ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,757
Kama nchi, Tuna-attract attention ya kijinga kabisa. Waafrika tunadharaulika kwa ajili ya wanasiasa uchwa.ra wapumba.vu aina ya huyu musibakasema kuwa chadema wanatumiwa na FBI kuharibu nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nchi, Tuna-attract attention ya kijinga kabisa. Waafrika tunadharaulika kwa ajili ya wanasiasa uchwa.ra wapumba.vu aina ya huyu musibakasema kuwa chadema wanatumiwa na FBI kuharibu nchi
Nimemsikia kamanda wa kanda maalum ya dar akimtetea kwa kusema mtu yeyote aweza kutoa tuhuma na zikabaki kiwa tuhuma japo wao polisi watazichunguza kuona madhara yake kwa taifa na huo ndio uzalendo! Nazidi kushangaa kauli ya mkubwa huyu wa polisi kwani sidhani kama anaijua policy ya mambo ya nje inasemaje pale unapotuhumu nchi na vyombo vua nchi nyingine kuwa ni sawa na kuituhumu nchi yote!Huyu jamaa kweli hamnazo...hivi Chadema wanapata wapi pesa ya kupeleka vijana 500 wakapate mafunzo Ujerumani!?
Halafu kwa jinsi lilivyo tahira zaidi eti Mange anatumiwa na FBI,hivi hajui kama FBI inadili na Mambo ya usalama ndani ya Marekani pekee,Bora hata angesema CIA.
Halafu unawatuhumu hivyo FBI je serikali yao ikiomba uwape evidence wa hizo tuhuma zako uchwara,hapa tulipo tayari tuna mavikwazo bado waramba miguu ya Bashite wanataka kutuletea balaa lingine
Tusubiri majibu ya Mange mkuu kama ni FBIMusiba ni bwege tu na elimu yake ndogo aliyokuwa nayo. Anatakiwa ajue anachoongea eti Mange Kimambi ni raia wa Marekani na pia FBI ni shirika la kijasusi la Marekani. Shirika la kijasusi la Marekani ni CIA siyo FBI. Akili yake pumba tupu.
HAWA NDIO WANAOPENDWA NA MTUKUFU KIRANJA MKUUKama nchi, Tuna-attract attention ya kijinga kabisa. Waafrika tunadharaulika kwa ajili ya wanasiasa uchwa.ra wapumba.vu aina ya huyu musiba
..huyu musiba yeye ni nani Na ana moral credibility gani kuwaharibia watanzania wazalendo credibility yao hivi????..natoa rai ya dhati kwa waliotajwa Na huyu mwehu kwenda mahakamani mara moja kumshtaki....maana kuchafuliwa huku hakusafishiki pasi mahakamani ......chonde chonde mchukulieni hatua huyu mwehu ili iwe fundisho kwa wanaomtuma...
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???
Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?
Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???
View attachment 701577

View attachment 701577[/QUOTE
Hamu ya maendeleo inanza kutoweka polepole, watanzania watalazima tu kununua nyoyo, akili, ngozi na tabia mpya.
Hivi taarifa imefika kwel na wish wasikie ili next time asibwabwaje ovyoBAHATI MBAYA USHAHIDI UMESHAFIKA MAREKANI NADHANI UNASUBIRIWA MUDA TU.KIHERHERE KIBAYA SANA.
Hawaishi mbona ata wa kupokea elfu kumi kumi watajitokezaNadhani kama mission ya huyu ikifeli atajitokeza mwingine
Hivi taarifa imefika kwel na wish wasikie ili next time asibwabwaje ovyo