khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
Badoo sanaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikurekebishe hapo kwamba "watumiaji sio wasomi" ..HAPANA.ila most of watumiaje si watu ambao wako interested na tech..pia ni natute ya mteja kutopenda ku deal na vitu sophiscated according to my experience. ..people wish to deal with people hapo ndio changamoto ya hiv solutions inapokuja..ndio maana kwa mtazamo wangu mambo haya sio ya miaka 3-5 ku catch up nayo.. we r still far...Boss , umeongea mengi sana
Mada yako naona imejikita kwa mtumiaji kuwa si msomi. Ila robot haitaji usomi
Je watu wa Tanzania hii hawawezi kutumia M-Pesa au kuingia katika menu na kununua kifurushi? - Hivyo ndivyo hiyo robot anafanya kazi
Hushangai watu wameishia darasa la 7 ila wanatumia Smartphone.Labda nikurekebishe hapo kwamba "watumiaji sio wasomi" ..HAPANA.ila most of watumiaje si watu ambao wako interested na tech..pia ni natute ya mteja kutopenda ku deal na vitu sophiscated according to my experience. ..people wish to deal with people hapo ndio changamoto ya hiv solutions inapokuja..ndio maana kwa mtazamo wangu mambo haya sio ya miaka 3-
Na mwisho, mpesa is just a small part nazungumzia kwenye almost every aspect of tech on which these bot techs r intened to serve..
Nimejarib kuongelea katika customer level maana hawa ndio intended users wenyewe
Sawa mtaalamu wa lughaHuenda zikachukua nafasi ya kusahihisha lugha pia
Ahahah very true ..kwenye aspect ya mobile haikwepeki kwakua ni kitu mandatory...Hushangai watu wameishia darasa la 7 ila wanatumia Smartphone.
Watu hao hao ukiwabadilishia setting za simu na kutoa English na kuweka Kiswahili wanalalamika urudishe kwenye English.
Mfano mzuri nimetolea ni wazazi wangu , wameishia la 7 ila YouTube na WhatsApp wanatumia
Mabadiliko yanakubadilisha bila ya kuangalia elimu yako
Ungekuwa umenielewa sana kama ungekuwa mtumiaji wa ChatGPT.Ahahah very true ..kwenye aspect ya mobile haikwepeki kwakua ni kitu mandatory...
Ila kuna case zingine ngumu...
Mfano.
Last w weeks nimetoa pesa kwenye ATM nmb.Mashine ika count triiiiiiiiiiii kisha ika stuck haikutoa pesa lakin kwenye simu nikatumiwa notification kuwa nimepokea pesa.
Imagine ku file hiyo complaint, hata kama bot can do that, customers wont be at easy😂
Kuna ile hali with ya customer satsifaction ambayo ila iwepo basi it shoud be a man to man inquiry 😂.
Customers r so delicate to handle sometimes especially kwenye mazingira competitive ya kibiashara kma ya leo
Umewahi kupiga TANAPA?Customer care wa Tanesco, Tigo na Sales executive wa Total energies wote wana ugonjwa wa kutokuwajibika. Hawa watu ukipata tatizo ukawapigia wanakuambia andika email ioneshe kama ni formal complain siju wanakariri wanvyofundishwa kuhudumia mteja. Hivi mteja ana shida aandike email ili ionekane ana file formal complaint kweli.
Hizi fani ni bora akaletwa robot.
Boss, unatumia kichwa kufikiri? Au makalioWengine tunaoenda kupata huduma hizo sehemu kutokana na warembo tunaowakuta itakuaje sasa tutahama mbaki na maroboti yenu
Mtandao kama Vodacom , naona wapo kwenye processKwa customer care wa mitandao ya simu muda si mrefu. Watu wamekuwa na uelewa mkubwa wa mambo. Halafu maswali yanayoulizwa ni yale yale kwa hiyo ni rahisi kutengeneza roboti/chat bot
Ninesoma mahali Tanzania nao wanatarajia kuruka kwenda sayari mwezini! Hii ni kweli!?Sio kwaTz tutachelewa km hao marobot washaanza kutumika huko Nchi zilizoendelea tusubiri miaka 50 ndo waje kununua hizo robot na kutumika ktk kampuni zetu Tz
Taifa gani ulotembelea kubwa?Hilo mataifa makubwa wangesha achisha watu KAZI,binadamu atabaki na sifa zake
Ukwel humuweka mtu huru ...wahudumu especiaaly katika customer care ni wabovu sana.
imagine i called Tigo one day asking for intergrated bulk sms service, jamaa akanambia, sikushauri utumie huduma zetu, ngoja nikupe namba za watu wa Voda watakusaidie ahahahahahaha.
SIajabu majibu yajayo akakwambia habari za Mbowe/cdmNo ! Hapa sio mahali pake
Umekosea uzi , Shirikisha Akili kabla ya ku-comment kwenye uzi kama hizi
Kabla ya gesi tulikuwa tunatumia mkaa na kuni watu walipata taabu sana kula chakula ya kupika kwa gesi wanasema sio kitamu lkn sasaiv ? mkaa ni bei ghari kuliko gesi na chakula ni kitamu vilevile.Wengine tunaoenda kupata huduma hizo sehemu kutokana na warembo tunaowakuta itakuaje sasa tutahama mbaki na maroboti yenu