Jamaa amekuwa kituko sana. Sometimes huu uanaharakati unawafanya watu wawe kama wendawazimu.Mkuu hapo #1 tangu lini FBI wakawa shirika la kijasusi? Hii inakupa quality ya uzi mzima kuwa bwana Musiba ni Jogoo toka mashambani kuwika mjini ni kwa nadra sana.
FBI watamnyoosha vizuri kwa kuwapakazia Uongo.Huyu jamaa kweli lofa, watu wanaodai haki anawaita watu hatari? watu wanao ikosoa serikali anawaita watu hatari? Hovyo kabisa. Yaani atutakiwi kuhoji uovu unafanywa na hii serikali? Kama Lisu ni mtu hatari, anataka kutuambia waliotaka kumuua ndio wazalendo?? Eti Mange anatumiwa na FBI hawakuliona hilo wakati anakampeni for CCM 2015?? Eti Zitto Kabwe, Mbowe, Heche?? Hii ndio agenda ya CCM kutaka kuuwa upinzani na kujifanya miungu watu, kana kwamba wao hawakosei.
Ni kweli kawa kituko namba moja nchiniJamaa amekuwa kituko sana. Sometimes huu uanaharakati unawafanya watu wawe kama wendawazimu.
[emoji3]Ni kweli kawa kituko namba moja nchini
Hivi ni kweli FBI wanaichunguza Tanzania kupitia Mange?Ni uongo kuwa Mange Kimambi anaratibu machafuko (Mapinduzi au Revolution) nchini ifikapo tarehe 26 April, 2018?
Ni uongo kuwa Mange anaratibu utaarishaji wa VIPEPERUSHI vya kuwamwagia kwa ndege wale wote wasiosoma haya kwenye SOCIAL MEDIA (hasa vitochi wa vijijini)?
It sounds like, feels like, and looks like a COUPE to me.
Nani anaemfadhili?
CHADEMA? Mashirika ya nje? Ni nani hao?
Msihangaike ...katumwa na DAD. Kweli ccm INA upungufu wa akili kichwan. Ukimwangalia machoni na mdomon utajua tu amemezeshwa maneno. Harakati za Daudi bashite na wajinga wenzake n za kishamba haijawai tokea. Wazee wa nchi ya viwonder. Ngija FBI wake wakufinye makende. Unaitamka FBI kama unatamka chupi ya mkeo.Yule na niniiii
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba.....??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu?? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma????
Mkuu kama hujui kati ya taaluma iliyojaa mazwazwa ni uandishi wa habari na watangazaji wengi wap hawana hata uelewa mdogo wa mambo.Nimelazimika kuangalia hii video.
Kwanza nimecheka sana. Siwezi kumbishia Bwana Msiba maana anaweza kua na sababu zake hata kama ni za kipumbavu ila bado anaziamini kua ni sababu.
Nilichogundua elimu ndogo na uelewa mdogo bado ni changamoto katika jamii yetu, kama huyu alikua mtangazaji na mwandishi wa ha ari basi hii nchi ina matatizo makubwa.
Kwanza Musiba anaonekana hajui au hana ufaham kabisa tofauti kati ya FBI na CIA. Anaituhumu FBI lakini kimantini ni CIA kama kweli anachokisema kiko hivyo, FBI haifanyi kazi za ujasusi na haivuki mipaka ya Marekani, hawa ni polisi wa Marekani na sio taasisi ya kijajusi nje ya Marekani.
Pili, Musiba hata maneno ya kawaida tu yanamshida kuyasarufisha, Uasi yeye anasema ni Uhasi.
Little learning is very hazardous. Stupidity is still common among Tanzanias.