Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Yeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
Yaani unafurahia nchi kuendeshwa kwa misaada badala ya kusisitiza sisi wenyewe kuongeza uzalishaji?. Kwa akili hizi watanzania kujikomboa bado sana. Yaani unafurahia wanaume wenzako huko ulaya wafanye kazi halafu wawaletee hela mle.Halafu kesho na kesho kutwa mkiwa kwenye mgogoro hao watoa msaada wakiingilia mnasema WATUACHE NA MATATIZO YETU, MARA MATATIZO YA AFRIKA YATAMALIZWA NA WAAFRIKA, wajinga kweli haya malizeni matatizo Congo na Southern Sudan.
 
Mjinga Sana. Alichofanya amezidi kuipaisha tarehe 26/04/2018. Mange Kimambi is linked to CIA and FBI! That's GOOD NEWS! Change, Yes we Can. Mmeanza kuweweseka? This is for Real.
Ni kweli Naunga mkono kwa 100% kwani huyo fala Msiba anasaka Kiki na kumfurahisha Boss wao Maliyamungu idd Amin Bashite, lakini hajui kuwa amefanyia promotion kubwa tarehe 26-4-18 na sasa kazaa bifu toka FBI kwani endapo wataambiwa kuna fala kawasingizia Uongo Tanzania hawataacha kumshughurikia, anasaka cheo na sifa za kijinga ambavyo vitamgharimu.
 
Mtu hujui hata tofauti ya FBI na CIA

Ana upeo mdogo sana huyo jamaa nimeacha kusikiliza aliposema FBI ni shirika la ujasusi la Marekani
 
6.YEYOTE ALIYEZAA WATOTO AKAWATELEKEZA KAMA BABA YAKE DIAMOND PLATNUMZ [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Musiba sio msemaji wa serikali. Yeye ametoa hisia zake. Kitendo hiki kinakubalika kabisa na hizo nchi ulizozitaja za Marekani, Ujerumani, na ulaya yote. Kinaitwa FREE SPEACH.

Kwa hiyo ni sawa kwa Lissu au Mdee kuitukana serikali na Rais lakini Musiba hawezi kuishutumu Marekani?

Umekwisha wasikia Wamarekani wenyewe wanavyokashifu na kutukana Rais wao na nchi yao?

Usiwe unazungumza vitu usivyovijua.
 
Yeyote anayehamasisha chama tawala kuwatenga wapinzani!
Yeyote anayeona mauaji yabkisiasa yakiendelea na kutweet badala ya kutoa matako yenye mamlaka.
Yeyote ambaye anadiriki au alidiriki kuwaita watoto wetu vilaza;
Yeyote ambaye vipaumbele yake kwa taifa letu viko upside down (anatumia pesa zetu kununua bombadier amvazo so hitaji la msingi!
Yeyote .........
Orodha ni ndefu mno!
 
Yeyote anayeamini yuko sahihi kuliko Watanzania wote ama walio wengi.
 
Pogba, Bashite na Mwigulu
 
Siyo Wote Mkuu..Tungepata Waandishi Kama 10 Mfano wa Pascal Mayalla ,Chaz Hillary.. nk Watanzania Walio wengi wange-Elimika sana..Hili Musiba hata huko kwenye Habari halikufanikiwa sababu ya upeo mdogo..Siasa ndiyo atapotea kabisa..
Ni kweli mkuu,awamu hii inataka kuua kabisa vipawa vya watu katika kufikiri.Kusifia na kupongeza ndio kimekua kigezo cha uteuzi. Awamu hii imetusaidia kujua waandishi habari na wanasiasa wenye misimamo
 
Anayesaidiwa daima ni mtu asiyejiweza ama mwenye dharura kubwa ya majanga ya asili na yanayotokana na matendo ya binadamu.... Je hili likishawahi kutokea na mtu akafanya hivyo? Ama ni misaada gani hiyo kama nchi hauko kwenye dharura?
Mlilia sana hapa jukwaani nchi ipokatiwa mgao wa wamarekani leo mnajitoa ufahamu kua nchi haihitaji msaada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…