Customer Care wote wa CRDB, NMB, Voda & Tigo - jiandaeni kufukuzwa kazi

Customer Care wote wa CRDB, NMB, Voda & Tigo - jiandaeni kufukuzwa kazi

Boss , umeongea mengi sana
Mada yako naona imejikita kwa mtumiaji kuwa si msomi. Ila robot haitaji usomi
Je watu wa Tanzania hii hawawezi kutumia M-Pesa au kuingia katika menu na kununua kifurushi? - Hivyo ndivyo hiyo robot anafanya kazi
Labda nikurekebishe hapo kwamba "watumiaji sio wasomi" ..HAPANA.ila most of watumiaje si watu ambao wako interested na tech..pia ni natute ya mteja kutopenda ku deal na vitu sophiscated according to my experience. ..people wish to deal with people hapo ndio changamoto ya hiv solutions inapokuja..ndio maana kwa mtazamo wangu mambo haya sio ya miaka 3-5 ku catch up nayo.. we r still far...

Na mwisho, mpesa is just a small part nazungumzia kwenye almost every aspect of tech on which these bot techs r intened to serve..

Nimejarib kuongelea katika customer level maana hawa ndio intended users wenyewe
 
Labda nikurekebishe hapo kwamba "watumiaji sio wasomi" ..HAPANA.ila most of watumiaje si watu ambao wako interested na tech..pia ni natute ya mteja kutopenda ku deal na vitu sophiscated according to my experience. ..people wish to deal with people hapo ndio changamoto ya hiv solutions inapokuja..ndio maana kwa mtazamo wangu mambo haya sio ya miaka 3-
Na mwisho, mpesa is just a small part nazungumzia kwenye almost every aspect of tech on which these bot techs r intened to serve..

Nimejarib kuongelea katika customer level maana hawa ndio intended users wenyewe
Hushangai watu wameishia darasa la 7 ila wanatumia Smartphone.
Watu hao hao ukiwabadilishia setting za simu na kutoa English na kuweka Kiswahili wanalalamika urudishe kwenye English.

Mfano mzuri nimetolea ni wazazi wangu , wameishia la 7 ila YouTube na WhatsApp wanatumia

Mabadiliko yanakubadilisha bila ya kuangalia elimu yako
 
Ahahah very true ..kwenye aspect ya mobile haikwepeki kwakua ni kitu mandatory...
Ila kuna case zingine ngumu...

Mfano.
Last w weeks nimetoa pesa kwenye ATM nmb.Mashine ika count triiiiiiiiiiii kisha ika stuck haikutoa pesa lakin kwenye simu nikatumiwa notification kuwa nimepokea pesa.

Imagine ku file hiyo complaint, hata kama bot can do that, customers wont be at easy😂

Kuna ile hali with ya customer satsifaction ambayo ila iwepo basi it shoud be a man to man inquiry 😂.
Customers r so delicate to handle sometimes especially kwenye mazingira competitive ya kibiashara kma ya leo
 
Ungekuwa umenielewa sana kama ungekuwa mtumiaji wa ChatGPT.

Huwa zimewekewa problem na solution. Kwa hiyo ina uwezo wa kujifunza kama mwanadamu na pia kufikiri. Pia kutakuwa na uwezo wa kuunganishwa na mwanadamu endapo tatizo lako liko nje ya uwezo.

ChatGPT inauwezo wa kujibu swali, hata kama ni broken English - ambacho ni kitu mzungu(mwanadamu mwenzako) anashindwa kujua unamaanisha nini
 
Wengine tunaoenda kupata huduma hizo sehemu kutokana na warembo tunaowakuta itakuaje sasa tutahama mbaki na maroboti yenu
 
Customer care wa Tanesco, Tigo na Sales executive wa Total energies wote wana ugonjwa wa kutokuwajibika. Hawa watu ukipata tatizo ukawapigia wanakuambia andika email ioneshe kama ni formal complain siju wanakariri wanvyofundishwa kuhudumia mteja. Hivi mteja ana shida aandike email ili ionekane ana file formal complaint kweli.
Hizi fani ni bora akaletwa robot.
Umewahi kupiga TANAPA?
HAO NI WAFU KABISA
 
Kwa customer care wa mitandao ya simu muda si mrefu. Watu wamekuwa na uelewa mkubwa wa mambo. Halafu maswali yanayoulizwa ni yale yale kwa hiyo ni rahisi kutengeneza roboti/chat bot
 
Kwa customer care wa mitandao ya simu muda si mrefu. Watu wamekuwa na uelewa mkubwa wa mambo. Halafu maswali yanayoulizwa ni yale yale kwa hiyo ni rahisi kutengeneza roboti/chat bot
Mtandao kama Vodacom , naona wapo kwenye process
Mana ili kuongea na costumer care Ni lazima uwe premium
La sivyo unaishia kusikiliza recorded voice
 
Sio kwaTz tutachelewa km hao marobot washaanza kutumika huko Nchi zilizoendelea tusubiri miaka 50 ndo waje kununua hizo robot na kutumika ktk kampuni zetu Tz
Ninesoma mahali Tanzania nao wanatarajia kuruka kwenda sayari mwezini! Hii ni kweli!?

LINI na vituo vya mafuta ya magari kujihudumia mwenyewe bila mhudumu pamoja na magari ya Gasi kuja!
 
Hilo mataifa makubwa wangesha achisha watu KAZI,binadamu atabaki na sifa zake
Taifa gani ulotembelea kubwa?
Kwenye hayo mataifa unayosemea machine zinatumika kwenye kila kitu,
Pili hayo hayo mataifa Kuna vending machine ( maduka yanayojiuza kwa robot )
Tatu hayo mataifa ni cashless - hawa shiki noti - Ela zinakaa mtandaoni kama M-Pesa

Ni Japan au China au USA?

Kila siku uvumbuzi unaongezewa vitu

Kuna software kibao zishaanza kutumia AI - na hapo bongo zipo [ Adobe Photoshop , Wondershare Filmora ]
Dunia inakimbilia kwenye AI , jiandae usiseme haukuambiwa
Mana wabongo wengi ni watu wa majuto, hamuandai mashamba kabla ya mvua - mkisubiri mvua inyeshe ndo muandae mashamba ( Vitadumaa )
 
Wengine tunaoenda kupata huduma hizo sehemu kutokana na warembo tunaowakuta itakuaje sasa tutahama mbaki na maroboti yenu
Kabla ya gesi tulikuwa tunatumia mkaa na kuni watu walipata taabu sana kula chakula ya kupika kwa gesi wanasema sio kitamu lkn sasaiv ? mkaa ni bei ghari kuliko gesi na chakula ni kitamu vilevile.
 
Back
Top Bottom