Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

kasema kuwa chadema wanatumiwa na FBI kuharibu nchi
Kama nchi, Tuna-attract attention ya kijinga kabisa. Waafrika tunadharaulika kwa ajili ya wanasiasa uchwa.ra wapumba.vu aina ya huyu musiba
 
Huyu jamaa kweli hamnazo...hivi Chadema wanapata wapi pesa ya kupeleka vijana 500 wakapate mafunzo Ujerumani!?

Halafu kwa jinsi lilivyo tahira zaidi eti Mange anatumiwa na FBI,hivi hajui kama FBI inadili na Mambo ya usalama ndani ya Marekani pekee,Bora hata angesema CIA.

Halafu unawatuhumu hivyo FBI je serikali yao ikiomba uwape evidence wa hizo tuhuma zako uchwara,hapa tulipo tayari tuna mavikwazo bado waramba miguu ya Bashite wanataka kutuletea balaa lingine
Nimemsikia kamanda wa kanda maalum ya dar akimtetea kwa kusema mtu yeyote aweza kutoa tuhuma na zikabaki kiwa tuhuma japo wao polisi watazichunguza kuona madhara yake kwa taifa na huo ndio uzalendo! Nazidi kushangaa kauli ya mkubwa huyu wa polisi kwani sidhani kama anaijua policy ya mambo ya nje inasemaje pale unapotuhumu nchi na vyombo vua nchi nyingine kuwa ni sawa na kuituhumu nchi yote!
Hivi wakisema wapewe ushahidi wa tuhuma hizo polisi wapo tayari kuwajibika kwa kumtetea huyu mtoa tuhuma? Je, wakihitaji kusadishwa juu ya tuhuma hizi hasa FBI, polisi itakuwa tayari au itatupa mpira mambo ya nje?
Ni kwanini basi polisi huyu hakujipa muda wa kuchunguza ili kujiridhisha kabla ya kumtetea mtoa tuhuma? Musiba anaweza kueleza juu ya hao vijana 500 waliopelekwa ujerumani na waliondokaje bila uhamiaji kuwa na taarifa? Polisi mkuu anasemaje kuhusu hili la kumtetea bila kuwasiliana na idara ya uhamiaji kujiridhisha? Haoni kwa kufanya hivi anaharibu uhusiano wa kidiplomasia uliopo? Wizara ya mambo ya nje ipo upande gani kuhusu tuhuma hizi za kuvitukanisha vyombo vya usalama vya nchi nyingine? Sielewi mchemsho huu wa polisi mkubwa na mtuhumu unatupeleka wapi kama nchi!
 
sasa kama hatuipendi serekali iliyoko madarakani ndio mtulazimishe kuipenda?!!!!!
NAOMBA NA MIMI NIWEKWE KWENYE LIST
 
Musiba ni bwege tu na elimu yake ndogo aliyokuwa nayo. Anatakiwa ajue anachoongea eti Mange Kimambi ni raia wa Marekani na pia FBI ni shirika la kijasusi la Marekani. Shirika la kijasusi la Marekani ni CIA siyo FBI. Akili yake pumba tupu.
Tusubiri majibu ya Mange mkuu kama ni FBI
 
..huyu musiba yeye ni nani Na ana moral credibility gani kuwaharibia watanzania wazalendo credibility yao hivi????..natoa rai ya dhati kwa waliotajwa Na huyu mwehu kwenda mahakamani mara moja kumshtaki....maana kuchafuliwa huku hakusafishiki pasi mahakamani ......chonde chonde mchukulieni hatua huyu mwehu ili iwe fundisho kwa wanaomtuma...
 
Ingawa sijui ni lini umeingia katika utaalamu wa masuala haya, naamini umeiva haswa. Nakufahamu kama mtangazaji wa channel ten wakati huo mkirusha moja kwa moja michuano ya michuano ya UEFA Champions Leagu na wenzako Clifford Mario Ndimbo na Dr. Liky Abdallah.

Nafahamishwwa ulijaribu pia pasi na mafanikio kujitosa katika kura za maoni za ubunge za Chama Cha Mapinduzi. Hili silijui vizuri, pengine utanifahamisha.

Swali langu ni moja tu, FBI na CIA kweli hawawezi kutimiza lolote kwa nchi maskini kama yetu hadi washirikiane na mtu ambaye mwenyewe unamwita "Kahaba"????
 
Kama nchi, Tuna-attract attention ya kijinga kabisa. Waafrika tunadharaulika kwa ajili ya wanasiasa uchwa.ra wapumba.vu aina ya huyu musiba
HAWA NDIO WANAOPENDWA NA MTUKUFU KIRANJA MKUU
 
Musiba sindio mwenye gazeti la TANZANITE linalowatukana upinzani kila siku? Sasa kwann mnahangaika nae
 
..huyu musiba yeye ni nani Na ana moral credibility gani kuwaharibia watanzania wazalendo credibility yao hivi????..natoa rai ya dhati kwa waliotajwa Na huyu mwehu kwenda mahakamani mara moja kumshtaki....maana kuchafuliwa huku hakusafishiki pasi mahakamani ......chonde chonde mchukulieni hatua huyu mwehu ili iwe fundisho kwa wanaomtuma...

Hawa wezi kwenda mahakamani wakithubutu Bwana Msiba atawaacha hukohuko wakikutana na Sugu na kutofautiana vifungo tuuu.Hata Sasa hawaamini wamegundulikaje
 
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???

Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???

Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?

Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???

View attachment 701577

kitengo cha propaganda
 
View attachment 701577[/QUOTE

Hamu ya maendeleo inanza kutoweka polepole, watanzania watalazima tu kununua nyoyo, akili, ngozi na tabia mpya.
 
HUYU MTU KWA MAONI YANGU NDIYE HATARI. ANAICHONGANISHA SERIKALI YETU NA NCHI ZINGINE ZAIDI YA KUCHOCHEA CHUKI MIONGONI MWA JAMII. HUYU NDIYE HASA ANAYEPASWA KUSHITAKIWA KWA UCHOCHEZI.
 
MAMLAKA ZA ULINZI ZIMETWAMBIA WANAOFANYA UHALIFU MKUBWA NI WALE WENYE JINA LA WASIOJULIKANA. MBONA MUSIBA HAJAWAJUMUISHA KWENYE ORODHA YA WATU HATARI? ANAPINGANA NA TAMKO LA MAMLAKA HALALI KWAMBA WASIOJULIKANA NDIO WANAFANYA UHALIFU NCHINI?
 
Mkuu huyu jamaa ni mweupe kichwani sielewi alipataje kuwa mtangazaji na mwandishi wa Chanel ten, Musiba alisoma Certificate ya uandishi wa habari mwaka 2002 chuo kinaitwa Dsj kiko ilala Sharif shamba, akafoji cheti cha Diploma hapohapo Cha DSJ pia...ndo akapata kiajira clouds enzi hizo wako kitega uchumi..kwa ufupi jamaa in kanjanja flani ambae hana uwezo kabisa..hovyo sana huyu MTU.Musiba mdogo wangu rudi shule hayo ndo matatizo ya njia ya mkato ona sasa unavyo AIBIKA.
 
Back
Top Bottom