Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
Hizi sifa zote [emoji115]ni za mtu mmoja.Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu...
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina kuepuka uzi kufutwa... Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia
1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
6.anayetaka kila siku awe anaombewa yeye tu na sio liombewe taifa kwa ujumla.
7.mkabila.
8.