Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

FBI na CIA wenyewe watamnyoosha kwa kuwasingizia Uongo kwani wasipomwadhibu ataendelea kutengeneza Majungu, fitna feki na ujinga ujinga mwingi anaofundishwa na Madalali wa siasa wa CCM.
Basis sawa....
 
Ni mutu ya system aliyejidai mwanahabarj. Anaonesha rangi zake halisi
 
Sielewi kwanini tumjibu
Hopefully this would be a last comment.
 
Musiba wewe ni kanjanja na hata hujitambui ina maana wewe uko well informed kuliko vyombo vyetu vya ulinzi na usalama,
 
Kila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
USISAHAU NA WALE VIONGOZI WA KIROHO WANAO KEMEA UCHAFU UNAOFANYWA NA MCHAFU YULE WA CHATLE WANAHOJIWA URAIA WAO.
 
Akibanwa na ubalozi wa Marekani atoe ushahidi ataweza. Kwasababu hapo ni kuichafua Marekani. Yeye kaongea akifikiria ni mambo madogo hajui kuwa yanaweza kuleta matatizo kwake na kwa nchi ikiwa. Marekani wakaingilia kati. Ila kichaa alietumia vyeti vya wizi inabidi apelekwe hosp
 
Huyu jamaa watu wanaodai haki anawaita watu hatari? watu wanao ikosoa serikali anawaita watu hatari? Hovyo kabisa. Yaani atutakiwi kuhoji uovu unafanywa na hii serikali? Kama Lisu ni mtu hatari, anataka kutuambia waliotaka kumuua ndio wazalendo?? Eti Mange anatumiwa na FBI hawakuliona hilo wakati anakampeni for CCM 2015?? Eti Zitto Kabwe, Mbowe, Heche?? Hii ndio agenda ya CCM kutaka kuuwa upinzani na kujifanya miungu watu, kana kwamba wao hawakosei.
 
Naona umeshikwa pabaya
 
Mkuu chadema ni janga
 
Mtoa mada hujaeleweka vyema, Lakini huyu Musiba analipenda Taifa lake kwakweli.
Naona humu JF kazi kupinga mambo yahusuyo serikali tu bila kuangalia kesho yenu ipoje. WENZETU LIBYA WANALIA LEO SABABU ZA UJINGA HIZIHIZI. Tafadhali tuhamasishe amani kwa Taifa ili vizazi vijavyo vipate kuneemeka navyo. Lipeni kodi ipasavyo na daini risiti za EFD ndo mataifa, ili miundombinu iimarishwe,hospital ziendelee kuboreshwa kama wanavyofanya sasa na vingine vingi acheni siasa fanyeni kazi.
 
Hiz press za siku hiz ni kaz sana musiba nae analo la kuongea hakika huu ni musiba
 
Moja kati ya majitu majinga kabisa kuwahi kutokea katika nchi hii. The most stupid person ever happened in Tanganyika. Ukimsikiliza hyu kiccm utamwona kama anaongea kitu lakini huyu anachofanya ni kuvuruga mahusiano kati ya nchi yetu na nchi zilizotajwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…