Unataka kusema hatuna mamlaka zinazoshughulika na hayo maswala mpaka yeye zero brain asiyejua chochote?Kwanini tusijadili hoja... Vipi kama ni kweli hawa watu wanatumika? Au ndio watu 500wamejaaa humu JF kupinga kwa nguvu zote
Simjui Musiba na sijui taarifa zake anazitoa wapi.Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba.....??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu?? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma????
hivi mange ni nani tanzania imekua nchi ya waropokaji,wanapingwa na wapinzani wao ila wanaungwa mkono na washirika wao, kama unajisaidia kichakani usishangae kumuona jirani yako akiingia kichaka hichohichoUnapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba.....??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu?? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma????
Nami kesho nakuja na list yangu ya watu hatari kwa taifaKila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
Maoni mengine ni sumu aisee.Simjui Musiba na sijui taarifa zake anazitoa wapi.
Lakini ukifuatilia social media feeds za watu anaowatuhumu utaona kuna kaukweli katika vitu alivyosema Musiba.
Mimi binafsi ninaamini kuwa CHADEMA is a TERRORIST organization.
Naona UVCCM---mitandaoni mmemwagwa rasmi JF kuja kutetea mission yenu!!Mkuu chadema ni janga
Kwenye propaganda na Uzushi huwa kuna watu wenye kusadiki na wasiosadiki, wenye Akili timamu hawawezi kumuamini ujinga huyo Msiba,Simjui Musiba na sijui taarifa zake anazitoa wapi.
Lakini ukifuatilia social media feeds za watu anaowatuhumu utaona kuna kaukweli katika vitu alivyosema Musiba.
Mimi binafsi ninaamini kuwa CHADEMA is a TERRORIST organization.
CIA na FBI wenyewe watamwadhibu Huyo Musiba kwa kuwapakazia Uongo.Sidhan kama TISS watamuacha hyu jamaa akathibitishe
Blackmail za Makonda, wamemtuma afanye makusudi wakijua chadema watakuja juu kisha wapate sababu ya kuwabambikia kesi, njama zimesukwa na Le mutuz, Jerry muro, Lipumba na Makonda.Sasa watu tumefika mbali. Yaani mtu mmoja tu anaamka asubuhi na kuamua kuitukana nchi yake kuwa ni vilaza wala haina uwezo wa kubaini mambo mpaka waambiwe kwa press com. Only in Tz. Unawezaje mwanangu Sipiriani kuwatukana Tiss na makachero woote wanaolipwa mshahara ati wewe ndio unajua kazi kuliko wao?? Au unataka kutuambia kuwa wamenunuliwa na hao madenja 10?? Nimechoka kabisaaaa
Kwa njia hizo anazopita hakika hatapata Uteuzi wowote ataishia kuishi kwa kuunga unga pesa za Udalali wa siasa toka CCM na kwa Maliyamungu Bashite.Poyoyo tu Hilo.Wengi wameona njia ya kutoboa ni kulamba "miguu".
Uteuzi unatafutwa!
Anashinda ofisini kwa Le mutuz na Maliyamungu Bashite mda mwingi na huko ndipo wamemtuma kuja na Sinema ya kizushiMtu unaitwa msiba wa ccm huwezi kuongea kitu chenye maana,jamaa ni njaa kali wa lumumba na hivi hela hamna ndio lumumba fc wameanza kua machizi
Ni uongo kuwa Mange Kimambi anaratibu machafuko (Mapinduzi au Revolution) nchini ifikapo tarehe 26 April, 2018?Kwenye propaganda na Uzushi huwa kuna watu wenye kusadiki na wasiosadiki, wenye Akili timamu hawawezi kuamamini ujinga wa huyo mchumia Tumbo Msiba, lakini wale wajinga wajinga ndiyo huamini ufala kama huo.
Kweli kabisa kwa msomaji mpya hawezi kuelewa.Umeleta habari kana kwamba kila mtu anajua kinachoendelea eeh huyo musiba kafanyaje