Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu...
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina kuepuka uzi kufutwa... Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia

1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
Hizi sifa zote [emoji115]ni za mtu mmoja.
6.anayetaka kila siku awe anaombewa yeye tu na sio liombewe taifa kwa ujumla.
7.mkabila.
8.
 
Musiba ni Musiba tu. Anatumwa na halmashauri ya kichwa chake uliojaa ushamba uliokithiri. Endapo kuna mtu anamtuma basi huyo mtu atakuwa zéro brain kabisa.
Anatumwa na Le mutuz kwa kushirikiana na Maliyamungu idd Amin Bashite.
 
Kila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
Mtu anapotoa tuhuma awe na ushahidi wa kutosha, sasa hivi kila anayesifia serikali iliyoko madarakani anapewa nguvu na sapoti. Wachunguzeni kwanza CCM isiwe kichaka cha watenda maovu. Njaa inaumiza wengi mpaka akili zao zinapotea wanashindwa kufikiri. Tanzania tuijenge pamoja
 
Mlilia sana hapa jukwaani nchi ipokatiwa mgao wa wamarekani leo mnajitoa ufahamu kua nchi haihitaji msaada!
Kipindi hicho tuliamini nchi inahitaji msaada mkakataa kata kata kuwa nchi hii ni tajiri na inatarajiwa kuwa donor County as soon as possible, Sio kweli kuwa mlikuwa hamzitaki fedha za millennium challenge la hasha! Lengo lenu lilikuwa kuhalalisha wizi na mapinduzi ya sheria na katiba yaliyo fanywa na Jecha kule Zanzibar kwenye uchaguzi wa 2015.
Mlijua nchi inaweza kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na hivyo mkaanza kuwaandaa watanzania kisaikolojia kwa hadaa na unafki.
Sasa tunawashangaa mnapoanza kulilia misaada wakati mlisema hamhitaji misaada mnakuwa kama kasuku mnakalilishwa ujinga maana kuimba.
 
Kama taifa ni kweli kabisa Msiba ameleta aibu ya mwaka serikali mmetia aibu sana na sasa akili zenu ndiyo tunazijua vizuri sasa.
 
Mmh hapana... Mwisho wa kusaidiwa ni lini?
Hakuna kiongozi mwenye nia ya kutufikisha huko, angalikuwapo tungeshaachana na misaada kitambo,

Mazingira hayajatengenezwa ya kujitegemea vipi uache kupokea msaada?
 
Hakuna kiongozi mwenye nia ya kutufikisha huko, angalikuwapo tungeshaachana na misaada kitambo,

Mazingira hayajatengenezwa ya kujitegemea vipi uache kupokea msaada?
Ni nani huyo wa kututengenezea mazingira? Miaka 50 ya uhuru bado tunahubiri misaada!? Kweli?
 
Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu...
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina kuepuka uzi kufutwa... Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia

1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
FullSizeRender_16.jpg
 
Mbona mnakuwa na uzi mwingi sana akiongea mtu. MANGE KILA SIKU YUPO KUTAJA WATU. MBOWE NA LISSU KILA DAY PRESS CONFERENCE KUTAJA MAMBO. MBONA KIMYA. PUMBAVU. NDO MNAITA DEMOKRASIA. UHURU WA MTU. UNAPOFANYA MAUJINGA. JUA NA WENZAKO WAPO. SO SHUT UP. MANGE ANATUMWA NA NANI. SO ANZA UKO AU JUST SHUT THE **** UP.
Huo mfano wako ni wa kishamba toka chato na kolomije, Mange anawatetea watu wanaonyanyaswa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kupigwa Risasi, kukosa Uhuru wa kisiasa na Uonevu mwingi, Huyo mshamba Msiba anajaribu kuja na Blackmail za kishamba zile zile za Bashite Maliyamungu kipindi kile cha list ya wauza unga, Tambua kuwa watanzania wameamka si wajinga wanajua ku-balance wanafahamu mtetezi wa wanyonge na watetezi wa Udikteta kama Msiba na wenzao, mifano yako haina mashiko peleka kwa wajinga wenzako huko kwani watanzania wanajua kuwa awamu ya Tano hakuna haki katiba na sheria za Nchi hazifuatwi, ukiukaji wa haki za binadamu ni mkubwa kuliko awamu zote zilizopita.
 
Back
Top Bottom