi rahisi, nilidhani hujamuelewa lifecoded so nikawa najaribu kukuelewesha ila Kama unaona nimekosea sorry wala sihitaji kufight nipo hapa kujifunza.... Ila sijui kwanini wengi wenye "bahati" ya kuyajua mambo magumu huwa mnakuwa very aggresive
 
Ujinga tu. Kuna sababu ya kuumbe hai kufa. Kufufuka ndotoooo...

Kama kuna kufufuka sasa kwann kuna kufa.

Ujinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Man hate what they cant understand ,fear what they cant conquor...kijana kama huna ufaham sio lazima kutukana...ni kamq vidudu kukutana na hesabu za form six
 
lifecoded hii cell moja iliyokomaa inaweza ku undergo differentiation inayotokea during embryology? mi nilidhani cell zenye uwezo huo ni mesenchyme cells tu? Sasa ina differentiate vipi kuunda mifupa na nyama tofauti kama maini,kucha na nywele? au inatumika wapi hii cell?
 
mkuu....kwani nini kinachocontrol cell differengiation.......?? is'nt gene ....?? hiyo cell moja ina idadi sawa ya genes ambazo kila cell inazo...kwa hiyo usishangae kwanini mesenchymal differentiation inakuwa enhenced kuliko cell zingine....all in all gene ndo kila kitu.
 
The universe is constructed by mental ...hakuna litakaloshindikana....kinachofikilika ndo kinachoonekana....

Hebrews 11:3 “Through faith we understand that the worlds were framed by the word of God, so that
things which are seen were not made of things which do appear”
 

Ndio maana sikusema haiwezekani, nimeeleza inaweza kuchukua muda.

Na Biblia hiyo hiyo inasema aonavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo.

Ukijiona au kufikiri ni wa kushindwa, utashindwa tu. Ukiwa na fikra na mawazo ya kuweza, utaweza.
Hauwezi kuwa zaidi ya vile unavyowaza.

Mind is everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…