Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Naona ni wewe mwenyewe ndio unatuletea habari hii.ukileta habari zenye uthibitisho tutasema sisi wewe ni mzalendo shupavu.na kwa sasa ni prof Assad
 
Kama ni mzalendo mwambie aandike kuhusu ufisadi wa kivuko na nyumba za serikali.....

Au pesa iliyojenga hotel ya Makonda pale mwanza pesa alizotoa wapi?

Akiweza kutueleza ufisadi wa Magufuli na Makonda mimi nitaanza kulinunua"
 
Akikujibu Broo niite. Muhudumu niongezee kirikuu nyingine kesho niamke saa nane nikute hotuba zishapita
 
Hana uzalendo wowote huyu ni kujikomba akitafuta kuteuliwa
 
Kama ni mzalendo mwambie aandike kuhusu ufisadi wa kivuko na nyumba za serikali.....

Au pesa iliyojenga hotel ya Makonda pale mwanza pesa alizotoa wapi?

Akiweza kutueleza ufisadi wa Magufuli na Makonda mimi nitaanza kulinunua"
Andika wewe kwa kuwa una ushahidi wa issue yenyewe au peleka taarifa na ushahidi kwenye gazeti la Tanzanite au gazeti lako Tanzania Daima mkuu.
 
Aandike na yale maburungutu ya pesa yanayotoka hazina kwenda nyumba nyeupe maana yanazidi tr 4
 
Kama ni mzalendo mwambie aandike kuhusu ufisadi wa kivuko na nyumba za serikali.....

Au pesa iliyojenga hotel ya Makonda pale mwanza pesa alizotoa wapi?

Akiweza kutueleza ufisadi wa Magufuli na Makonda mimi nitaanza kulinunua"
Ohooo, atawageukaje wanaomtuma? Kilangila.
 
Hoja za CAG zinawatesa mnooooooo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Andika wewe kwa kuwa una ushahidi wa issue yenyewe au peleka taarifa na ushahidi kwenye gazeti la Tanzanite au gazeti lako Tanzania Daima mkuu.
Is Tanzanite an investigative newspaper? Kilangila.
 
Musiba yupi unayemuongelea! Yaani Cyprian Musiba au Obeid Mlaga, unazungumziaje mtu ambaye amedanganya jina lake..huyu jamaa hadi leo kama Musiba ndo jina lake au Mlaga. Isitoshe hana hata cheti cha form four. Jembe lingekuwa jembe lisingeshikwa akili na vilaza wa chama chake bora angeteua ma teknocrats tu..
 
Labda kama unamaanisha uzalendo (kwa muktadha wa awamu hii),ila sio uzalendo asilia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…