Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

Status
Not open for further replies.
Guys crypto is hyping now na trend ni meme coins na community coins sasa nakimbiza na Santa coin iliyoanzishwa juzi tu ambayo inafanana kwa kila kitu na evergow ambayo ndani ya mwezi mmoja imekusanya market cap ya 1.3B$ wanalipa reflections now kwa BUSD
Icheki SANTA coin now kwa coinghecko and hop in Men
 
what can you buy with this invisible cash of yours? lets say you want out of the investment, how much real currency will you get?
Vijana wa IT mnavamia fani za watu (hapa ni IT wa dunia nzima sio wa Tz pekee). What immunity does bitcoin has from Market crash?
Finance ni fani ya watu. Untill bitcoin can buy tangible things, steer clear. You can't invest in a currency.
Wewe unajifanya mjuaji ila umechelewa saana yaani🤣🤣🤣
 
Namaanisha anayeipandisha hyo coin thamani ya juu NI Nani?
Vipi akiamua kuishusha?
Watu wananunu hiyo Coin. Kwa hiyo kinachoipandisha thamani ni Supply yake, Demand, Applicability yake n.k. Huku kwetu kuvielewa hivi vitu inakuwa ngumu sana sababu watu wanatanguliza ujuaji mbele kuliko kutulia kusoma na kujifunza.
 
Guys crypto is hyping now na trend ni meme coins na community coins sasa nakimbiza na Santa coin iliyoanzishwa juzi tu ambayo inafanana kwa kila kitu na evergow ambayo ndani ya mwezi mmoja imekusanya market cap ya 1.3B$ wanalipa reflections now kwa BUSD
Icheki SANTA coin now kwa coinghecko and hop in Men
Mkuu unamaanisha Santa au Saitama?
 
A sophisicated form of ponzi scheme...unahitaji watu wengi waingiw kununua hizo virtual currency kupata faida, watu wakiamua hazina deal basi mnapata hasara, yaani ni pyramid wanavyozidi kuingia wapya waliopo wanapata, ikifika mahali watu hawaingii tena inakuwa haina thamani....maana yangu ni kuwa hakuna productivity au value iliyoko nyuma ya hizo currency zaidi ni speculation tu...yaani kila anae nunua ananunua kwa matarajio itapanda bei....na bei inapanda tu watu wanavozidi kuingia...
 
Hakuna unachokijua kuhusu Crypto acha kupotosha Umma. Sometimes ni bora kukaa kimya kuliko kuropoka.
 
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.

Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account ya moja za crypto currency kumbuka mimi bado mgeni kwenye mambo haya.

Leo nimeangalia nimepata faida ya 900 dollars kwa 500 dollars niliyoinvest na inapanda.

Nilijuaga hii ni upigaji kama ile forex ya jamaa humu ila siyo. Ukiinvest tu kwenye coin nzuri unaweza kutoka sana na faida nyingi na kubwa.

Ni vizuri pia kujifunza kabla ya ku invest mtandaoni ama unamjua rafiki ambaye yumo kwenye gemu kwa muda. Kuna coins nyingi sana kwenye crypto nimeuja kujua.

Coin yenye thamani sasa hivi ni Bitcoin na Bitcoin moja ni 61,000 USD. Na miaka 10 iliyopita ilikuwa 50 cents.

Wale wazoefu wa Crypto (Bitcoin) tunaomba maujuzi yenu tu jifunze Zaid. Coins zipi zinafaa.

Crypto si upigaji

Karibuni kwenye mjadala

HIVI KWA NINI USIKAE KIMYA NA UKAPIGA HIZO PESA KIMYA KIMYA.?
AU NDIO MIKAKATI YA KUKUSANYA WENYE AKILI HABA KUSHIRIKI KAMALI HIZI?
EBU FUNGUA WASAP GROUP WEKA NDUGU ZAKO WOTE HUKO!

KISHA FUTA HUU UZI
 
Ieleweke kwamba Crypto alazimishwi mtu kuingia. Kama unaona ni Scam we nenda kalime Matikiti Bagamoyo au kawekeze kwenye Mpunga Mbarali. Kila mtu apambane na hali yake, kivyake tutakutana kwenye Matumizi ya Pesa.
 
Kwa sisi tusiojua kabisa,ili uende vizuri unatakiwa uanze kama na sh.ngapi za kitanzania...
Jambo la Muhimu sio kuanza na Sh ngapi, la muhimu ni ujifunze kwnza uelewe Cryptocurrency ni nini, zinafanyaje kazi ukishaelewa sasa ndio uanze kama ni kutrade au kuinvest. Si vizuri kuingia kichwakichwa kwenye jambo usilolielewa. Wengi wanalalamika mambo ya Bitcoin sijui ni utapeli sababu waliingia kichwakichwa wakaishia kutapeliwa. Scammers wanajua kwamba watu wengi wanapenda "Get Rich Quick Schemes"
 
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.

Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account ya moja za crypto currency kumbuka mimi bado mgeni kwenye mambo haya.

Leo nimeangalia nimepata faida ya 900 dollars kwa 500 dollars niliyoinvest na inapanda.

Nilijuaga hii ni upigaji kama ile forex ya jamaa humu ila siyo. Ukiinvest tu kwenye coin nzuri unaweza kutoka sana na faida nyingi na kubwa.

Ni vizuri pia kujifunza kabla ya ku invest mtandaoni ama unamjua rafiki ambaye yumo kwenye gemu kwa muda. Kuna coins nyingi sana kwenye crypto nimeuja kujua.

Coin yenye thamani sasa hivi ni Bitcoin na Bitcoin moja ni 61,000 USD. Na miaka 10 iliyopita ilikuwa 50 cents.

Wale wazoefu wa Crypto (Bitcoin) tunaomba maujuzi yenu tu jifunze Zaid. Coins zipi zinafaa.

Crypto si upigaji

Karibuni kwenye mjadala
Ndio sio upigaji,lakini sio biashara ya kuingiza hela kirahisi.Kama ilivyo kwa forex na stock trading,nishughuli ya uwekezaji kwa muda mrefu na inahitaji kuwa na mtaji sio masihara.
 
Daah yaani mi mwenyewe sijamuelewe, wabongo ujuaji mwingi usio na utafiti.
Ni shidaa! Kama hawezi Crypto au hataki kunifunza sio lazima sana. Anaweza kwenda kwenye Kilimo cha Mpunga Mbarali au Kilombero🤣
 
"Wale wazoefu wa Crypto (Bitcoin) tunaomba maujuzi yenu tu jifunze Zaid. Coins zipi zinafaa."

"Crypto si upigaji"
Umewezaje kuthibitisha kuwa inalipa na pia sio upigaji ikiwa bado unaomba ujuzi ili ujifunze?
Na hapohapo haujui coins zinazofaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom